Niliwaambia wazazi wasubiri niweke mambo yakae sawa wakanigomea, sasa naona yakitimia

Mabwege ndio huwa wanapelekeshwa na mahusiano..
Mimi ningekuwa mshikaji ningeacha hata kupokea simu zao tu natafuta mbunye nyingine naipiga mimba maisha yanaendelea fresh tu..
 
We nae hakuna kitu kabisa hapo inshu ni hela sio kuwasikiliza wazazi. Upande wa mke wanatama hela wewe unasema jamaa ana kiburi sasa hata akiwa mpole inatakiwa hela
Haya boss nimekuelewa.
 
Ni utaratibu ndani ya jamii zetu kulingana na tamaduni na desturi zetu.
 
Ni utaratibu ndani ya jamii zetu kulingana na tamaduni na desturi zetu.
Usiniambie utaratibu eti mila na desturi?
Desturi ilikuwa ni kuoa mabinti wadogo 17yrs 16 to 15 yrs unajua kwanini?
Ni ili kuwahi kumuondoa binti kwao asije akaanza kuliwa akiwa hapo kwao
So binti alikuwa na ile thamani yake halisi sio unalipia mahari tobo limepitishiwa Uume wa kila dizaini ni ujinga na ushamba tena wenye binti wanaenda mbali wakidhani wana haki kufanya hivyo kiaje uniuzie mtumba?
 
Mkuu! Naona uko tayari kuishi na mwanamke lkn si kuoa.... anyway, usiwe na shaka wala hofu maana hili litapita bila ya makwazo! Kimsingi muiitikikie wito na mpange safu nzuri ya kwenda ukweni kwa maana ya wazee wenye busara na wazuri wa kuzungumza na kujenga hoja.
 
Kwa hiyo sisi tukusaidie nini?
 
Ndoa maana yake ni nini?? Tuweke Imani pembeni
 
Ukiwaambia mila na desturi zao hata hizo ndoa za makanisani/misikitini hazikuwepo kwenye mila na desturi wanakua wakali.
 
Haya yote sijayasoma.

Nilichosoma ni kuona mtu mzima mmoja anamzuia mtu mzima mwingine asiende kwa baba yake na mama yake.......


Ila amepanga kwenda nae kwa wazazi wake.....


Haya tuendelee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…