Kuna wengine hata pen hakuna lakini wee pata kazi ndiyo utaanza kuona simu zakusalimiwaKama kujitafuta kwako mpaka unajipata ndugu hawakushiriki una haki ya kuwakataa lakini kama viatu vya shule kanunia mjomba,uniform kanunia bamdogo,kaka alikulipia ada lazima uwajibike kwao ....otherwise funga mdomo wako.