junior mbani
Member
- Sep 16, 2014
- 52
- 59
Huo ni unabii uliohai mpaka sasa na utaendelea mpaka kristo atakapokuja kuukomesha utawala huo.... Kk ebhu lizungumzie kdg lile saga la cannosa humiliation kama una uelewa naloKuna Mijitu bado ni Migumu Kutuamini.
Sasa nimeelewa kwa nini umepost pumba. Wakati wenzenu wanasoma mlikua mna kazi ya kurukaruka tu, ona sasa leo mnatoa hoja ambazo hata mtoto wa darasa la saba hawezi kuongea pumba kama hiyo uliyoipost..Ukiwa umenivulia huwa ninafikiria zaidi.
sisi wa KWA MWAMPOSA inakuwaje na sisi?Ingawa ni topic ya kijinga but huu ndio Ukweli. Urais ni wa Islam na Catholic tu.
Islam ni kwa ajili ya kuonyesha kuwa nao wanakumbukwa but still Rais anakuwa loyal kwa Vatican atake asitake.
So Lutheran na wengine sisi tutulie tu.
Bado sijakuelewa
Mpango ni mkatoliki? Nimesikia ni Anglican..
Au Mpango leo leo kaongea akiwa kanisa la kikato Mpango ni mkatoliki, hii post ni ya uekewa wa hali ya vhini sans. The author is an idiot of the first order.
Huo ni unabii uliohai mpaka sasa na utaendelea mpaka kristo atakapokuja kuukomesha utawala huo.... Kk ebhu lizungumzie kdg lile saga la cannosa humiliation kama una uelewa nalo
Sasa nimeelewa kwa nini umepost pumba. Wakati wenzenu wanasoma mlikua mna kazi ya kurukaruka tu, ona sasa leo mnatoa hoja ambazo hata mtoto wa darasa la saba hawezi kuongea pumba kama hiyo uliyoipost..
Pamoja na ukweli kuwa Mpango ni mkweli, mwandishi wa post hii ni bwege. He is an idiot of the first order. Ni kichaa
sisi wa KWA MWAMPOSA inakuwaje na sisi?
Katoliki lina nguvu si Tanzania pekee bali ulimwenguni kote.
Halafu we jamaa unachekesha aiseeh. Embu angalia jinsi nilivyo i-crush hoja yako na jinsi ulivyonijibu, jitahidi kutumia lugha yenye busara mkuu..Ni liini labda umewahi kuwa na Akili JF?
Halafu we jamaa unachekesha aiseeh. Embu angalia jinsi nilivyo i-crush hoja yako na jinsi ulivyonijibu, jitahidi kutumia lugha yenye busara mkuu..
Mkatoliki wa Pemba utakuwa unatokea Wete, na kanisa lenu ni hili ambalo ndilo kanisa pekee la kikatoliki Pemba na lina wafuasi wasiozidi 10, wengi wakiwa ni wale wa kuja kutembea tu, siyo wakazi. Utakuwa umekulia kwenye jamii ya minority sana ambayo inaweza kuwa imeathiri akili na mawazo yako.Israel, Russia and Pemba were I belong.
Na ndy maana umepost pumba kwa sababu hata wewe mwenyewe hamnazo. Unatoa hoja ambazo hata STD.5 hawezi kuongea pumba kama hiyo..Ukinianza tu basi haraka sana namaliza.
Walikuwa marais wa wapi ?Kwa sasa kila mtu akijisikia kuandika anaandika anavyojua. Hivi Warioba, Malecela, Msuya, Lowasa na Sumaye nao ni wakatoliki?
Aaah eti mbona Mh.Kikwete na Mh.Balali wote walikua Waislam... Ujibiwa mkuu kubali tu kujifunza vitu vipyaKwa hiyo ndg hapo ndio umefikirisha akili yako na imefika mwisho sio? Pole sana na nikutakie jioni njema.
Pia, nakuomba ukarudie kusoma kilichoandikwa kwenge bandiko #1 then uje ulinganishe na ulichoandika!
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kikwete, Mwinyi na huyu mama yetu nao ni wakatoriki??Walikuwa marais wa wapi ?