Nilivyonyolewa nywele zote sehemu za siri na wachawi usiku nikiwa nimelala

Mleta Uzi unasikia Raha gani kuleta stori ya uongouongo hapa?eti majini 51 yamekufa dada analilia majini yake we jini moja tu mziki wake unaujua wewe?acheni kuuchoresha ukristo aisee
Tena huyo mwenye majini yake 51 ana bahati kweli kwani yule Mchungaji angeweza akayaamuru ya muue aliyeyatuma na ingekuwa hivyo. Bwana Yesu asifiwe!
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Hizi story za kutunga huwa zinawaharibia sana walokole maana kutumia uongo kushawishi watu ni dhambi kama dhambi nyingine tu. Kwani ukitumia vifungu vya biblia takatifu si tutakuelewa tu!!?? Acheni hiyo tabia, mnachuma dhambi bure.
Mda mwengine huwa mnajidhihirisha uwezo mdogo wa akili zenu. Sasa wewe uokoke kwa story? Kwani unalazimishwa? Maana hajashawishi mtu amesimulia story yake. Mbona wanaosimulia story za mbususu hamuwabishii na mnatamani. Huwa wanawalazimisha??

Stop acting immature hadi uingize ulokole. So ulitaka aseme kaponea kwa mganga ili mseme anatanganza biashara ya mganga na namba mngeomba.

Naona majitu yamekazana chai chai sasa kama ni chai kwani kakumwagia usoni? Soma nenda mkapunge mapepo huko msituchoshe
 
Na nyie mnaosema anatunga story ndo wachawi wenyewe maana kinachowakera ni yeye kukiri kwamba Yesu amemuokoa. Mlitaka aseme mganga ili muonbe namba.

Yani story ya mtu mwengine shingo ikushupae wewe how?

Kama unaona kadanganya basi ila kwa uwezo kwamba maombi yanauwezo wa kuua hizo nguvu zenu mnazozitetea uwezo upo. Mnaobisha ni wachawi na washirikiwa tumewastukia🤭
 
Tena huyo mwenye majini yake 51 ana bahati kweli kwani yule Mchungaji angeweza akayaamuru ya muue aliyeyatuma na ingekuwa hivyo. Bwana Yesu asifiwe!
Upuuzi mtupu...
 
Asante sana ushuhuda huu mzuri wenye kuinua imani za watu. Laiti watu wangejua nguvu na uwezo wa Yesu Kristo ulivyo wa ajabu wangeepuka mateso na manyanyaso ya mapepo. Atukuzwe Bwana Yesu Kristo!
Issue sio ushuhuda kuinua Imani,tatizo mnataka kuinua Imani kwa shuhuda za kutunga uongo uongo...Hapo Walokole ndio mnapoharibu hivi hamjui amri kumi za Mungu zinakataza kushudia uongo?Hamjui?au mnajitoa akili?Aisee inapokuja suala la Kristo hatakiwi kupigiwa promo za uongo na kweli ili apate wafuasi,yeye Ni genuine na kila goti kwake litapigwa mnaharibu Sana ukristo nyie...ndio maana nyie na wachungaji wenu mnatakiwe mkasome Theology
 
Wewe unamwamini Yesu lakini hiamini nguvu yake ya utendaji. Tunatoa shuhuda za kweli za nguvu na uwezo wa kuokoa wa Yesu Kristo. Tumesoma hizo theology na philosophy lakini hazikutusaidia kumjua Kristo Yesu.
 
  • Thanks
Reactions: I M
Wewe unamwamini Yesu lakini hiamini nguvu yake ya utendaji. Tunatoa shuhuda za kweli za nguvu na uwezo wa kuokoa wa Yesu Kristo. Tumesoma hizo theology na philosophy lakini hazikutusaidia kumjua Kristo Yesu.
Rudia kusoma vizuri Uzi halafu ufanyie analysis Kama kweli umesoma theology na philosophy....maana ndani ya hayo masomo Kuna psychology ya kuweza kutambua Jambo analoongea mtu Kama Ni kweli au uongo
 
Mda mwengine huwa mnajidhihirisha uwezo mdogo wa akili zenu. Sasa wewe uokoke kwa story? Kwani unalazimishwa? Maana hajashawishi mtu amesimulia story yake. Mbona wanaosimulia story za mbususu hamuwabishii na mnatamani. Huwa wanawalazimisha??

Stop acting immature hadi uingize ulokole. So ulitaka aseme kaponea kwa mganga ili mseme anatanganza biashara ya mganga na namba mngeomba.

Naona majitu yamekazana chai chai sasa kama ni chai kwani kakumwagia usoni? Soma nenda mkapunge mapepo huko msituchoshe
Ukipunguza mapepo wewe inatosha, mbona povu!!???? Ni bora nikadanganywe na mganga ambaye kwa asili kudanganya ni sehemu ya maisha yake kuliko kudanganywa na mtu anayetumia jina la Yesu. Injili haitangazwi kwa fujo namna hiyo, jifunzeni mbinu bora za kiungu na si kuiba mbinu za shetani (uongo)
 
Issue sio ushuhuda kuinua Imani,tatizo mnataka kuinua Imani kwa shuhuda za kutunga uongo uongo...Hapo Walokole ndio mnapoharibu hivi hamjui amri kumi za Mungu zinakataza kushudia uongo?Hamjui?au mnajitoa akili?Aisee inapokuja suala la Kristo hatakiwi kupigiwa promo za uongo na kweli ili apate wafuasi,yeye Ni genuine na kila goti kwake litapigwa mnaharibu Sana ukristo nyie...ndio maana nyie na wachungaji wenu mnatakiwe mkasome Theology
Kabisa, kuna namna makanisa ya kilokole yanaanza kuharalisha uongo kwa kigezo cha kuvuta watu kwa Yesu. Binafsi sidhani kama Yesu anahitaji kuvuta watu kwake kwa namna hiyo maana kwa utukufu wake kila kiumbe kiko chini ya mamlaka yake so tusitumie nguvu kubwa mpaka kukufuru.
 
Issue sio ushuhuda kuinua Imani,tatizo mnataka kuinua Imani kwa shuhuda za kutunga uongo uongo...Hapo Walokole ndio mnapoharibu hivi hamjui amri kumi za Mungu zinakataza kushudia uongo?Hamjui?au mnajitoa akili?Aisee inapokuja suala la Kristo hatakiwi kupigiwa promo za uongo na kweli ili apate wafuasi,yeye Ni genuine na kila goti kwake litapigwa mnaharibu Sana ukristo nyie...ndio maana nyie na wachungaji wenu mnatakiwe mkasome Theology
Wewe unashupalia ushuhuda wa uongo kwani wewe ndio uliyepata hizo changamoto?.
 
Ulikuta wadada wanakusema na ukasikiliza ukiwa wapi ndugu mtumishi?
 
Ukipunguza mapepo wewe inatosha, mbona povu!!???? Ni bora nikadanganywe na mganga ambaye kwa asili kudanganya ni sehemu ya maisha yake kuliko kudanganywa na mtu anayetumia jina la Yesu. Injili haitangazwi kwa fujo namna hiyo, jifunzeni mbinu bora za kiungu na si kuiba mbinu za shetani (uongo)
Bora ukadanganywe na mganga😂😂 nenda kwahiyo mtu akisimulia story yake humu jf basi ana kazi ya kuku force wewe? Kwani lazima uokoke? Kama umezoea kuaguliwa nenda
 
Rudia kusoma vizuri Uzi halafu ufanyie analysis Kama kweli umesoma theology na philosophy....maana ndani ya hayo masomo Kuna psychology ya kuweza kutambua Jambo analoongea mtu Kama Ni kweli au uongo
Aisee umeshupaza shingo na mishipa ya akili kusema stroy ni ya uwongo.

Siye wasomaji tumeipenda hiyo story ya uongo, wewe inakuuma nini??

Mbona huko nje unadanganywa na mkeo/demu na bado hushupazi shingo kama hapa kwenye Ushuhuda wa Imani?

Pepoo tokaaaaaa! Sema hayo maneno mara tatu na utakuwa huru.
 
Back
Top Bottom