Dah wabongo noma sanaAhsante kaka nimefika kweli ila ilinifilisi, si unaona naandika tubmaelezo haya short,
Aliniambia huyu rafiji nilipe nikamlipa, tena basi njoo na pesa ya kupanga nyumba na ya kunnulia gari kisha zote nikamtumia.
Kuingia tu akatoweka na oesa zangu mpaka leo
Pole sana .Ahsante kaka nimefika kweli ila ilinifilisi, si unaona naandika tubmaelezo haya short,
Aliniambia huyu rafiji nilipe nikamlipa, tena basi njoo na pesa ya kupanga nyumba na ya kunnulia gari kisha zote nikamtumia.
Kuingia tu akatoweka na oesa zangu mpaka leo
Nitafanya hivyo mkuu asante kwa ushauri,details zao ninazondugu mdukuzi, ukiwa na majina ya watotobwako tu, ingia online kwanza lawyer atakushauri ni garama isiyozidi dola 50, then fungua kesi kupitia hawo online lawyer ili ufunguliwe unpate haki ya kuwatafuta au kuwaona wqtoto wako
Kwa kweli simulizi zake zinataka kushabiiana.
Nakwenda Kuchukua Mkandarasi Force Account ItatumikaSinza kijiweni
U need counseling mkuu, je mama na dada zako ,shangazi zako unawachukia?,maana ni wanawake hawa
Mudy White nae alikua msanii tu nimeshangaa kusikia alienda Us badae.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah! Mkuu , Hii kali. Mudy white hukuwahi kumuona Tena?
Ni kweli ila kujaribishiwa liboro fix hiyo walitoswa tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38] ila mbongo kazidi daah
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kwani wewe ni msemaji wake?,hili swali alilijibu mwenyewe, una kila dalili kuwa wewe ni abuser wa GBV@amemaanisha anachukia KUOA.
Uhusiano aliouzungumzia ni wapenzi.
Hachuki ndugu ila anachukia WAPENZI.
#YNWA
Kwani wewe ni msemaji wake?,hili swali alilijibu mwenyewe, una kila dalili kuwa wewe ni abuser wa GBV
Siyo kweli. Huyu jamaa hakutiwa hatiani kwa lolote na alikuwa na familia. Kumpiga wife kofi moja siyo sababu ya kuwa deported bila kufikishwa mbele ya hakimu kwenye immigration court. Hata wale Wahamiaji Haramu wanaokamatwa kwa makosa ya traffic hufikishwa mbele ya hakimu, na hukaa rumande miezi mingi kabla ya hatma zao kuamuliwa. Isitoshe, Polisi hawana mamlaka ya kufanya deportation. Hiyo ni kazi ya ICE .
Arudi kufanya nn kwamba usa ndo kuna maisha, upuuzi mtupu.Pole ila mimi ninaiangalia upande wa pili wa coin, mkuu sasa umeona ni jinsi gani wenzetu walivyokua very seriously na hii GBV, once u rise your hands kwa ke hiyo ni treason case, sasa umepoteza watoto na opportunity nzuri na upo black listed USA nzima, hapa kwetu tunaona wanawake kama playing toy's zetu, pole na jipange upya, apologize kwa mzazi mwenzako then mwombe akawaone home dept ili wakuondoe kwenye list ya ukatili towards women, maana hii mkuu ndio kikwazo kikubwa wewe kurudi USA
[emoji23][emoji23]mwamba wa Canada katisha Sana. Katumia Fursa kitaalamu mnoHizi story za kuzamia zimenikumbusha jamaa tunafahamiana kiasi, kaenda States 2019 hapo kama daktari na hata stethoscope hawezi kuitaja achilia mbali kuijua.
Mwingine kasepa Canada mwaka jana, kufika inabidi ajifanye kakimbia vitendo vya unyanyapaa na ukatili kwa mashoga. Na mshkaji ni muislam safi, na hajui kitu kabisa kuhusu hizo mambo.
[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]so km wataka kwenda inabidi uanze mazoezi kwanza ukifika mambo yasiwe mengiUsijidanganye utafika huko ukisema we ni Shoga... one of my brotha lives in Sweden alinipa story siku moja tuko kwenye voice-call ya WhatsApp akaniambia kuna wajinga kadhaa wa kibongo wamefika wakadanganya wao wakimbizi wamekimbia kwa sababu wao ni gays wanataka kuuwawa... wakafanyiwa vipimo na mbali na vipimo wanakuwepo watu special wa kukujaribishia Dushe... tena Dushe kwelikweli
Mbona walisalimu amri! [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakarudishwa Bongo... tulikufa kucheka... kwahiyo ukiandaa kisingizio hakikisha ni kweli. Kama unafirwa make sure ni kweli hiyo michezo unayo na we kweli ni gay.
#nawasilisha
Endelea kunywa chai kwa shemeji hapo masaki, huku kinondoni moscow hata mhogo hakuna, sasa wewe unataka kuniambia maisha ya TZ yanafananana ya USA, subiria viajira vya immigrations shemeji yako akufanyie connections, tusiokua na connections tunatembea na passport zetu kiunoni, muda wowote kikilipuka ni kujilipua tuArudi kufanya nn kwamba usa ndo kuna maisha, upuuzi mtupu.
Kama biblia na koran vinakosolewa sembuse mimi,kwa waliokuwepo miaka ile haya ni mambo ya kawaida sana,tena kuna watu walidandia meli kupitia ile kamba ya nanga MshanaJR mzee mwenzangu njoo uwaelezee wadogo zetu wajue tulivxo husleMwongo huyo vitu vyote anavyoandika humu 90% ni uongo