Kumbuka enzi ya utawala wa Rais Mwinyi kulikuwa na baba wa Taifa lote la Tanzania, na hata pale lilipoibuka suala la serikali tatu Baba alimkashifu hadharani na kumwambia eti anashauriwa na mkewe.
Dr. Salmin rais wa Zanzibar alipotaka kujiunga na OIC (jumuia za nchi za kiislamu) Baba wa Taifa hakujali kuwa nchi ina Rais alimkemea Dr Salmin akamwambia asithubutu kujiunga na akamwita Chamwino kumpa karipio kali.
Ukweli Mzee Mwinyi msimuhesabu kuwa alikuwa Rais Mtendaji, Hili la makamo wa Rais ni kuwa katiba inasema Rais akitoka Bara makamo atoke Zanzibar na ndio maana makamo anatoka Zanzibar.
Hiyo kuwa Rais Kawa Mama Samia CCM hawakutegemea walidhani mzee Magufuli atamaliza vipindi viwili.CCM walifurutu ada na kutaka kumwongezea muda.