P Pakada JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 943 Reaction score 1,073 Dec 25, 2024 #61 MAKANGEMBUZI said: Kama kujitafuta kwako mpaka unajipata ndugu hawakushiriki una haki ya kuwakataa lakini kama viatu vya shule kanunia mjomba,uniform kanunia bamdogo,kaka alikulipia ada lazima uwajibike kwao ....otherwise funga mdomo wako. Click to expand... Kuna wengine hata pen hakuna lakini wee pata kazi ndiyo utaanza kuona simu zakusalimiwa
MAKANGEMBUZI said: Kama kujitafuta kwako mpaka unajipata ndugu hawakushiriki una haki ya kuwakataa lakini kama viatu vya shule kanunia mjomba,uniform kanunia bamdogo,kaka alikulipia ada lazima uwajibike kwao ....otherwise funga mdomo wako. Click to expand... Kuna wengine hata pen hakuna lakini wee pata kazi ndiyo utaanza kuona simu zakusalimiwa
K katawa JF-Expert Member Joined Jan 29, 2010 Posts 1,103 Reaction score 2,575 Dec 25, 2024 #62 Beira Boy said: Wasaidien ndugu zenu acheni roho mbaya Unakuta mtu mmoja umejilimbikizia uchumi mwingi sana alafu ndugu zako wote masikin mafukara wa kutupwa Hata ikitokea umekufa hakuna hata ndugu yako mmoja mwenye uwezo wa kununulia hata jeneza la laki mbili Click to expand... Fukara yeyote ni maamuzi yake kuwa fukara,hupaswi kumuonea huruma.
Beira Boy said: Wasaidien ndugu zenu acheni roho mbaya Unakuta mtu mmoja umejilimbikizia uchumi mwingi sana alafu ndugu zako wote masikin mafukara wa kutupwa Hata ikitokea umekufa hakuna hata ndugu yako mmoja mwenye uwezo wa kununulia hata jeneza la laki mbili Click to expand... Fukara yeyote ni maamuzi yake kuwa fukara,hupaswi kumuonea huruma.
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 1,748 Reaction score 3,229 Dec 25, 2024 #63 Miezi 3 nyumba nilipata heka heka za kibarua, Ikabidi nimuombe ss anipige tafu. Aloo, Tusaidiane jamn pale panapo wezekana, Isingekua ss kunishika mkono ningeteseka mno. Now kidogo nimesimama
Miezi 3 nyumba nilipata heka heka za kibarua, Ikabidi nimuombe ss anipige tafu. Aloo, Tusaidiane jamn pale panapo wezekana, Isingekua ss kunishika mkono ningeteseka mno. Now kidogo nimesimama
Mr. Purpose JF-Expert Member Joined Nov 12, 2016 Posts 1,468 Reaction score 2,767 Dec 26, 2024 #64 1. Saida ukiwa na uwezo wa kusaidia. Mapato yako yaruhusu kutoa msaada tofauti na hapo unajitengenezea majanga. 2. Saidia watu SAHIHI. Siyo kila mtu unapaswa kumsaidia haijalishi ni ndugu au siyo ndugu. Isikilize sauti yako ya ndani ikikuambia toa, toa kweli ila ikikuambia usitoe hatakama unayo nyingi kiasi gani USITOE! Binadamu ni viumbe ambavyo vinabadilika. Usije ukaanza kujilaumu baadae ukianza kuona uhalisia wao ukiwa hauna kitu.
1. Saida ukiwa na uwezo wa kusaidia. Mapato yako yaruhusu kutoa msaada tofauti na hapo unajitengenezea majanga. 2. Saidia watu SAHIHI. Siyo kila mtu unapaswa kumsaidia haijalishi ni ndugu au siyo ndugu. Isikilize sauti yako ya ndani ikikuambia toa, toa kweli ila ikikuambia usitoe hatakama unayo nyingi kiasi gani USITOE! Binadamu ni viumbe ambavyo vinabadilika. Usije ukaanza kujilaumu baadae ukianza kuona uhalisia wao ukiwa hauna kitu.