Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Mkuu kanisa lina sura nyingi sana sana

Hao watu wanatumia gharama Kubwa sana kusomesha watu na hata kuwatisha kwa misaada

Ahaaa tatizo hamsomi

Unajua kwanini Vatican ni nchi ndani ya Italia?
Kwanini Vatican ni nchi ndani ya Italy?
 
Mtoa maada , Uzi wako unahtaji intelligence people kuuelewa , umeuleta Kwa watoto watoto , hutapata majibu yyte zaidi ya mihemko ya matusi , umeeleza vitu vingi , Ila na bado hata wewe bado hujaijua vyema nguvu ya Vatican ,hata Mimi pia , Vatican ndo inayorun dunia , pale ndo maamuz ya kwamba dunia inaendaje huamuliwa pale Vatican ikipewa support na USA+ Western Countries.

Vatican ni zaidi ya kofia ya mfumo wa kidini , hata makao makuu ya wajenzi huru yako pale

Mashambulizi ya western countries na USA dhidi ya middle East ambayo ndo center ya waislamu yapo activated na Vatican , Mama Samia na dini yake si chochote mbele ya Vatican na analazimika kuwa Royal Kwa Vatican na hawezi bisha , Papa akitua leo Tanzania mapokezi yake ni zaidi ya Rais wa Marekani ....!!!
 
Bado sijakuelewa

Mpango ni mkatoliki? Nimesikia ni Anglican..

Au Mpango leo leo kaongea akiwa kanisa la kikatoliki??
Ni Anglican
Hawa ni wale wanasoma habari wakiwa wamedandia baiskeli za mbao 'bagadu
 
46 minutes page ya tatu hapa tu unaona nguvu ya ukatolik ! Ingekuwa Islam en related uchafu kungekuwa na reply 2 tu.
 
Mkuu JK alipigwa Nyaraka na Pengo mpaka kuonekana Jamaa bwege

Huyu Huyu Pengo hajawahi mpiga nyaraka JPM

Kanisa katoliki lina sura nyingi sana sana

Usilichukulie poa, Hao ndio waliosababisha ukoloni Africa na unyonyaji

Walijenga makanisa sehemu zenye madini na kuwagawia wazawa nguo


Umewahi fika St Peters Basilica Vatican?

Pale kuna siri na historia nzito

Unamfaham Michael Angelo?

Ukifika Vatican na kutembelea makumbusho utakaa kimya

Hii Dunia kuna watu Walikuwa na akili sana sana

Unamfaham Raphael? Nenda Vatican

Watu walichora na kuchonga kwa 3D

Unajua waliosababisha kiswahili kikue?

Wakati huo Galileo Galilei Mwana sayansi alisema dunia Duara, Kanisa likisubiri Dunia ni tambarale

Unafahamu Galileo alipata nini?

Hawa Mapadri wa kizungu na wageni ni hatari kuliko unavyowaza

Basi mapandikizi wa CIA, Mossad wengi ni Mapadri tena weusi kama mkaa

Mapadre wengi weusi ni pandikizi wa mabeberu

Nashangaa wanasiasa wanatoa hotuba kanisani bila kuogopa Kuw ndio eneo hatari kuliko sokoni
Basi tukubatine tu kwamba wazungu sio watu wazuri
 
Watu uliowataja wamenishtua kidogo, upo vizuri mkuu. Kwasababu ni muda mrefu natamani kuandika thread ya makala ya "Historia Ya Catholic Church Na Muasisi Wake Mkuu". Ila hofu yangu kubwa watu watatoana meno na macho humu JF kwa malumbano na watajikita sana kwenye ubaguzi wa kidini bila kutoa hoja za kisomi na mashiko.

When the right time comes, ntaandika na nitaku tag uchangie hoja mkuu.
Unitag na Mimi Ila uwe wa kiswahili
 
Back
Top Bottom