GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,657
Greetings Everybody.
Kwanza kabisa leo nianze kwakusema huu uzi utaleta mjadala mkali kwahiyo nimekuja na Proof ili matomaso wote wajionee. Pia niseme sipo hapa kujionyesha. Lengo langu ni moja tu.
Nataka nitoe inspiration kwa maelfu ya vijana wenzangu wenye njaa ya pesa wataosoma uzi huu š¤š½.
Nafahamu changamoto ya ajira na jinsi watu wanavyosota kwahiyo naaamini kama nitaweza andika post inakayosaidia kutoa inspiration kukufanya uinuke hapo ulipo sasa hivi na kwenda kupiga kazi basi nitakuwa nimefanya jambo zuri na InshAlah nitaongezewa [emoji1431].
Binafsi natambua umuhimu wa inspiration katika life kwasababu bila inspiration ni ngumu kuona success inafananaje ndiyo maana watu wengi wanaoishi katika jamii zisizo na mwamko wakutafuta pesa watu wote hubakia hivyo kwasababu kila mtu anayemfahamu si wakuwaza mambo makubwa hasahasa katika muktadha wa pesa [emoji383]
Binafsi nakutakia mafanikio mtu wangu. Keep that fire inside you[emoji91] burn all day everyday. Usipokuwa on Fire kama nilivyoandika katika post yangu hii ni ngumu kuwa na self motivation yakufanya kazi kila iitwapo leo.
Listen
Kupata mafanikio kwenye jambo lolote ni ngumu. Lakini iwapo utafuata mbinu fulani kwa walioweza kupata mafanikio kwa Level unayohitaji basi hiyo inawezekana sana tu.
Swali ni je, upo katika āmotoā wakutosha kufuata ndoto zako bila kuogopa? Kwasababu no matter how good you think you are. You will fail many times before you hit your bigger goals in life. Hiyo Point kwamba utafail mara nyingi kabla hujapata unachokitaka itakupa motivation ukikosea uendelee tena na tena na si kuanza complaining and b**ch around.
Ok cool. Let me share my story.
Nilinza Online Freelancing 2016.
Hii haikuwa kwenye hizi freelancing site kama UpWork au Freelancer. Hizi kazi nilikuwa namfanyia rafiki yangu toka ngāambo (hapa Chuganstan tunaita mbele [emoji6]) kila mara alipohitaji translation ya Kiswahili. Nafanya kazi ananilipa. Hii experience kwangu ilikuwa ni eye opener. Miaka michache baadaye nikaanza kujiunga kwenye freelancing sites tofauti lakini kama unavyojua beginners waliovyo, nilikuwa sipo active sana kwahiyo sikuweza kupata kazi.
Pia kingine sikufahamu mbinu zakukamata attention ya client ninapomwandikia proposal kila mara ninapo-apply kazi nayodhani ninauwezo wakuifanya. Nilikiwa naandika kama vile watu wengi wanavyofanya. Ooooh I have ten year experience. I have college degree blah blah blah.......
Hiyo haikusaidia kitu. Hata client hawakujisumbua kujibu achilia mbali kunipatia kazi. Lakini leo the story is different.
Nataka sasa nikuonyeshe jinsi navyopata kazi za $1000+
Angalia hii.
Kama unavyoona hapo kwenye picha ukifanya kazi as smart person na kufahamu kipi client anachotaka ni rahisi kupata hizi deals.
Na jambo zuri ni kwamba unafanya kazi zako kwa uhuru na taratiibu unavuta pesa yako.
Isnāt that cool [emoji41]?
Ok.
Najua watu wengi watakimbilia kwenda kufungua Account nakuanza ku-apply kazi hovyo hovyo.
Niseme tu. You will fail big time.
Na sababu hapa ni kwamba you donāt have experience.
Je, ninaweza kukusaidia hapa?
Sure. Why not?
And yes I will CHARGE YOU MONEY [emoji383]for my time.
Lakini nitahakikisha nakupatia mafunzo sahihi ambayo kweli yatakusaidia.
Ok.
Sasa tungalie mambo matatu kwaharaka yatakayokufanya ufanikiwe ukiwa unaanza Online Freelancing. Kumbuka haya mambo ni basics tu. There so many more to learn.
1 ⢠Jifunze ku-Hustle.
Lengo kubwa la kuanzishwa Online freelancing sites ni kusaidia watu wenye vipaji kutoa ujuzi wao na wao kulipwa pesa. Unajua sasa hivi makampuni mengi yanakwepa kuajiri wafanyakazi wasio deliver value yoyote huku wakipokea mishahara + health benefits + allowances na kadhalika. Hiyo ni hasara kwa Business ukizingatia wafanyakazi wengi ni mizogo kwa taasisi au kampuni.
Sasa hapa ndiyo inakuja Point ya clients kutafuta freelancers. Wanataka watu wanaojua ku-deliver na kufanya kazi kwa ubora wa juu. Sasa kwasababu freelance sites zinatoa nafasi kwa freelancers wengi duniani kote ku-apply kwa kazi husika basi ni sahahi kusema client lazima atapata freelancer mwenye ujuzi wa juu tena kwa gharama nafuu.
Angalia hii screenshot.
Ok sasa nikirudi kwenye Point ya hustling ni kwamba unahitaji kuwa katika Hustle mode.
Kuwa smart kazi ipi ni sahihi kwako na ina unanafasi kubwa yakushinda. Usiwe mtu wakurupuka.
Unahitaji kuwa active Online. Kama umetumiwa message au Email jibu kwa wakati.
Kuna baadhi ya watu hata kujibu Email tu inawachukua wiki. Kama upo hivi this Online thing is not for you.
2 ⢠Onyesha Skills zako na si University Degree.
Hapo vipi?
Kuna watu wanaishi kwenye illusion kwamba kwasababu upo na āgambaā la chuo kikuu basi unashahili kupata kazi kwasababu umesomea huo ujuzi ā¹.
Hiyo siyo kweli mtu wangu.
Kwanza client doesnāt cares about your degree.
Anachojali yeye ni kufanyiwa kazi yake kwa ukamilifu. Na kufanikisha hili unahitaji some tricks to gain his or her attention. Iām the master at this skill.
3 ⢠You are not going to make $1,000+ kisa tu umesoma Hii post.
Yes.
Kuna watu wapo na unrealistic goals.
Wanataka pesa lakini hawapo tayari kufanya kazi au kupata experience inayotakiwa.
Hawa wanaumwa ungonjwa unaitwa shiny object syndrome.
Mtu wangu unahitaji muda. Unahitaji guidance lakini pia kuendelea kujifunza mwenyewe.
Hakuna mtu anayeweza kukufundisha kila kitu. Unachotakiwa kupata ni taarifa sahihi jinsi gani unaweza kuwa freelancer mwenye mafanikio.
Baada ya hapo utaweza kuendelea mwenyewe kwasababu tayari una msingi mzuri.
Ok.
Ngoja niishie hapa.
Sasa ni wakati wa kwenda na kufanyia kazi yote niliyoandika.
Pia tukutane tena katika post nyingine yenye kufundisha kama hii
Bless up!