Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Pasaka ikifika kuna walevi wengi hutoa ya moyoni hata kwenye makutano ya kifamilia walevi humwaga ugali na mboga yake.


Mbuzibee 🐐
 
Mbona mleta mada hajamtaja Malasusa wa KKKT ambaye naye ni Pengo number 2.

Ni watu tu wengine wanaamua kutumika, kama alivyotumika Cyprian Musiba.
 
Rais Mwinyi..makamu wake Anglican Malecela

Rais Kikwete makamu wake Dr Shein ..wote waislam
Rais Kikwete makamu wake Gharib Bilali
Wote waislam..


Sibishi nguvu ya Kanisa Katholiki
Ila sometimes tunawapa nguvu zaidi Kwa
Kueneza uzushi kama hivi
Kukuunga mkono unachokiongea, wanaoliogopa kanisa katoliki na kudhani ndilo linaweka viongozi wa kitaifa na kimataifa wengi hata sio wakatoliki au ni wakatoliki jina, kazi za wakatoliki ni far related from political sphere.
 
Rais Mwinyi..makamu wake Anglican Malecela

Rais Kikwete makamu wake Dr Shein ..wote waislam
Rais Kikwete makamu wake Gharib Bilali
Wote waislam..


Sibishi nguvu ya Kanisa Katholiki
Ila sometimes tunawapa nguvu zaidi Kwa
Kueneza uzushi kama hivi
Unajua chanzo cha Malecela kupigwa Vita alipoutaka Urais?
 
Mbona mleta mada hajamtaja Malasusa wa KKKT ambaye naye ni Pengo number 2.

Ni watu tu wengine wanaamua kutumika, kama alivyotumika Cyprian Musiba.
Mkuu kanisa lina sura nyingi sana sana

Hao watu wanatumia gharama Kubwa sana kusomesha watu na hata kuwatisha kwa misaada

Ahaaa tatizo hamsomi

Unajua kwanini Vatican ni nchi ndani ya Italia?
 
Kama unasema hauwezi kuwa Rais au Makam was Rais bila kuwa mkatholic, hapo hapo unasema wa dini nyingine inabidi waende Vatican kujitambulisha....hauoni unajichanganya?

Kujitambulisha Vatican ndio kuwa mkatolik???
 
Ni kweli nimelisikia kitambo hili lakini ..hata Congo DRC Kanisa Katoliki lina nguvu sana kupanga safu za viongozi wake
 
Mkuu kanisa lina sura nyingi sana sana

Hao watu wanatumia gharama Kubwa sana kusomesha watu na hata kuwatisha kwa misaada

Ahaaa tatizo hamsomi

Unajua kwanini Vatican ni nchi ndani ya Italia?
Ndo uweke link sasa tusome
 
Ingawa ni topic ya kijinga but huu ndio Ukweli. Urais ni wa Islam na Catholic tu.
Islam ni kwa ajili ya kuonyesha kuwa nao wanakumbukwa but still Rais anakuwa loyal kwa Vatican atake asitake.
So Lutheran na wengine sisi tutulie tu.
Huu ndo ukweli mwenyewe
 
Catholic hawana nguvu yoyote ndio maana Ulaya imetapakaa kwenye vinchi masikini vya Eastern Europe,Africa na Latinos....nchi zote zenye nguvu Ulaya sio Catholics
 
Ndg umeelewa kilichoandikwa na mtoa mada? Au na wewe umevimbiwa na pilau la kwa shemeji yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…