Mtoa maada , Uzi wako unahtaji intelligence people kuuelewa , umeuleta Kwa watoto watoto , hutapata majibu yyte zaidi ya mihemko ya matusi , umeeleza vitu vingi , Ila na bado hata wewe bado hujaijua vyema nguvu ya Vatican ,hata Mimi pia , Vatican ndo inayorun dunia , pale ndo maamuz ya kwamba dunia inaendaje huamuliwa pale Vatican ikipewa support na USA+ Western Countries.... Vatican ni zaidi ya kofia ya mfumo wa kidini , hata makao makuu ya wajenzi huru yako pale ,.... Mashambulizi ya western countries na USA dhidi ya middle East ambayo ndo center ya waislamu yapo activated na Vatican , Mama Samia na dini yake si chochote mbele ya Vatican na analazimika kuwa Royal Kwa Vatican na hawezi bisha , Papa akitua leo Tanzania mapokezi yake ni zaidi ya Rais wa Marekani ....!!!