Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Acha kutuletea udini wewe

Kabla ya kutuhadaa hebu kwanza tuorodheshee utawala wa Tanzania tangu uhuru tuwaone marais na makamu wao walivyokua wakatoliki!

Achaguliwe yoyote atakaechaguliwa tunachotaka ni achape kazi na maendeleo

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote 😍🇹🇿♥️

Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli 🕊
 
Nimeelezea vyema tu kuhusu Wao kwenda na kwa uendaji Wao nasikitika kwa Upumbavu wako umeshindwa Kunielewa na umeniuliza Swali la hovyo hovyo.

Waziri Mama Ndalichsko ana Kazi Kubwa mno ya Kuboresha Elimu ya Tanzania ili iweze ama Kupunguza au kuondoa kabisa Wapuuzi ( Mahayawani ) wa mfano wako.
Una msongo wa mawazo! Nagutombele nokho nashik'aha!
 
Acha kutuletea udini wewe

Kabla ya kutuhadaa hebu kwanza tuorodheshee utawala wa Tanzania tangu uhuru tuwaone marais na makamu wao walivyokua wakatoliki!

Achaguliwe yoyote atakaechaguliwa tunachotaka ni achape kazi na maendeleo

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote 😍🇹🇿♥️

Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli 🕊
Jamaa mpumbavu sana huyu! Anataka kutulazimisha ujinga! Eti viongozi wote lazima waende Vatican, ni lini alimsikia Mh. Jiwe anaenda Vatican?
 
Moderator haya mambo ya udini mnayaruhusu kwenye jukwaa hili?

Mimi ni Mkatoliki by the way!
 
Kwenye comments zozote unazoweka likes lazima nirudie kusoma tena kwa umakini.
Dah una mambo mengi sana mkuu. Natamani kama ningekuwa nakufahamu physically niwe nakuja kupata elimu kwa njia ya mazungumzo/stories.
Kuna padre na mwalimu wangu mmoja kwa sasa ni askofu alipata kutuambia kwamba kuna baadhi ya taarifa/mafundisho wakiyatoa/kufundisha hawapati waumini hata kidogo, kanisa halipo kiviiiile kama mafundisho yalivyo kwa sasa. Mambo mengi hayapo kwenye uhalisia huu wa sasa.
 
Rais Mwinyi..makamu wake Anglican Malecela

Rais Kikwete makamu wake Dr Shein ..wote waislam
Rais Kikwete makamu wake Gharib Bilali
Wote waislam..

Sibishi nguvu ya Kanisa Katholiki
Ila sometimes tunawapa nguvu zaidi Kwa
Kueneza uzushi kama hivi
Nyerere - Catholic
Mkapa - Catholic
Magufuli - Catholic
Hapo vipi?
 
Back
Top Bottom