Nilivyoyaona maendeleo ya Tanzania baada ya kuwa Ulaya kwa zaidi ya miaka minne

Kwa akili ya kawaida tu huwezi fananisha jiji lenye watu 4M na 100k kwenye development na maintanance labda uwe juha.
Kilaza wewe
Nilijua tu utajichanganya kwenye hicho kichaka. Kichwa kikubwa Kama embe bolibo bichi
 
Shalom,

Baada ya kuwa Ulaya kwa miaka zaidi ya minne, hatimaye mwezi wa tisa mwaka 2020 niliamua kurejea nyumbani ili kumjulia hali baba yangu mzazi pamoja na ndugu zangu.

Kwa kawaida mimi napenda sana kutembea, zaidi napenda kufurahia na kujifunza namna miji duniani kote ilivyojengwa. Hivyo nikiwa ulaya mbali na nchi ninayoishi niliamua kutembelea mara kadhaa Brussels, Paris, Berlin, Colon, Dortmund, London, Oslo na miji mingi midogo ya ujerumani. Pia ili kukidhi haja ya moyo wangu nimetembelea karibu miji yote mikubwa na midogo ya nchi ninayoishi. Pia nilibahatika kutembelea tel aviv na jerusalem nchini israel. Kwa ujumla matembezi yangu yameniwezesha kujionea landmarks muhimu karibu yote kwenye nchi nilizotembelea. Pia kwa kuwa, mbali na safari ya London, Oslo na nchini Israel ambapo nilipanda ndege miji yote iliyobaki nilisafiri kwa bus ambapo nilipata furasa ya kuiona ulaya kwa undani zaidi hasa highways. Kwa ufupi ulaya imeunganishwa na barabara nzuri sana na zenye ubora wa hali ya juu kabisa. Kuna raha yake kusafiri nchi za Ulaya kwa kutumia barabara.

Baada ya utangulizi sasa naeleza nilivyoiona tanzania baada ya kutua Dar es Salaam.

1. Kwa kuwa tulitua usiku, haikuwa ajabu sana kuiona Dar es Salaam.mfano wa nyota za angani ambazo huwa hazina mpangilio maalum maana naijua vema na hata kabla sijaondoka kwenda ng'ambo nilitua na kupaa mara kadhaa kwa safari za ndani, nilijua Dar es Salaam. ina mipango miji mibovu inayofanya nyumba kujengwa bila mpangilio na hivyo usiku kuonesha taa zilizozagaa kama nyota angani. Tofauti kabisa na unavyoshuka usiku kwenye miji mingine duniani ambapo utaona namna barabara za mitaa na highways zilivyopangwa, na hata taa za mji kuwa kwenye mpangilio maalum. Tofauti na nilivyouacha uwanja wa ndege. Walau mara hii terminal 3 kwa mbali sana nilikiri inaondoa aibu tuliyokuwa nayo, lakini hata hivyo niliona kama bado ni ndogo sana.

2. Baada ya kutua na kuvuka security control nilitoka nje na kukutana na dereva wa "hotel' niliyofanya booking kwa njia ya simu baada ya kuiona kwenye booking.Com, haiko mbali sana na airport, nikili wazi njia nzima kuelekea hotelini, nikiwa na picha ya miji ya ulaya kichwani, niliona mji kuwa ni masikini na mchafu kupindukia. Hotel yenyewe niliyolipia laki moja ambayo kiukweli ni hela ndogo sana kwa euro niliikuta ni ya hovyo, chumbani nilikuta kuna neti ya mbu hiki nacho kilinistua maana Ulaya sikuwahi kulala na neti, pia nilikuta chumba kimepuliziwa dawa ya mbu. Palinishinda ilibidi nitafute sehemu nyingine ya kulala.

3. Kesho yake asubuhi nilisafiri kuelekea Mwanza. Baada ya kutua nilendelea kuona umasikini kama niliouona Dar es Salaam, nyumba za kimasikini zisizopangiliwa vema. Airport mtu anakubebea mzigo kwa vile vigari mpaka kwenye taxi, lakini baadaye anakuomba hela wakati haukukubaliana naye. Sintoongelea sana Mwanza.

4. Siku zangu zilivyokaribia za kurejea Ulaya, nilirudi Dar es Salaam. siku 2 kabla, lengo likiwa ni kuona mechi ya timu ya taifa. Nakumbuka kulipokucha na baada ya breakfast nilimwambia dereva taxi anizungushe dsm niione kwa ukaribu, hasa miundombinu inayoongelewa sana kwamba imeifanya Dar es Salaam kuwa kama Ulaya. Lengo lilikuwa baada ya kuzunguka mimi na dereva taxi tukaone mechi. Nilikubali kumlipa kwa ujumla. Nilimtaka anipeleke tff maana kulikuwa na dada mmoja nilitaka kukutana naye ili aniuzie jezi za timu ya taifa, Daraja la Mfugale, daraja Ubungo, kisha twende Mlimani City kwa ajili ya chakula, kisha daraja la Selandar, baadaye twende Kigamboni kupitia Daraja la Nyerere.

  • Daraja la Mfugale - sina mengi ila niliona ni kama kituta fulani tu kilichojaa umasikini - hakuna la maana la kupiga kelele nyingi
  • TFF - licha ya hela zote wazipatazo nilisikitika kuikuta kama nilivyoiacha, inatia aibu
  • Daraja la kijazi - hakuna kitu, kampala tu mbali na kuihusisha nairobi tunatia aibu kwa kelele tuzipigazo, maana wenzetu wa east africa wako mbali sana kwenye mambo ya flyovers
  • Mlimani City-licha ya kuwa napafahamu sana, niliona kuna ulazima wa kujenga malls kubwa zaidi kama ilivyo kwa nairobi na miji ya south africa
  • Daraja la baharini Selandar
  • Niliona kama tunajipiga wenyewe, kiukweli sikuona umuhimu wa lile daraja, maana kijiographia niliona kama limelazimishwa, nadhani linalenda kuwarahisishia mabalozi na watu wakubwa wakaao maeneo ya Mbezi Beach, Oysetrbay na kwingineko kufikia ofisi zao kiurahisi.
  • Maeneo yote ya Upanga na hata ikulu niliona ni pa hovyo sana, uchafu ni mwingi mno, pengine nimeathiriwa na kuishi miji ambayo eneo lote la mji limewekewa tiles.
  • Barabara ya Ali Hassan Mwinyi niliona kuna majengo yamechomoka kidogo yaliupendezesha mji, maana kiukweli Watanzania tuko obsessed obssessed sana na maghorofa pengine kuliko miundombinu muhimu ikiwamo maji taka na maji safi na umeme, hivyo kiurefu wa majengo tu, dsm inayazidi majiji yote niliyotembelea, labda kwa uimara yanaweza kuwa chini ya kiwango ila si haba.
  • Hatukubahatika kuliona daraja la nyerere maana muda wa mechi ulikuwa umefika.

Mwisho - siyo kwamba napachukia nyumbani lengo la uzi huu ni kutaka tubadilike na ikiwa tunataka maendeleo ya kweli ya miji yetu ni lazima tukubali kujifunza na kuona wenzetu wanafanyaje. Ili dsm yetu iwe na hadhi ya kidunia ni lazima (ukweli mchungu) kubomolewa upya, labda kuacha maeneo machache sana, na kujengwa upya (ni hasara lakini baada ya kujengwa upya faida yake ni kubwa sana)

Nawaomba viongozi wetu watembee, wajifunze jinsi miji inavyojengwa kuna faida kubwa sana kwa kufanya hivyo
Wewe nimuongo daraja la Kijazi mwezi wa 9 2020 lilikuwa bado halijaanza kutumika.
 
Nakuunga mkono kwenye hoja ya kwanza mpangilio wa nyumba /muonekano wa nyumba.

Nimebahatika kutembelea Nchi chache kama Israel, Uturuki, Marekani , Qatar nk...kiukweli ndege ikiwa inatua, unavutiwa na mpangilio mzuri wa nyumba za makazi/viwanda na muonekano wa jinsi miundombinu ya barabara na reli ilivyo.

Nyumba ziko kwenye mwonekano kama box zikizungukwa na miundombinu maridhawa.

Dar es Salaam ni jiji lenye mpangilio mbovu sijawahi ona, jiji lina nyumba scarted kama nyota uko angani.

Sijui kama tunaweza kufika uko, labda ila sioni ni kwa jinsi gani.
 
Mataga watasema unaionea wivu Tanzania yao

Miaka 4 tu ulitegemea kuona Tz hakuna umasikini! Kwa lipi hasa?
 
Ko mkuu huwa unapanda na mbuzi kwenye gari [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nadhani hujazunguka Tanzania. Tulioishi vijijini tunajua. Nenda Monduli huko ukajifunze. Nenda maeneo ya wafugaji uone. unapanda gari..mbuzi...kuku.. hadi bata wamo. Tanzania ni kubwa. Bahati nzuri nimeizunguka Tanzania yote. Mijini na vijijini.
 
Akili yako unaijua mwenyewe tu. Aliyekuambia naikana Tanzania ni nani? Tanzania ni nchi yangu, ulitaka nizikwe wapi sasa? Hivyo wewe ulitaka nitathmini maendeleo ya nchi yangu kutumia akili zako ama? HII ni tathmini yangu mimi wala si ya mtu mwingine yeyote yule, na lengo lake ni kuamsha mjadala na kuwastua wenye mamlaka ili wafanyie kazi .....ULITAKA NIDANGANYE KWA KUSEMA 1. DARAJA LA MFUGALE NI ZURI NA IMARA KULIKO YOTE YALIYOKO DUNIANI 2. AIRPORT YA DSM NI NZURI NA KUBWA KULIKO SCHIPHOL? PIA ULITAKA NISEME DSM NI MJI SAFI NA UNA NYUMA ZILIZOPANGWA VIZURI KULIKO LONDON? N.K NINGESEMA HAYA NDIYO UNGEFURAHI? NA JE NINGEKUWA SAHIHI? ACHA UPUUZI, ULITAKA NISEME WATANZANIA NI MATAJIRI NA WANAISHI MAISHA BORA?
Tatizo ni lugha uliyotumia katika kuwasilisha ujumbe wako. Japokuwa kuna ukweli wa mengi uliyosema lakini lugha uliyotumia kuwasilisha ujumbe wako ndio tatizo/kikwazo kwa wengi humu jukwaani. Wengi tunajua hayo ulliyoyasema na wala si kwa Tanzania pekee bali nchi nyingi za kiafrika zipo namna hiyo kama ilivyo Tanzania yetu. HUWEZI KWENDA KWA WAMASAI UKIWA NA KUSUDI LA KUWAFANYA WAACHE KUVAA MASHUKA KWA KUDHARAU MASHUKA YAO. UNATAKIWA UONYESHE MADHARA YA KUVAA MASHUKA NA FAIDA ZA KUTOVAA. UWAELIMISHE BADALA YA KUWATUKANA MAANA UNAWEZA KUAMBULIA SIME MOJA YA PUMBU HADI UKAZIMIA. Approach uliyoitumia siyo educative hata kidogo bali dharau. siku Nyingine tafuta namna nzuri ya kuwasilisha ujumbe wako kwa njia rafiki zaidi.
 
majiji unayataja mengi yamekuwepo kwa karne nyingi tu....na hao walitokea tulipo sisi.....bro acha ulimbukeni
 
Unatakiwa ujue ya kwamba maendeleo yana hatua zake, kwa maelezo yako wewe unahisi maendeleo ni vitu vinavyoonekana kwa juu juu tu,hujaangalia kama nchi hii ni kubwa na tulikua mbali mno. Mfano unaongelea miji ambayo ilishajengwa miaka mingi sana halafu unalinganisha na kwetu ambako kumeanza kujengeka hivi karibuni. kama kweli unaijua vizuri nchi yako jiulize unayoyaona leo ilikuwa hivi ten years back? Haya sasa maendeleo huanza na mtu mmoja mmoja, je kwenye ukoo wenu wewe umefanya nini cha kubadilisha ili ionekane na nyinyi mmepiga hatua? Acha kujivunia cha watu wengine hata sisi tunatembea usijione peke yako ndiye umesafiri, hii nchi inabadilika na mabadiliko yana hatua zake na siyo ghafla kama unavyotaka wewe, ni sawa na mwanamke anayetaka kuolewa na mwanaume mwenye uwezo wakati wanaweza tafuta wote na mambo yakaenda. Kwetu bado pazuri ndiyo maana hata hao mabilionea wa hapa kwetu hawajahama tunaishi nao tu hapa hapa, tena wao wanatembea duniani zaidi yako lakini hawajaja na mbwembwe kama hizi zako, hebu tuache kidogo.
 
Shalom,

Baada ya kuwa Ulaya kwa miaka zaidi ya minne, hatimaye mwezi wa tisa mwaka 2020 niliamua kurejea nyumbani ili kumjulia hali baba yangu mzazi pamoja na ndugu zangu.

Kwa kawaida mimi napenda sana kutembea, zaidi napenda kufurahia na kujifunza namna miji duniani kote ilivyojengwa. Hivyo nikiwa ulaya mbali na nchi ninayoishi niliamua kutembelea mara kadhaa Brussels, Paris, Berlin, Colon, Dortmund, London, Oslo na miji mingi midogo ya ujerumani. Pia ili kukidhi haja ya moyo wangu nimetembelea karibu miji yote mikubwa na midogo ya nchi ninayoishi. Pia nilibahatika kutembelea tel aviv na jerusalem nchini israel. Kwa ujumla matembezi yangu yameniwezesha kujionea landmarks muhimu karibu yote kwenye nchi nilizotembelea. Pia kwa kuwa, mbali na safari ya London, Oslo na nchini Israel ambapo nilipanda ndege miji yote iliyobaki nilisafiri kwa bus ambapo nilipata furasa ya kuiona ulaya kwa undani zaidi hasa highways. Kwa ufupi ulaya imeunganishwa na barabara nzuri sana na zenye ubora wa hali ya juu kabisa. Kuna raha yake kusafiri nchi za Ulaya kwa kutumia barabara.

Baada ya utangulizi sasa naeleza nilivyoiona tanzania baada ya kutua Dar es Salaam.

1. Kwa kuwa tulitua usiku, haikuwa ajabu sana kuiona Dar es Salaam.mfano wa nyota za angani ambazo huwa hazina mpangilio maalum maana naijua vema na hata kabla sijaondoka kwenda ng'ambo nilitua na kupaa mara kadhaa kwa safari za ndani, nilijua Dar es Salaam. ina mipango miji mibovu inayofanya nyumba kujengwa bila mpangilio na hivyo usiku kuonesha taa zilizozagaa kama nyota angani. Tofauti kabisa na unavyoshuka usiku kwenye miji mingine duniani ambapo utaona namna barabara za mitaa na highways zilivyopangwa, na hata taa za mji kuwa kwenye mpangilio maalum. Tofauti na nilivyouacha uwanja wa ndege. Walau mara hii terminal 3 kwa mbali sana nilikiri inaondoa aibu tuliyokuwa nayo, lakini hata hivyo niliona kama bado ni ndogo sana.

2. Baada ya kutua na kuvuka security control nilitoka nje na kukutana na dereva wa "hotel' niliyofanya booking kwa njia ya simu baada ya kuiona kwenye booking.Com, haiko mbali sana na airport, nikili wazi njia nzima kuelekea hotelini, nikiwa na picha ya miji ya ulaya kichwani, niliona mji kuwa ni masikini na mchafu kupindukia. Hotel yenyewe niliyolipia laki moja ambayo kiukweli ni hela ndogo sana kwa euro niliikuta ni ya hovyo, chumbani nilikuta kuna neti ya mbu hiki nacho kilinistua maana Ulaya sikuwahi kulala na neti, pia nilikuta chumba kimepuliziwa dawa ya mbu. Palinishinda ilibidi nitafute sehemu nyingine ya kulala.

3. Kesho yake asubuhi nilisafiri kuelekea Mwanza. Baada ya kutua nilendelea kuona umasikini kama niliouona Dar es Salaam, nyumba za kimasikini zisizopangiliwa vema. Airport mtu anakubebea mzigo kwa vile vigari mpaka kwenye taxi, lakini baadaye anakuomba hela wakati haukukubaliana naye. Sintoongelea sana Mwanza.

4. Siku zangu zilivyokaribia za kurejea Ulaya, nilirudi Dar es Salaam. siku 2 kabla, lengo likiwa ni kuona mechi ya timu ya taifa. Nakumbuka kulipokucha na baada ya breakfast nilimwambia dereva taxi anizungushe dsm niione kwa ukaribu, hasa miundombinu inayoongelewa sana kwamba imeifanya Dar es Salaam kuwa kama Ulaya. Lengo lilikuwa baada ya kuzunguka mimi na dereva taxi tukaone mechi. Nilikubali kumlipa kwa ujumla. Nilimtaka anipeleke tff maana kulikuwa na dada mmoja nilitaka kukutana naye ili aniuzie jezi za timu ya taifa, Daraja la Mfugale, daraja Ubungo, kisha twende Mlimani City kwa ajili ya chakula, kisha daraja la Selandar, baadaye twende Kigamboni kupitia Daraja la Nyerere.

  • Daraja la Mfugale - sina mengi ila niliona ni kama kituta fulani tu kilichojaa umasikini - hakuna la maana la kupiga kelele nyingi
  • TFF - licha ya hela zote wazipatazo nilisikitika kuikuta kama nilivyoiacha, inatia aibu
  • Daraja la kijazi - hakuna kitu, kampala tu mbali na kuihusisha nairobi tunatia aibu kwa kelele tuzipigazo, maana wenzetu wa east africa wako mbali sana kwenye mambo ya flyovers
  • Mlimani City-licha ya kuwa napafahamu sana, niliona kuna ulazima wa kujenga malls kubwa zaidi kama ilivyo kwa nairobi na miji ya south africa
  • Daraja la baharini Selandar
  • Niliona kama tunajipiga wenyewe, kiukweli sikuona umuhimu wa lile daraja, maana kijiographia niliona kama limelazimishwa, nadhani linalenda kuwarahisishia mabalozi na watu wakubwa wakaao maeneo ya Mbezi Beach, Oysetrbay na kwingineko kufikia ofisi zao kiurahisi.
  • Maeneo yote ya Upanga na hata ikulu niliona ni pa hovyo sana, uchafu ni mwingi mno, pengine nimeathiriwa na kuishi miji ambayo eneo lote la mji limewekewa tiles.
  • Barabara ya Ali Hassan Mwinyi niliona kuna majengo yamechomoka kidogo yaliupendezesha mji, maana kiukweli Watanzania tuko obsessed obssessed sana na maghorofa pengine kuliko miundombinu muhimu ikiwamo maji taka na maji safi na umeme, hivyo kiurefu wa majengo tu, dsm inayazidi majiji yote niliyotembelea, labda kwa uimara yanaweza kuwa chini ya kiwango ila si haba.
  • Hatukubahatika kuliona daraja la nyerere maana muda wa mechi ulikuwa umefika.

Mwisho - siyo kwamba napachukia nyumbani lengo la uzi huu ni kutaka tubadilike na ikiwa tunataka maendeleo ya kweli ya miji yetu ni lazima tukubali kujifunza na kuona wenzetu wanafanyaje. Ili dsm yetu iwe na hadhi ya kidunia ni lazima (ukweli mchungu) kubomolewa upya, labda kuacha maeneo machache sana, na kujengwa upya (ni hasara lakini baada ya kujengwa upya faida yake ni kubwa sana)

Nawaomba viongozi wetu watembee, wajifunze jinsi miji inavyojengwa kuna faida kubwa sana kwa kufanya hivyo
Naam, Tatizo kubwa ni kutotumia vizuri utaalam kidogo tulionao kujibadili...miji mipya inakua kila siku lakini bado inajengwa bila plans...Iyo ya zamani nayo ndio kama jana. ..Sasa tulivyonamatatizo mengi serikali itawezaje kufumua mji uliokaa kushoto wakat huohuo bado barabara nyingi ni mbovu...maji hayajafika kila mahali bado kuna shida ya miundombinu ya umeme nk. ..hapo kama watahitaji kufumua jiji budget yake inabidi iwe kwa hisani ya mfuko wa mdau ambae atawekeza kwenye real estate na sera ya ujenzi ipitiwe upya sio lazima kila mtu ajenge mjini
 
Kwa suala la bus station nadhani waTanzania tuko vizuri, sijatembelea hiyo, lakini kama imejengwa kwa ubora unaotakiwa basi tutakuwa tunazizidi nchi za ulaya kwenye eneo la Bus station maana huku sijaona bus station ya maana. Hata ile ya Paris bado hawatufikii ukilinganisha na yetu.

Nadhani Ulaya bus station za masafa marefu hazipewi umuhimu sana kama ilivyo Tanzania.

Hiyo ya Mbezi NAIONA KWENYE PICHA TU.
Acha kutuchekesha ww
 
Havi kweli unafananisha majiji kama london, Berlin, tel Aviv, dotmund etc na mwanza na DSM!!!??
Majiji baadhi ya hayo yana miaka 50-200yrs, pia uchumi wa hayo majiji na yetu kweli lakini unafikia kufananisha london na dsm.
Nimelia sana niseme tu tz ndo kwenu na utarudi mfu au uzikwe huko kama mbwa. Kenge wewe
Azikwe ana ardhi? Huku wananunua ardhi ya kuja kuzikiwa ukifa otherwise wanatia kibiriti tu kama makaratasi.
 
Unatakiwa ujue ya kwamba maendeleo yana hatua zake, kwa maelezo yako wewe unahisi maendeleo ni vitu vinavyoonekana kwa juu juu tu,hujaangalia kama nchi hii ni kubwa na tulikua mbali mno. Mfano unaongelea miji ambayo ilishajengwa miaka mingi sana halafu unalinganisha na kwetu ambako kumeanza kujengeka hivi karibuni. kama kweli unaijua vizuri nchi yako jiulize unayoyaona leo ilikuwa hivi ten years back? Haya sasa maendeleo huanza na mtu mmoja mmoja, je kwenye ukoo wenu wewe umefanya nini cha kubadilisha ili ionekane na nyinyi mmepiga hatua? Acha kujivunia cha watu wengine hata sisi tunatembea usijione peke yako ndiye umesafiri, hii nchi inabadilika na mabadiliko yana hatua zake na siyo ghafla kama unavyotaka wewe, ni sawa na mwanamke anayetaka kuolewa na mwanaume mwenye uwezo wakati wanaweza tafuta wote na mambo yakaenda. Kwetu bado pazuri ndiyo maana hata hao mabilionea wa hapa kwetu hawajahama tunaishi nao tu hapa hapa, tena wao wanatembea duniani zaidi yako lakini hawajaja na mbwembwe kama hizi zako, hebu tuache kidogo.

Ubovu wa mipango miji ni zoezi endelevu hpa tanzania, ingekuwa inatia moyo km ujenzi mpya ungekuwa unafata kanuni za mipango miji lakini mambo ni yale yale tokea mwaka 80. Km huamini nenda chanika ukaone ujenzi holela unavyoendelea kwa kasi.
 
Unatakiwa ujue ya kwamba maendeleo yana hatua zake, kwa maelezo yako wewe unahisi maendeleo ni vitu vinavyoonekana kwa juu juu tu,hujaangalia kama nchi hii ni kubwa na tulikua mbali mno. Mfano unaongelea miji ambayo ilishajengwa miaka mingi sana halafu unalinganisha na kwetu ambako kumeanza kujengeka hivi karibuni. kama kweli unaijua vizuri nchi yako jiulize unayoyaona leo ilikuwa hivi ten years back? Haya sasa maendeleo huanza na mtu mmoja mmoja, je kwenye ukoo wenu wewe umefanya nini cha kubadilisha ili ionekane na nyinyi mmepiga hatua? Acha kujivunia cha watu wengine hata sisi tunatembea usijione peke yako ndiye umesafiri, hii nchi inabadilika na mabadiliko yana hatua zake na siyo ghafla kama unavyotaka wewe, ni sawa na mwanamke anayetaka kuolewa na mwanaume mwenye uwezo wakati wanaweza tafuta wote na mambo yakaenda. Kwetu bado pazuri ndiyo maana hata hao mabilionea wa hapa kwetu hawajahama tunaishi nao tu hapa hapa, tena wao wanatembea duniani zaidi yako lakini hawajaja na mbwembwe kama hizi zako, hebu tuache kidogo.

Kwani kigali ya rwanda imeanza kujengwa lini? Mbona nyumba zao zinafuata kanuni za mipango miji tena wakiwa na changamoto ya milima! Si hapa sehemu kubwa ya nchi yetu ni tambarare lkn ujenzi holela ndio umeshika chati

Usitetee uozo kuwa muwazi incompetent culture imeshamiri kwa watendaji wa serikali ndio maana mambo ni shaghala baghala kila kona
 
Tafuta hela dada acha kudanga.

Punguza stress maisha ukiyakosea mwenyewe acha kutufokea ng'ombe wewe.

Umebeba fuvu limejaa matakataka ya jalalani ndio maana huna unalofikiria zaidi ya mipasho.

Tabia zako za uswazi peleka kwa waswazi wenzio na uwe na heshima Nina uwezo wa kukukojoza wewe na danga lako.

Em out!
Hela ninazo! Tena si kitoto! Wala si za madafu!

wanaojua kukojoza hawabishani na ke' kibamia chako kuree!! nani anataka?
Uswazi kwani wee mzungu? Ndiyo mie mswazi niko njema!
Wee me" gani mkerewe unalilia maisha ya wanaume wenzako?
Tena bila aibu unaweka bandiko reeefu!! na wale hawana noma watakuwowa kwa mpango huu!

Mkojoze nani wakati. Weye unatamni kukojozwa? Danga langu bab kubwa halina ujinga!! Sema labda umelitamani hilodanga langu ole wako nikikukamata! Unalo utaimba!
huu uzi wako hautufai!
 
Hahaha Tabia za Uswahili Kama kawaida yenu eti Danga langu .. Hahaha
 
Back
Top Bottom