The Stranger
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 272
- 250
Umesahau kikwete alikua anaenda sana vatican.. kuna gazeti moja lilishawahi kumuonesha akimbusu Papa mkonon.. unaelewa nini maana ya ishara ya kiongozi kumbusu Papa mkonon..Umepuyanga sana mzee, hivi wakati unaandika huu upupu hukushtuka tu kuwa Kikwete na Dr. Bilali sio Wakatoliki? Na walikuwa katika nafasi ulizotaja ya kuwa mmoja wapi ni lazima awe Mkatoliki?
Umekula maharage ya wapi mkuu mpaka umevimbiwa? Malizia pilau kwa shemeji yako ulale!
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app