Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Kinachojadiliwa kwenye bango hili ni nanfasi moja tu URAISI including na Makamu wake/hao uliowataja utajua mwenyewe

Wenye Uelewa mkubwa ( Uwerevu ) kama Wewe hivi hapa JamiiForums mpo Wachache sana Ndugu. Heko.
 

Kuna Waelewa wachache sana na pia Werevu mno hapa JamiiForums kama Wewe Ndugu na baadhi ya Members fulani fulani. Heko.
 
Tayari watu wameshaona huu uzi wako hauna substance yoyote bali story za kwenye vijiwe vya kahawa, story kama hizi huwa wanaanzisha watoto wa sekondari wanapokuwa likizo kwenye vijiwe vyao, ndo maana nikauliza kama shule hazijafunguliwa....

Kaendelee kuhangaika na Basha zako.
 
We farra huna hata kumbukumbu kuwa Bilal na JK wote walikuwa waislam?

Hakuna neno ' Fara ' kama ulivyoandika hapa bali tuna neno sahihi la ' Fala ' ambalo hata aliyepandikiza Mbegu na ukazaliwa Wewe Juha nae ni Fala Mwandamizi vile vile.
 
Kwa sasa kila mtu akijisikia kuandika anaandika anavyojua. Hivi Warioba, Malecela, Msuya, Lowasa na Sumaye nao ni wakatoliki?
Ni yupi kati ya hawa uliowataja alikuwa rais au makamu wa rais JMT? Kama nilimwelewa vizuri Generalist
 
Jamaa limeanzisha uzi wa kitoto watu wakipiga spana linakuja kutukana...

Hivi neno Pumbavu no Tusi? Kwa Kukusaidia tu Mjinga anafundishika ila Mpumbavu hafundishiki.

Na ukitaka nisilitumie neno langu pendwa la Pumbavu mwambie ( muulize ) Mwenyezi Mungu kwanini amelitumia mara 22 katika Biblia huku neno Mjinga akilitumia mara 12 tu.

Huna Akili Wewe!!
 
Halafu akina FaizaFoxy wakija na zile mada za Mfumo Kristo, utakuta tena unageuka kuwashambulia akina Faiza na Mohamed Said kwamba wana udini wakati unachosema hapa kinaamanisha akina FF na MS wapo sahihi! Haya ndo matatizo mchana unaenda kwa washikaji ukitarajia ukirudi home utakuta Pilau la Pasaka, kufika unakuta ugali na maharagwe mekundu, tena yameungwa na mafuta!
 
Kwani wote hao waliwahi kuwa makamu wa Rais. Issue ni tangu uhuru hadi sasa hajawahi kuwepo makamu wa Rais ama Rais mkristo asiyekuwa Mkatoliki yani mkristo mprosetitant ama mpentekost.

Wenye Akili Kubwa na Uelewa mpana wa Masuala Mtambuka hapa JamiiForums kama hivi mpo wachache mno Ndugu. Heko.
 
Hakuna neno ' Fara ' kama ulivyoandika hapa bali tuna neno sahihi la ' Fala ' ambalo hata aliyepandikiza Mbegu na ukazaliwa Wewe Juha nae ni Fala Mwandamizi vile vile.
Na waliongoza nchi vyema kabisa na wakaiacha salama wakatoliki woote walivurunda na hawakuwa na utu kabisa nadhan ndio maana woote walitangulia kuzimuni na ukatoliki wao
 
Kwan Rais akiwa wa din flan Eg RC then what's next? Barabara akijenga zitakuwa Za RC?

Hoja yangu ya Kimsingi ( hasa katika Content na Context yangu ) umeielewa au Umekurupuka tu?

Ndiyo maana kila mara naonya kama hujabarikiwa IQ kubwa usiwe unafungua Threads zangu hapa JF.
 
Na waliongoza nchi vyema kabisa na wakaiacha salama wakatoliki woote walivurunda na hawakuwa na utu kabisa nadhan ndio maana woote walitangulia kuzimuni na ukatoliki wao

Unafurahia na Kuwacheka Marais Wakatoliki waliowahi Kuongoza ( Kutawala ) Tanzania Kufa Wewe ulihakikishiwa na Mwenyezi Mungu kuwa hutokufa na utaishi Milele?

Pumbavu.
 
Sijaona Pointi yako hapo.Acha kulichafua kanisa na kuichafua serikali.
 
Lowasa alipotamka wazi kuwa sasa "KKKT ni zamu yetu" —alianza kupata mashambulizi makali kutoka kila kona

Mleta mada ana point,

Nafasi zote za juu ya Uraisi na Waziri Mkuu tayari ilikuwa na watu ambao siyo Wakatoliki, Sasa huenda lazima shinikizo liikuwepo VP awe ni Mkiristo.

Sasa najiuliza of all the people Mpango amekujajekujaje? —Kuna mtu kweli alikuwa serious anawaza Mpango awe VP?

Ila ukiangalia alikuwa ni miongoni mwa Wakatoliki tena waliopitia seminari, kwa hiyo hapa ndipo ninapoona mada ya mleta mada ukiondoa chumvi nyingine alizoweka inamake sense

Yaani ikitokea kwa mfano Samia kavuta, Eti Dr Mpango, tena Mkatoliki anapanda kwenye kiti cha enzi.
Siamini kuwa pick ya Mseminary Dr Mpango imekuja hivihivi bila kuzingatia Ukatoliki wake!
 
Vipi dini ya kiisalamu, tangu tupate uhuru uliwahi kuona uongozi ambao rais au makamu wa rais siyo Mwislamu?

Pumbavu nimeongelea sana kuhusu Ukatoliki na Madhehebu mengine ya Kikristo na wala sina tatizo na Waislamu kwani najua Mwinyi, Kikwete na Samia ni Waislamu.

Naendelea Kusisitiza kama unajijua huna Akili ( hujabarikiwa nayo ) na Mwenyezi Mungu usiwe unafungua na Kusoma Threads za Generalist.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…