smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Unapenda uzungu sana dogo!! basi jua wana tabia mbaya sana wale. Wachekee tu utalia cku moja.hayaaa!!Hahaha Tabia za Uswahili Kama kawaida yenu eti Danga langu .. Hahaha
Soon wanakufanya chakula wee wachekee tu hawana dogo wale!!!
kwanza Ebu tupe kwa kifupi nani aligharamia hiyo safari yako yooote??
Inaonekana unawapenda sana kutoka moyoni!!!
Mie mswahili typical wa kureee!!! Jua ivo!! niko ivo!! Sitamani hata kuwa zeruzeru wa ulaya.
Wee mzungu eti na avata ya kizungu sawa bana mzungu pori.