Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Mpango sio mkatoliki ni muanglican ujasikia ata kakake ni askofu mstaafu wa kanisa la kiprostant Anglican.umechanganya mambo ile ibada hilikuwa ya pasaka kitaifa na kwa kawaida wakristo ufanya ibada ya pamoja.iwe uwanjani au kanisa moja wapo litakalo faa .kama ilivyo fanyika kwenye kanisa katoliki Dodoma
 
Mkuu tujaribu kufirisha akili sasa..Rais ikitoka bara basi makamu atatokea visiwani hivyo hivyo Rais wa JMT akitokea visiwani basi bara atatoka makamu.
Kilichotokea kwa JMK na Dr.Balil kipo wazi...maana Zanzibar wengi ni Waislam kwahiyo lazma umpate Muislam tu.
Uliwai jiuliza kua kwanini mpaka leo Zanzibar aijawai kuongozwa na Rais Mkristo?
 
Sio kweli na si vizuri kuleta udini,
Kwenda kujitambulisha Vatican ni kawaida coz inatambulika kama State na pope ni rais
 
Kama hamjui dunia inaongozwa na kanisa katoliki japo sio moja kwa moja ila papa ndio mkuu wao wote, hata kwenye biblia ipo
 
Ingawa ni topic ya kijinga but huu ndio Ukweli. Urais ni wa Islam na Catholic tu.
Islam ni kwa ajili ya kuonyesha kuwa nao wanakumbukwa but still Rais anakuwa loyal kwa Vatican atake asitake.
So Lutheran na wengine sisi tutulie tu.
Ukweli ,kwa wenye jicho la tatu wanaelewa.
 
Kwa hiyo ndg hapo ndio umefikirisha akili yako na imefika mwisho sio? Pole sana na nikutakie jioni njema.

Pia, nakuomba ukarudie kusoma kilichoandikwa kwenge bandiko #1 then uje ulinganishe na ulichoandika!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
JK alisahau,ikabidi Lowasa afukuzwe,ili Kanisa Katoliki wakamate walau nafasi ya Uwaziri Mkuu! Mpinge kwa hoja na sio kumradhau mkuu! Nasadiki kwa kanisa moja,wana nguvu kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe huoni umeandika upupu hapa, Lowassa ni Mkatoliki kianzia lini?

BTW, nafasi mbili za juu ni zipi? Au ni pamoja na Uwaziri Mkuu?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Nakubaliana na wewe kulingana na scenarios kadhaa nilizowahi kuziona na kuthibitisha uwepo na nguvu ya hao watu!

Hivi kile kikao cha kuundwa hao jamaa upya mzee Apson si alikifanyia hapo sebuleni Mt Petro?

Pia Mwanya alikua anaonana sana na mmakua kusolve ile issue na mzee mchonga....

Time flies! Niliwahi kuja kuthibitisha baada ya kugundua assasination nyingi za hatari na kiutaalam ziko pia kwa hao jamaa..
 
Sijakubaliana na thread yako for 100%. Ila kuna kaukweli flani ka roman catholic kuwa na influence kubwa kwenye siasa za bongo kama sio za ulimwengu.
 
Kwahiyo unataka kusema haya makanisa ya wajasilia dini kina Gwajima na Masanja mkandamizaji wasahau nafasi nyeti ? Maskini Nileteeeeeni Gwajiiiiiima .
 
Na wewe huoni umeandika upupu hapa, Lowassa ni Mkatoliki kianzia lini?

BTW, nafasi mbili za juu ni zipi? Au ni pamoja na Uwaziri Mkuu?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app

Ndugu Uzi wangu huu pia umenisaidia kuwajua Vilema wa Akili ( Wapumbavu ) kama huyo uliyemjibu hapo na wapo wengi tu kama umesoma vyema Comments za hapa.
 
Nashukuru kuona kumbe kuna Few Intellectuals ( kama Wewe ) ambao mmeweza Kunielewa haraka na Context nzima ya huu Uzi wangu. Heko.
 
Mkuu hivi huwa mnafikiria kweli kabla ya kupost au ndy ilimradi tu upost..??
 
Sijakubaliana na thread yako for 100%. Ila kuna kaukweli flani ka roman catholic kuwa na influence kubwa kwenye siasa za bongo kama sio za ulimwengu.

Hukubaliani na Thread yangu ila Umekiri influence kubwa ya Roman Catholic katika Siasa za Tanzania kama ambavyo nimedadavua hapa..

Sasa hapa tuliobarikiwa mno Akili ( Fikra ) na Mwenyezi Mungu tukueleweje labda? Elimu ya Tanzania inazalisha Hopeless wengi.
 
Ingawa ni topic ya kijinga but huu ndio Ukweli. Urais ni wa Islam na Catholic tu.
Islam ni kwa ajili ya kuonyesha kuwa nao wanakumbukwa but still Rais anakuwa loyal kwa Vatican atake asitake.
So Lutheran na wengine sisi tutulie tu.

Hii ndio shida ya kushinda youtube kujilisha matango pori. Conspiracy kibao yan
 
Kwahiyo unataka kusema haya makanisa ya wajasilia dini kina Gwajima na Masanja mkandamizaji wasahau nafasi nyeti ? Maskini Nileteeeeeni Gwajiiiiiima .

Haya Makanisa ya akina Gwajima na Masanja labda tu yatoe Marais wa Utapeli, Umalaya na Ushirikina tu pekee.

Kanisa ambalo lina Dhamana ya Kiutawala na Ushawishi mkubwa Tanzania nzima ni la Roman Catholic tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…