Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Mimi siwezi kuzungumza lolote katiks hili kwa maana sina evidence au uhakika wa mambo yoyote yale ila ninachoweza kusema ni; kuna dunia tunayoishi sisi nikimaanisha wananchi wa kawaida na dunia wanayoishi viongozi wa nchi mbali mbali hapa duniani ambayo nauhakika hatujui ikoje.
 
Kuna Mijitu bado ni Migumu Kutuamini.
Huo ni unabii uliohai mpaka sasa na utaendelea mpaka kristo atakapokuja kuukomesha utawala huo.... Kk ebhu lizungumzie kdg lile saga la cannosa humiliation kama una uelewa nalo
 
Ukiwa umenivulia huwa ninafikiria zaidi.
Sasa nimeelewa kwa nini umepost pumba. Wakati wenzenu wanasoma mlikua mna kazi ya kurukaruka tu, ona sasa leo mnatoa hoja ambazo hata mtoto wa darasa la saba hawezi kuongea pumba kama hiyo uliyoipost..
 
Ingawa ni topic ya kijinga but huu ndio Ukweli. Urais ni wa Islam na Catholic tu.
Islam ni kwa ajili ya kuonyesha kuwa nao wanakumbukwa but still Rais anakuwa loyal kwa Vatican atake asitake.
So Lutheran na wengine sisi tutulie tu.
sisi wa KWA MWAMPOSA inakuwaje na sisi?
 
Pamoja na ukweli kuwa Mpango ni mkweli, mwandishi wa post hii ni bwege. He is an idiot of the first order. Ni kichaa
Bado sijakuelewa

Mpango ni mkatoliki? Nimesikia ni Anglican..

Au Mpango leo leo kaongea akiwa kanisa la kikato Mpango ni mkatoliki, hii post ni ya uekewa wa hali ya vhini sans. The author is an idiot of the first order.
 
Huo ni unabii uliohai mpaka sasa na utaendelea mpaka kristo atakapokuja kuukomesha utawala huo.... Kk ebhu lizungumzie kdg lile saga la cannosa humiliation kama una uelewa nalo

Hilo la Cannosa Humiliation silifahamu.
 
Sasa nimeelewa kwa nini umepost pumba. Wakati wenzenu wanasoma mlikua mna kazi ya kurukaruka tu, ona sasa leo mnatoa hoja ambazo hata mtoto wa darasa la saba hawezi kuongea pumba kama hiyo uliyoipost..

Ni liini labda umewahi kuwa na Akili JF?
 
Israel, Russia and Pemba were I belong.
Mkatoliki wa Pemba utakuwa unatokea Wete, na kanisa lenu ni hili ambalo ndilo kanisa pekee la kikatoliki Pemba na lina wafuasi wasiozidi 10, wengi wakiwa ni wale wa kuja kutembea tu, siyo wakazi. Utakuwa umekulia kwenye jamii ya minority sana ambayo inaweza kuwa imeathiri akili na mawazo yako.

1617653044435.png
 
Acha hizo basi, dhihaka mbona unajitakia mwenyewe [emoji848]!?
 
Kwa hiyo ndg hapo ndio umefikirisha akili yako na imefika mwisho sio? Pole sana na nikutakie jioni njema.

Pia, nakuomba ukarudie kusoma kilichoandikwa kwenge bandiko #1 then uje ulinganishe na ulichoandika!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Aaah eti mbona Mh.Kikwete na Mh.Balali wote walikua Waislam... Ujibiwa mkuu kubali tu kujifunza vitu vipya
 
Back
Top Bottom