Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hao RC wamekuwa wapenda michango kuliko neno la MUNGU wapo tayari wakutambue kwa michango yako hata kama hujaenda church.Hapo kuna Kanisa au Kikundi cha Tapeli?
Sasa umejibu nini mkuu? Nafasi mbili za juu ni Rais na Makamu tu, hizo ndio nafasi kubwa hapa nchini.Aaah eti mbona Mh.Kikwete na Mh.Balali wote walikua Waislam... Ujibiwa mkuu kubali tu kujifunza vitu vipya
Unakumutwa wewe hebu peleka ungese kule. Hii nchi si ya kidini ingawa wewe ungependa iwe hivyo.
Mleta mada acha uongo
Ni dola iliyotapakaa duniani kote na kushika nafasi ya uongozi lazima vatican wakujue. Pia inasemekana ndio nchi iliyojilimbikizia dhahabu kuliko nchi yoyote duniani. Remnants of Roman empire Ndio hawa.
Hovyo kabisa....
MODS.. Uzi huu mpaka muda huu unafanya nn hapa... Ni wakufuta Mara moja...
Au nguvu za Kanisa Katoliki zipo hadi JF?
Ee sema alikuwa hapendi tu kujionyesha kama! AlikibaKipindi cha kikwete na Gharib bilal yupi hapo alikuwa mkatoliki?
Kanisa la Masanja mkandamizajiHivi Palamagamba Kabudi anasali Kanisa gani?