Nilivyonyolewa nywele zote sehemu za siri na wachawi usiku nikiwa nimelala

Pole. Kama hawakula... Mshukuru Mungu !
 
We nae utakuja kugongwa nyuma Mambo ya kudandia kwa mbele Mambo yasokuhusu.
 
Asante kwa kuelewa,kwa pamoja wakristo tukielewa haya unayozungumza hakika Imani tutailinda.
 
We nae utakuja kugongwa nyuma Mambo ya kudandia kwa mbele Mambo yasokuhusu.
Hauna akili wewe. Umetoka huko umeleta shobo kwenye uzi wa watu kuwa ni wa uongo.

Utaingiliwa nyuma wewe kwa akili yako hiyo finyu na wivu wa kuona mtu kaleta ushuuda wake..


Uzi mzima una comment umeshadadia kuwa ni uongo, hata mwenye uzi humjui ila umetanua miguu unasema ni uongo


Paka shumee wewe
 
We nae utakuja kugongwa nyuma Mambo ya kudandia kwa mbele Mambo yasokuhusu.
Tulifundishwa darasani kuwa unapotembea barabarani unatakiwa utembelee upande wa kulia mwa barabara ili magari yanayokuwa upande wako yaje upande wa mbele. Kwani huyo hakupita darasa la tatu mpaka aje agongwe kwanyuma dadaangu?
 
Nakusisitizia uache kudandia gari kwa mbele, mwanaume mwenye kiherehere Kama wewe hata zile nahino zake hazina uvumilivu Ni pa paaa kwishaaa......jitulize ili uwe mwanaume kamili
 
Nakusisitizia uache kudandia gari kwa mbele, mwanaume mwenye kiherehere Kama wewe hata zile nahino zake hazina uvumilivu Ni pa paaa kwishaaa......jitulize ili uwe mwanaume kamili
Huna hoja sioni sababu ya kubishana na mwanamke uliyeshindwana na mumeo kwa kujifanya mjuaji wa kula kitu.

Kitulize unazeeka sasa
 
1. Hotelia katika hoteli gani (si lazima saana kujibu, itapendeza zaidi ukijibu)
2. Ulikuwa unaishi sehemu gani?
3. Kanisa la wapi uliloenda kupokea uponyaji.
4. Ilikuwa mwaka upi?

Msitufanye tuokoke kwa chai.

Jemima Mrembo

Ujalazimishwa
 
Kuna mwingine alichukua mume wa mtu, alipoamka akakuta kanyolewa liji nywele lote la sehemu mbaya. Halafu akakuta kuna ka glass kamejaa usaha, halafu kuna kimrija kimeingizwa huko Tukuyu kwa bibi, kisha kimeingizwa kwenye hicho ki glass.
kubabeki.
 
Asante sana ushuhuda huu mzuri wenye kuinua imani za watu. Laiti watu wangejua nguvu na uwezo wa Yesu Kristo ulivyo wa ajabu wangeepuka mateso na manyanyaso ya mapepo. Atukuzwe Bwana Yesu Kristo!
Wachawi wanaaminika kuliko nguvu ya Kristo, kweli watu wamefungwa mashimoni kwenye giza totoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…