Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Sema kwenye hili umemzingua sisy Joa. Sijapenda🤣🤣🤣🤣 Vile vyako mi nilipigia pic tyuu!!
Ww mpe sisy hata dolar 200
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kwenye hili umemzingua sisy Joa. Sijapenda🤣🤣🤣🤣 Vile vyako mi nilipigia pic tyuu!!
Ww mpe sisy hata dolar 200
🤣🤣🤣 Ww muoga muoga huna loloteA man acts 💪
Umeanzishia uzi wengi na wote wamekukataa Manyanza 🤣🤣🤣🤣Nishaanza kula vitu vilivyo toka Mother land kabla ya kuhamia hapa Bongo mpaka nikajua kuanguakia kwa huyu Nili yemuanzishia uzi Tuma Audi
😂😂😂 naanzaje kumzingua sasa?!!Sema kwenye hili umemzingua sisy Joa. Sijapenda
Huwezi, ww ni muoga. Sema tukulengeshe sehemuSitakula Kimasihara wala nini kwa sababu ni ubavu wako ili nataka nimuingize kwenye 18 ili awe na adabu 😂😂😂😂
Yaani hata kukuvutia hisia hata kama hisia bandia akili yangu inakukataa kabisa 😂 😂 😂🤣🤣🤣 Wee shtuka kwenye hiyo ndoto utajikojolea ujue Manyanza
Mimi huyu?? Unaota wewe 🤣Mbona unajaanza kujileta 😂😂😂
Joannah natoa ruksa lamomy akutumie noti 2 za dola 100.😂😂😂😂 Ila kantry unazingua!! Sema nitamtumia si pesa zako haina shida. Ww nipe ruksa uone.
Jeuri hiyo huna!! Na hilo la kunitia mikononi sahau, endelea kuota labda kuku wa nyumbani kwenu 🤣Yaani hata kukuvutia hisia hata kama hisia bandia akili yangu inakukataa kabisa 😂 😂 😂
Ila nataka nikutie mikononi kama Kuku wa Kienyeji anavyo yafuata mahindi mpaka bandan na watu wanamkamata na kumtia kisu cha shingo
Sawa shemeji yangu 😍Yes, aache kukubania ntaongea nae
Ushaanza na kutepweta kabisa tena hapa public kabisa halafu mtandaoni, yaani wewe aisee Huna viwango kabisaaMimi huyu?? Unaota wewe 🤣
Kaaa hivyo hivyo na unavyo penda kunichokonoa wewe subiri tu.Jeuri hiyo huna!! Na hilo la kunitia mikononi sahau, endelea kuota labda kuku wa nyumbani kwenu 🤣
Ndio zake hizo, hiyo ya kuanzisha post ndio silaha yake kubwa lakini kote kaangukia puaUmeanzishia uzi wengi na wote wamekukataa Manyanza 🤣🤣🤣🤣
Wee ushindweeee 😂😂😂Joannah natoa ruksa lamomy akutumie noti 2 za dola 100.
Sasa asipofanya naomba umfute kabisa kwenye undugu na sio mdogo wako tena.
😂😂😂😂 Ndiomana nakwambia wewe una matatizo kichwani..!!Ushaanza na kutepweta kabisa tena hapa public kabisa halafu mtandaoni, yaani wewe aisee Huna viwango kabisaa
Kaaa hivyo hivyo na unavyo penda kunichokonoa wewe subiri tu.
Ujasiri wa kujivika tu, but kwa reality ni muogaMwanangu Mimi sio muoga kabisa na nina shukuru Mungu kanipa roho ya ujasiri
😂😂😂😂 Hana ushawishi wote wanamuona km shosti yaoNdio zake hizo, hiyo ya kuanzisha post ndio silaha yake kubwa lakini kote kaangukia pua
Ajaribu Sasa hata kwa Antonnia