Niliwahi ku-date na mwanaJF, ilikuwa hivi, wewe je?

Niliwahi ku-date na mwanaJF, ilikuwa hivi, wewe je?

Huyo dogo ndio yupo chuoni Njiro saiv. Hiyo 2012 anayoisemea Arusha alikuwa anaiona kwa TV.
Club D haikuwepo enzi hizo. Mi mwenyeje wa Arusha mkuu. Niishe hapo au niendelee
Hapa niwe mkweli kidogo nimefanya makadirio maana sikuwa mdau sana wa hizi nightclub, ilikuwa ni usiku nakumbuka kuna barabara flani ambayo tulipita pale round about ya kijenge ikawa imenyooka ndo tukafika club, Nahisi ile barabara ilikuwa inaenda moshono, Kipindi hiki nlikuwa sio mzururaji sana, Nilivyoanza kutembea tembea huko ndo nkavuta picha huenda kule kulikuwa moshono tulikoenda, Nmesechi club za huko nmekuta kuna hii club D, Any way nme edit nmeandika ni night club tu, asante kwa mchango
 
Haha, manzi awe mpya afu mkali...my friend labda mwanamke ndo alazimishe kuvaa mpira otherwise kwa wanaume inakua ngumu kdgo kukumbuka. [emoji16]
Duh unakuja kujutia baadaye starehe ya dk chache tu! Siamini kama ukiamua kujicontrol huwezi bana hata iwe pisi kama malaika. Tatizo ni kujiendekeza na kujiona weak mbele ya pisi kali😬
 
Una kipaji cha kutunga kijana...nikupe namba ya Shigongo?
Mkuu wala usiulize, mpatie tu huyu jamaa. Ni mwandishi mzuri sana wa hizi hadithi. Anaweza akawa JAMES HADLEY CHASE, au hata tu yule mtunzi wa vile vitabu vya kibongobongo vya WILLY GAMBA (NJAMA, KIKOSI CH KISASI).....
 
Mmh njia ya kumkumbuka ni kuandika uzi humu?! Na hizo comments zingine za watu kukutana na watu tofauti na walivotegemea umeziona?
Yeah nimeziona, ila ujue huu ni mtandao wa kjamii kama Instagram na Facebook...so tofaut huku hakuna real identification...so wengne wanataka wachumba na waume....so haya mambo yategemee tu...otherwise wew unae ombwa kukutana na mtu na ujiulze b4 hyo mtu hujaktana nae mfatilie humu ili ujue tabia zake....
 
"Jamani kuliko utumie sabunu.... Ngoja nikuchanulie TU miguu[emoji3][emoji3]"...anachukua anaweka Waaaaah

Msaada kwa isani ya watu wa Uchina
Hahahaha, mchanulie mwamba na hii barid iliyoko Tanzania nzima itakua burudani kabisa...atakupa bakora za kimkakati [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duh unakuja kujutia baadaye starehe ya dk chache tu! Siamini kama ukiamua kujicontrol huwezi bana hata iwe pisi kama malaika. Tatizo ni kujiendekeza na kujiona weak mbele ya pisi kali[emoji51]
Duhh, financial services umetoa maneno kuntu....Acha nijkaze kwa kweli...mawenge ya pisi kali yapungue...[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom