Nilivyotengeneza dola 1,000 kwa siku 30 kama Online Freelancer nikifanyia kazi zangu nyumbani

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
767
Reaction score
1,657
Greetings Everybody.

Kwanza kabisa leo nianze kwakusema huu uzi utaleta mjadala mkali kwahiyo nimekuja na Proof ili matomaso wote wajionee. Pia niseme sipo hapa kujionyesha. Lengo langu ni moja tu.

Nataka nitoe inspiration kwa maelfu ya vijana wenzangu wenye njaa ya pesa wataosoma uzi huu šŸ¤œšŸ½.

Nafahamu changamoto ya ajira na jinsi watu wanavyosota kwahiyo naaamini kama nitaweza andika post inakayosaidia kutoa inspiration kukufanya uinuke hapo ulipo sasa hivi na kwenda kupiga kazi basi nitakuwa nimefanya jambo zuri na InshAlah nitaongezewa [emoji1431].

Binafsi natambua umuhimu wa inspiration katika life kwasababu bila inspiration ni ngumu kuona success inafananaje ndiyo maana watu wengi wanaoishi katika jamii zisizo na mwamko wakutafuta pesa watu wote hubakia hivyo kwasababu kila mtu anayemfahamu si wakuwaza mambo makubwa hasahasa katika muktadha wa pesa [emoji383]

Binafsi nakutakia mafanikio mtu wangu. Keep that fire inside you[emoji91] burn all day everyday. Usipokuwa on Fire kama nilivyoandika katika post yangu hii ni ngumu kuwa na self motivation yakufanya kazi kila iitwapo leo.

Listen
Kupata mafanikio kwenye jambo lolote ni ngumu. Lakini iwapo utafuata mbinu fulani kwa walioweza kupata mafanikio kwa Level unayohitaji basi hiyo inawezekana sana tu.

Swali ni je, upo katika ā€œmotoā€ wakutosha kufuata ndoto zako bila kuogopa? Kwasababu no matter how good you think you are. You will fail many times before you hit your bigger goals in life. Hiyo Point kwamba utafail mara nyingi kabla hujapata unachokitaka itakupa motivation ukikosea uendelee tena na tena na si kuanza complaining and b**ch around.

Ok cool. Let me share my story.

Nilinza Online Freelancing 2016.

Hii haikuwa kwenye hizi freelancing site kama UpWork au Freelancer. Hizi kazi nilikuwa namfanyia rafiki yangu toka ng’ambo (hapa Chuganstan tunaita mbele [emoji6]) kila mara alipohitaji translation ya Kiswahili. Nafanya kazi ananilipa. Hii experience kwangu ilikuwa ni eye opener. Miaka michache baadaye nikaanza kujiunga kwenye freelancing sites tofauti lakini kama unavyojua beginners waliovyo, nilikuwa sipo active sana kwahiyo sikuweza kupata kazi.

Pia kingine sikufahamu mbinu zakukamata attention ya client ninapomwandikia proposal kila mara ninapo-apply kazi nayodhani ninauwezo wakuifanya. Nilikiwa naandika kama vile watu wengi wanavyofanya. Ooooh I have ten year experience. I have college degree blah blah blah.......

Hiyo haikusaidia kitu. Hata client hawakujisumbua kujibu achilia mbali kunipatia kazi. Lakini leo the story is different.

Nataka sasa nikuonyeshe jinsi navyopata kazi za $1000+

Angalia hii.

IMG_6506.JPG

IMG_6502.JPG

IMG_6501.JPG

Kama unavyoona hapo kwenye picha ukifanya kazi as smart person na kufahamu kipi client anachotaka ni rahisi kupata hizi deals.

Na jambo zuri ni kwamba unafanya kazi zako kwa uhuru na taratiibu unavuta pesa yako.

Isn’t that cool [emoji41]?

Ok.

Najua watu wengi watakimbilia kwenda kufungua Account nakuanza ku-apply kazi hovyo hovyo.

Niseme tu. You will fail big time.

Na sababu hapa ni kwamba you don’t have experience.

Je, ninaweza kukusaidia hapa?

Sure. Why not?

And yes I will CHARGE YOU MONEY [emoji383]for my time.

Lakini nitahakikisha nakupatia mafunzo sahihi ambayo kweli yatakusaidia.

Ok.

Sasa tungalie mambo matatu kwaharaka yatakayokufanya ufanikiwe ukiwa unaanza Online Freelancing. Kumbuka haya mambo ni basics tu. There so many more to learn.

1 • Jifunze ku-Hustle.

Lengo kubwa la kuanzishwa Online freelancing sites ni kusaidia watu wenye vipaji kutoa ujuzi wao na wao kulipwa pesa. Unajua sasa hivi makampuni mengi yanakwepa kuajiri wafanyakazi wasio deliver value yoyote huku wakipokea mishahara + health benefits + allowances na kadhalika. Hiyo ni hasara kwa Business ukizingatia wafanyakazi wengi ni mizogo kwa taasisi au kampuni.

Sasa hapa ndiyo inakuja Point ya clients kutafuta freelancers. Wanataka watu wanaojua ku-deliver na kufanya kazi kwa ubora wa juu. Sasa kwasababu freelance sites zinatoa nafasi kwa freelancers wengi duniani kote ku-apply kwa kazi husika basi ni sahahi kusema client lazima atapata freelancer mwenye ujuzi wa juu tena kwa gharama nafuu.

Angalia hii screenshot.

IMG_6510.JPG

Ok sasa nikirudi kwenye Point ya hustling ni kwamba unahitaji kuwa katika Hustle mode.

Kuwa smart kazi ipi ni sahihi kwako na ina unanafasi kubwa yakushinda. Usiwe mtu wakurupuka.

Unahitaji kuwa active Online. Kama umetumiwa message au Email jibu kwa wakati.

Kuna baadhi ya watu hata kujibu Email tu inawachukua wiki. Kama upo hivi this Online thing is not for you.

2 • Onyesha Skills zako na si University Degree.

Hapo vipi?

Kuna watu wanaishi kwenye illusion kwamba kwasababu upo na ā€œgambaā€ la chuo kikuu basi unashahili kupata kazi kwasababu umesomea huo ujuzi ☹.

Hiyo siyo kweli mtu wangu.

Kwanza client doesn’t cares about your degree.

Anachojali yeye ni kufanyiwa kazi yake kwa ukamilifu. Na kufanikisha hili unahitaji some tricks to gain his or her attention. I’m the master at this skill.

3 • You are not going to make $1,000+ kisa tu umesoma Hii post.

Yes.

Kuna watu wapo na unrealistic goals.

Wanataka pesa lakini hawapo tayari kufanya kazi au kupata experience inayotakiwa.

Hawa wanaumwa ungonjwa unaitwa shiny object syndrome.

Mtu wangu unahitaji muda. Unahitaji guidance lakini pia kuendelea kujifunza mwenyewe.

Hakuna mtu anayeweza kukufundisha kila kitu. Unachotakiwa kupata ni taarifa sahihi jinsi gani unaweza kuwa freelancer mwenye mafanikio.

Baada ya hapo utaweza kuendelea mwenyewe kwasababu tayari una msingi mzuri.

Ok.

Ngoja niishie hapa.

Sasa ni wakati wa kwenda na kufanyia kazi yote niliyoandika.

Pia tukutane tena katika post nyingine yenye kufundisha kama hii

Bless up!
 
Wewe mbona meseji ni ya leo tarehe 16 sasa hiyo pesa dola buku ndani ya siku 30 umelipwa lini? Unataka kushawishi watu kitu ambacho hata hujafanikiwa kulipwa hata 100 sasa hiyo experience ya masaa mawili ndio unajifanya expert?

You miss the point.

Wewe hufahamu hata freelancer wanalipwaje.

Hiyo pesa tayari imeshaingia kwenye Account ya escrow.

That is my money [emoji383]

Pia nikwambie tu ninafanya kazi za freelancing nyingi tu. Soma post zangu za nyuma usikurupuke.
 
Y

Yaani niache kusoma hii uliopost nikapekue mapost ya nyuma? Ndio maana umefuta futa tarehe kwa sababu unajua uongo ulioandika. Maisha magumu sio vizuri kuchezea hisia za watu, sahizi watu maisha yashawapiga alafu we unataka kuwapiga tena sio poa. Kama unajiamini kuwa muwazi elezea mpaka ulipofikia lakini usiandike kirahisi utadhani pesa inaokotwa huko kwa wazungu.
 
Mkuu acha hasira na wivu.

Hii si kazi yangu ya kwanza kufanya kama freelancer.

Ndiyo maana nimekwambia umekurupuka nauhakika huelewi lolote.

Mimi nafanya kazi na wageni toka nje si tu kama Online freelancer. Hakuna kitu utaniambia hapa.

Haya upo na doubt nyingine?
 
Mkuu unaonaje ukanipa hizo skills halafu tukalipana baada ya kufanikiwa kazi huko online?
 
Mkuu watu wanafikiri labda najaribu kudanganya watu hapa lakini sivyo.

Hiyo kazi ninaendelea nayo na $1,000 ndiyo malipo.

Nisingeweka Proof watu wangetaka Proof.

Mimi nipo vizuri kwenye kuuza ujuzi wangu.

Pia niseme wapo watu wengi toka hapa JF naendelea kuwafundisha na wananilipa pesa [emoji383]

Nafahamu watu wangu ni very suspicious inapokuja pesa.

But that is not my problem. And you know what?

I really don’t care about negativity
 
ungepiga hela hizo ucngepata ata muda wa kubangaiza apa online
#coomer

Wewe umelala sana mpaka uamke utakuwa tayari mzee.

Mimi natafuta dough [emoji383] iwe kubwa iwe ndogo.

Hii project ya $1,000 ni moja tu ya project nayofanya. Nipo na kazi nyingine za ndogo $10 , $30

Acha ushamba mkuu.
 
Wewe unataka uwageuze wenzio fursa huna lolote,maneno mengi mchanganyiko na viingereza kama mentor wako ONTARIO.

Nop.

You are wrong.

Unafikiri sipo na watu naowafundisha?

I have so many students under my guidance [emoji383]

Endelea kuwa na wasiwasi mkuu. Nafahamu hata Online Freelancing umeisikia kwangu.
 
Aisee kupiga pesa kw members wa JF toka upepo w forex upite imekua mbinde sana pole mtoa mada i feel Your pain[emoji23]

Mkuu lengo langu ni kutoa value.

Pia nikwambie tu nipo na students ninaoendelea kuwapatia guidance.

And you know what? They thank me a lot

Soma hapa

IMG_6511.JPG
 
Greetings Everybody.

Kwanza kabisa leo nianze kwakusema huu uzi utaleta mjadala mkali kwahiyo nimekuja na Proof ili matomaso wote wajionee. Pia niseme sipo hapa kujionyesha.

Lengo langu ni moja tu.

Nataka nitoe inspiration kwa maelfu ya vijana wenzangu wenye njaa ya pesa wataosoma uzi huu [emoji1675].

Nafahamu changamoto ya ajira na jinsi watu wanavyosota kwahiyo naaamini kama nitaweza andika post inakayosaidia kutoa inspiration kukufanya uinuke hapo ulipo sasa hivi na kwenda kupiga kazi basi nitakuwa nimefanya jambo zuri na InshAlah nitaongezewa [emoji1431].

Binafsi natambua umuhimu wa inspiration katika life kwasababu bila inspiration ni ngumu kuona success inafananaje ndiyo maana watu wengi wanaoishi katika jamii zisizo na mwamko wakutafuta pesa watu wote hubakia hivyo kwasababu kila mtu anayemfahamu si wakuwaza mambo makubwa hasahasa katika muktadha wa pesa [emoji383]

Binafsi nakutakia mafanikio mtu wangu. Keep that fire inside you[emoji91] burn all day everyday.

Usipokuwa on Fire kama nilivyoandika katika post yangu hii ni ngumu kuwa na self motivation yakufanya kazi kila iitwapo leo.

Listen.

Kupata mafanikio kwenye jambo lolote ni ngumu. Lakini iwapo utafuata mbinu fulani kwa walioweza kupata mafanikio kwa Level unayohitaji basi hiyo inawezekana sana tu.

Swali ni je, upo katika ā€œmotoā€ wakutosha kufuata ndoto zako bila kuogopa?

Kwasababu no matter how good you think you are. You will fail many times before you hit your bigger goals in life.

Hiyo Point kwamba utafail mara nyingi kabla hujapata unachokitaka itakupa motivation ukikosea uendelee tena na tena na si kuanza complaining and b**ch around.

Ok cool.

Let me share my story.

Nilinza Online Freelancing 2016.

Hii haikuwa kwenye hizi freelancing site kama UpWork au Freelancer. Hizi kazi nilikuwa namfanyia rafiki yangu toka ng’ambo (hapa Chuganstan tunaita mbele [emoji6]) kila mara alipohitaji translation ya Kiswahili. Nafanya kazi ananilipa. Hii experience kwangu ilikuwa ni eye opener. Miaka michache baadaye nikaanza kujiunga kwenye freelancing sites tofauti lakini kama unavyojua beginners waliovyo, nilikuwa sipo active sana kwahiyo sikuweza kupata kazi.

Pia kingine sikufahamu mbinu zakukamata attention ya client ninapomwandikia proposal kila mara ninapo-apply kazi nayodhani ninauwezo wakuifanya. Nilikiwa naandika kama vile watu wengi wanavyofanya. Ooooh I have ten year experience. I have college degree blah blah blah.......

Hiyo haikusaidia kitu.

Hata client hawakujisumbua kujibu achilia mbali kunipatia kazi.

Lakini leo the story is different.

Nataka sasa nikuonyeshe jinsi navyopata kazi za $1000+

Angalia hii.

View attachment 1235189

View attachment 1235192

View attachment 1235195

Kama unavyoona hapo kwenye picha ukifanya kazi as smart person na kufahamu kipi client anachotaka ni rahisi kupata hizi deals.

Na jambo zuri ni kwamba unafanya kazi zako kwa uhuru na taratiibu unavuta pesa yako.

Isn’t that cool [emoji41]?

Ok.

Najua watu wengi watakimbilia kwenda kufungua Account nakuanza ku-apply kazi hovyo hovyo.

Niseme tu. You will fail big time.

Na sababu hapa ni kwamba you don’t have experience.

Je, ninaweza kukusaidia hapa?

Sure. Why not?

And yes I will CHARGE YOU MONEY [emoji383]for my time.

Lakini nitahakikisha nakupatia mafunzo sahihi ambayo kweli yatakusaidia.

Ok.

Sasa tungalie mambo matatu kwaharaka yatakayokufanya ufanikiwe ukiwa unaanza Online Freelancing. Kumbuka haya mambo ni basics tu. There so many more to learn.

1 • Jifunze ku-Hustle.

Lengo kubwa la kuanzishwa Online freelancing sites ni kusaidia watu wenye vipaji kutoa ujuzi wao na wao kulipwa pesa. Unajua sasa hivi makampuni mengi yanakwepa kuajiri wafanyakazi wasio deliver value yoyote huku wakipokea mishahara + health benefits + allowances na kadhalika. Hiyo ni hasara kwa Business ukizingatia wafanyakazi wengi ni mizogo kwa taasisi au kampuni.

Sasa hapa ndiyo inakuja Point ya clients kutafuta freelancers. Wanataka watu wanaojua ku-deliver na kufanya kazi kwa ubora wa juu. Sasa kwasababu freelance sites zinatoa nafasi kwa freelancers wengi duniani kote ku-apply kwa kazi husika basi ni sahahi kusema client lazima atapata freelancer mwenye ujuzi wa juu tena kwa gharama nafuu.

Angalia hii screenshot.

View attachment 1235196

Ok sasa nikirudi kwenye Point ya hustling ni kwamba unahitaji kuwa katika Hustle mode.

Kuwa smart kazi ipi ni sahihi kwako na ina unanafasi kubwa yakushinda. Usiwe mtu wakurupuka.

Unahitaji kuwa active Online. Kama umetumiwa message au Email jibu kwa wakati.

Kuna baadhi ya watu hata kujibu Email tu inawachukua wiki. Kama upo hivi this Online thing is not for you.

2 • Onyesha Skills zako na si University Degree.

Hapo vipi?

Kuna watu wanaishi kwenye illusion kwamba kwasababu upo na ā€œgambaā€ la chuo kikuu basi unashahili kupata kazi kwasababu umesomea huo ujuzi [emoji3525].

Hiyo siyo kweli mtu wangu.

Kwanza client doesn’t cares about your degree.

Anachojali yeye ni kufanyiwa kazi yake kwa ukamilifu. Na kufanikisha hili unahitaji some tricks to gain his or her attention. I’m the master at this skill.

3 • You are not going to make $1,000+ kisa tu umesoma Hii post.

Yes.

Kuna watu wapo na unrealistic goals.

Wanataka pesa lakini hawapo tayari kufanya kazi au kupata experience inayotakiwa.

Hawa wanaumwa ungonjwa unaitwa shiny object syndrome.

Mtu wangu unahitaji muda. Unahitaji guidance lakini pia kuendelea kujifunza mwenyewe.

Hakuna mtu anayeweza kukufundisha kila kitu. Unachotakiwa kupata ni taarifa sahihi jinsi gani unaweza kuwa freelancer mwenye mafanikio.

Baada ya hapo utaweza kuendelea mwenyewe kwasababu tayari una msingi mzuri.

Ok.

Ngoja niishie hapa.

Sasa ni wakati wa kwenda na kufanyia kazi yote niliyoandika.

Pia tukutane tena katika post nyingine yenye kufundisha kama hii

Bless up!
acha utapeli
 
acha utapeli

You are so stupid man.

I’m sure you have no idea how Online Freelancing works.

Endelea kubwa jinga mkuu.

I’m afraid no amount of teaching will be able to liberate your mind from hate, mischief and jealousy
 
Ukifuatwa Pm unatoa email, tukija kwenye email, unatoa namba tukija kwenye namba haipatikani!
[emoji1316]

Mkuu ukiwa suspicious mambo mengi yatakupita.

Ngoja nikwambie kitu mimi ningekuwa mwonga na kuwaza sijui kutapeliwa blahblah opportunity nyingi zingenipita.

Kwa mfano niliweka post inayohusu Couchsurfing siku chache zimepita jinsi unavyoweza kutengeneza pesa still watu waliendelea ku-comment ujinga.

Hizi opportunity ni nyingi WATANZNAIA fungukeni.

Angalia huu ujumbe nimepokea usiku wa kuamkia leo toka Couchsurfing.

IMG_6512.JPG

Unajua kwanini watu toka duniani kote wananitafuta?

Sipo na ujinga mwingi walionao vijana wengi wa kitanzania.

Pia hata wageni wenyewe wananiambia waziwazi nipo tofauti.

Nikirudi kwenye number ya simu. Je wewe ulishawahi nitafuta?

Pia ufahamu mimi sifundishi BURE [emoji383]

Ukija kwangu nitakutoza pesa.

Simple and clear
 
Nop.

You are wrong.

Unafikiri sipo na watu naowafundisha?

I have so many students under my guidance [emoji383]

Endelea kuwa na wasiwasi mkuu. Nafahamu hata Online Freelancing umeisikia kwangu.
Nimeisikia muda mrefu sana probably kabla yako ila sijawahi kuwa interested.All the best kama kweli inakulipa.
 
Back
Top Bottom