Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
Cha ajabu wanashiba bana [emoji15] !!! na baadae wanaenda chooni kutoa uchafu [emoji849]Mmeanza kujilisha upepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha ajabu wanashiba bana [emoji15] !!! na baadae wanaenda chooni kutoa uchafu [emoji849]Mmeanza kujilisha upepo
Mkuu JK alipigwa Nyaraka na Pengo mpaka kuonekana Jamaa bwege
Huyu Huyu Pengo hajawahi mpiga nyaraka JPM
Kanisa katoliki lina sura nyingi sana sana
Usilichukulie poa, Hao ndio waliosababisha ukoloni Africa na unyonyaji
Walijenga makanisa sehemu zenye madini na kuwagawia wazawa nguo
Umewahi fika St Peters Basilica Vatican?
Pale kuna siri na historia nzito
Unamfaham Michael Angelo?
Ukifika Vatican na kutembelea makumbusho utakaa kimya
Hii Dunia kuna watu Walikuwa na akili sana sana
Unamfaham Raphael? Nenda Vatican
Watu walichora na kuchonga kwa 3D
Unajua waliosababisha kiswahili kikue?
Wakati huo Galileo Galilei Mwana sayansi alisema dunia Duara, Kanisa likisubiri Dunia ni tambarale
Unafahamu Galileo alipata nini?
Hawa Mapadri wa kizungu na wageni ni hatari kuliko unavyowaza
Basi mapandikizi wa CIA, Mossad wengi ni Mapadri tena weusi kama mkaa
Mapadre wengi weusi ni pandikizi wa mabeberu
Nashangaa wanasiasa wanatoa hotuba kanisani bila kuogopa Kuw ndio eneo hatari kuliko sokoni
Mkuu umemaliza.Papa Pius alijaribu kushindana na Napoleon Bonaparte, lakini jamaa likaenda hadi Vatican na kumteka Papa kisha kutangaza kwamba Kanisa Katoliki halitamilikia ardhi tena wala kuingilia siasa za nchi. Ardhi walikuja rudishiwa mwaka 1929 na Benito Mussolini kwenye Mkataba wa Lateran.
Hilihilo Kanisa la Katoliki lenye nguvu, lilishindwa kupambana na wakina Robespierre na The Jacobins Club hadi kupelekea mapinduzi ya Ufaransa ya mwaka 1789. Kwenye yale mapinduzi ya Ufaransa The Jacobins waliua mapadri 30,000 ndani ya siku moja aidha kwa kukata vichwa (Guillotine) au kupigwa risasi kichwani.
Mwaka 1861-1864 Papa na Vatican walimwambia Jeff Davis (Mkatoliki) kwamba akianzisha vita dhidi ya Marekani Kaskazini basi Papa atayaambia mataifa ya Kikatoliki ya Marekani Kusini yemuunge mkono. Vatican ndiyo lilikuwa taifa la kwanza kuitambua The Confederacy ambayo kama nchi wakati inapigana vita dhidi ya The Union. The Jesuits walishindwa vibaya sana na Lincoln akainuka kidedea, mwishowe wakamtuma John Wilkes Booth (A Devout Catholic) kumpiga risasi Lincoln. Kichekesho ni kwamba baada ya kumuua Lincoln, bwana Booth alikutwa yuko Vatican kama moja ya walinzi wa Papa. Ulysses Grant akaomba jamaa arejeshwe Marekani, lakini jamaa akakimbilia Uingereza.
Kichekesho kikubwa zaidi ni pale ambapo Papa na genge lake la Jesuits walibagazwa na kudhalilishwa na mwanamke hodari kabisa, Elizabeth I. Mwaka 1588 Kanisa Katoliki liliwatuma wahispania na meli zaidi ya 130 ili walivamie dola la Uingereza ambalo lilikuwa limeukana Ukatoliki na kugeuka dola la Kiprotestanti. Meli zote zile na maelfu ya wanajeshi kutoka Ulaya, walishindwa kuivamia Uingereza na mpaka leo dola lile ni la Kianglikani. Baada ya vita Waingereza walitunga wimbo wa Kilatini usemao Flavit Jehovah et dissipat sunt (Jehovah blew his winds, and they were scattered). Baada ya kushindwa vita na mwanamke Kanisa Katoliki likaamua kuiadhibu Uingereza kibiashara na vikwazo, lakini dola la Kituruki chini ya Sultani Murad III waliiokoa Uingereza isiangamie.
Kichekesho cha mwisho Kabisa ni jinsi ambavyo The Jesuit Order ilishindwa kuzuia mwanafunzi wao mpendwa mwenye akili kabisa Adam Weishaupt kutengeneza The Bavararian Order of the Illuminati mwaka 1776, chombo ambacho kilitumika kupambana na Kanisa Katolikia hadi kupelekea mapinduzi makubwa barani Ulaya hadi kupelekea kanisa Katoliki kubomolewa vibaya na Vatican kuvamiwa.
Mnamo karne ya 13, Mongke Khan na jeshi la Mongolia walijipanga kuvamia Ulaya Magharibi, hadi wafike Vatican lakini Mungu hakupenda na Mongke akafa wakati jeshi linaenda Ulaya. Lakini Kanisa Katoliki lilikuwa linauogopa sana utawala wa Mongolia hadi kufikia hatua kumtukana Qublai Khan kama The Spawn of Satan. Alivyoona hali inazidi kuwa mbaya Papa akaanza kutuma zawadi Mongolia ili kumshawishi Qublai ashirikiane naye hasa kuruhusu Ulaya itumie The Great Silk Road.
Nafahamu na nakubali kwamba Kanisa Katoliki lina ushawishi mkubwa sana duniani, lakini kuna sehemu huwa linakanyaga kwa utaratibu. Hizo nguvu ambazo mnataka kuwapa nadhani nyingine mnazidisha na pengine mnakuwa na mawazo sana yasiyo na kichwa wala miguu. Hapa Tanganyika wakati wa Ukoloni kuna baadhi ya Mapadri wa Kizungu ambao walimshawishi Chief Edward wa Wamassai adai uhuru wa Wamassai peke yake nje ya Tanganyika lakini, hola, akashindwa.
Lakini mwisho kabisa, Kanisa Katoliki lilipotawala Ulaya kuanzia karne ya 5, kipindi hiki kiliitwa KIPINDI CHA GIZA (THE DARK AGES), ambako Ulaya ambayo ilitawala dunia kwa uvumbuzi, sanaa, majeshi na utaalamu mbalimbali ilioza na kupoteza mwelekeo. Watu hawakuruhusiwa kusoma wala kufikiri (lilikuwa ni kosa kufikiri kama mtu huru). Walificha na Biblia na kusema kwamba mwenye mamlaka ya kutafasiri Biblia ni Papa (The Pontifex Maximus a.k.a The Pontiff) ambaye ndiye alikuwa ni mjumbe wa Mungu duniani (The Vicar of Christ). Baada ya Kanisa Katoliki kupoteza nguvu Ulaya ndiyo kikaanza kipindi cha The Enlightenment ambacho kilizaa dunia ya leo ambayo tunaishi.
Kikubwa kinachonichekesha dhidi ya Waprotestanti na Wakatoliki, ni kiwango cha Ujinga kilichopo kichwani kwao. Mtu anakaa kabisa anaanzisha uzi akisifia dini ambayo Mzungu Kaisari Constantine, Martin Luther au Ellen G, White walianzisha (Upuuzi, puuzi tu wa mwafrika): Wengine wasiokuwa na akili pia kama yeye wanakuja kumuunga mkono kutetea hii nadharia ya kijinga ambayo kama ina ukweli wowote ule basi Taifa hili haliwezi kuendelea na kuwa taifa la watu huru. Maana watu wanakaaa kabisa wanafurahia nchi yao kuongozwa tokea The Vatican.
Pik Botha aliposema mwafrika hana akili wala hana tofauti na mnyama, nikiangalia huu uzi na wachangiaji wengi nadhani kuna sehemu alipatia. Mwafrika hata umpe bunduki ataanza kuua mwenzake na wala siyo mzungu (Huu uzi ni ushahidi tosha).......
WALE RELIGIOUS ZEALOTS AND ENEMY OF REASON & COMMON SENSE POVU RUKSA !!!!!!!!!
Kwa sasa kila mtu akijisikia kuandika anaandika anavyojua. Hivi Warioba, Malecela, Msuya, Lowasa na Sumaye nao ni wakatoliki?
Bado sijakuelewa
Mpango ni mkatoliki? Nimesikia ni Anglican..
Au Mpango leo leo kaongea akiwa kanisa la kikatoliki??
Kwani Jiwe lilienda Vatican?
UPUUZI MTUPU!
Hizi Nyuzi za vipindi vya sikukuu ambavyo huangukia mwisho wa mwezi huwa zinanifurahisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ... hasa kwa mimi mwenye uzoefu wa akili za walevi na wale wenye uraibu wa mihadarati huwa nainjoi sanaNayaheshimu sana na mno Madhehebu mengine yote ukiachilia langu la Katoliki, ila kwa Tanzania hii na Nguvu ya Kanisa Katoliki tokea Uhuru na lilivyojikita indirectly katika Siasa za Tanzania huwezi kuwa Rais wa Tanzania au Makamu kama siyo Mkatoliki. Ukilibishia hili unataka tu Ligi isiyokuwa na maana kwani ndiyo Ukweli wenyewe.
Huko nyuma nakumbuka nilisema na leo narudia tena Kusema hapa hapa JF kuwa hata wale Marais wa Dini zingine waliowahi Kutawala ( Kuongoza ) Tanzania pia huwa ni lazima iwe ni kwa Uwazi au Kificho waende Vatican kwa Papa na ilipo Ngome Kuu ( kama si Kitovu ) Cha Ukatoliki ili Kujitambulisha.
Na hii Nguvu ya Ukatoliki haijaibuka tu bali ni Makubaliano ' Maalum ' yaliyoluwa ya ' Kimkakati ' zaidi tokea Awamu ya Kwanza ambayo imepelekea kuwa na Kiapo cha ' Siri ' kwa Watawala ( wenye Dhamana ) kuwa nafasi zote zinaweza Kutwaliwa na Madhehebu mengine.
Ila kwa Urais au Makamu wake piga ua si Ombi bali ni lazima awe Mkatoliki na hili wala halina Mjadala na kwenda nalo Kinyume ni Kujitafutia matatizo hasa ikizingatia ndiyo Dhehebu Kubwa Tanzania na lenye Waumini wengi kama ilivyo Duniani lakini pia ndiyo inaaminika kuwa ni Werevu na Wasomi wazuri.
Kwa wale Wakristo wenzangu ambao mnaota ( mnawaza ) kuja kuwa Marais Tanzania miaka ijayo Generalist nakuambia ( nakuambieni ) mapema tu kuwa kama hutokei katika Dhehebu Kubwa la Katoliki sahau labda utaishia tu kuwa Waziri Mkuu au Nafasi zilizopo za chini.
Hata Mama nae si kwamba alichelewa Kumchagua ( Kumteua ) Makamu wake Kimakusudi ila alishatahadharishwa mapema tu na Watu waliokuwa wanalijua hili kuwa lazima Mteule wake awe Mkristo lakini pia atokee katika Dhehebu Kubwa, lenye Nguvu na Ushawishi la Katoliki.
Mlionidhihaki huko nyuma endeleeni tu.
Mkuu unafahamu, Katoliki kwa utaratibu wao Askofu ni mkuu wa eneo husika
Pengo alikuwa anashambulia mamlaka ya Dar es Salaam ambalo ndio eneo Lake la utawala
Kumbuka Mamlaka ya Dar es Salaam
ndio kuna Ikulu
Askofu wa Songea anatawala Songea hivyo anashambulia mamlaka zake za jimbo Songea
Usiwachukulie Poa hao watu, Ukisikia alienda Vatican kusomea the sheria za kanisa usifikirie sheria za Africa
Kuna siri nzito sana
Shenzy wahed
Mkuu kanisa lina sura nyingi sana sana
Hao watu wanatumia gharama Kubwa sana kusomesha watu na hata kuwatisha kwa misaada
Ahaaa tatizo hamsomi
Unajua kwanini Vatican ni nchi ndani ya Italia?
Hata umeshindwa kueleweka
I conquer with youRais Mwinyi..makamu wake Anglican Malecela
Rais Kikwete makamu wake Dr Shein ..wote waislam
Rais Kikwete makamu wake Gharib Bilali
Wote waislam..
Sibishi nguvu ya Kanisa Katholiki
Ila sometimes tunawapa nguvu zaidi Kwa
Kueneza uzushi kama hivi
Kama unasema hauwezi kuwa Rais au Makam was Rais bila kuwa mkatholic, hapo hapo unasema wa dini nyingine inabidi waende Vatican kujitambulisha....hauoni unajichanganya?
Kujitambulisha Vatican ndio kuwa mkatolik???
Na bado tena umeufuata na Kuusoma?
Ni kweli nimelisikia kitambo hili lakini ..hata Congo DRC Kanisa Katoliki lina nguvu sana kupanga safu za viongozi wake
Ujinga
Catholic hawana nguvu yoyote ndio maana Ulaya imetapakaa kwenye vinchi masikini vya Eastern Europe,Africa na Latinos....nchi zote zenye nguvu Ulaya sio Catholics