Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Jumanne! Na kwenye kichany'anyiro cha Urais mwaka 2005! Mama Ana Kilango Malecela aliporwa pesa na majambazi akiwa anaenda dodoma! Na wale majambazi hadi leo hawajawahi kamatwa
Hapo sikumwamini mama malecela
 
Nayaheshimu sana na mno Madhehebu mengine yote ukiachilia langu la Katoliki, ila kwa Tanzania hii na Nguvu ya Kanisa Katoliki tokea Uhuru na lilivyojikita indirectly katika Siasa za Tanzania huwezi kuwa Rais wa Tanzania au Makamu kama siyo Mkatoliki. Ukilibishia hili unataka tu Ligi isiyokuwa na maana kwani ndiyo Ukweli wenyewe.

Huko nyuma nakumbuka nilisema na leo narudia tena Kusema hapa hapa JF kuwa hata wale Marais wa Dini zingine waliowahi Kutawala (Kuongoza) Tanzania pia huwa ni lazima iwe ni kwa Uwazi au Kificho waende Vatican kwa Papa na ilipo Ngome Kuu (kama si Kitovu) Cha Ukatoliki ili Kujitambulisha.

Na hii Nguvu ya Ukatoliki haijaibuka tu bali ni Makubaliano ' Maalum ' yaliyoluwa ya ' Kimkakati ' zaidi tokea Awamu ya Kwanza ambayo imepelekea kuwa na Kiapo cha ' Siri ' kwa Watawala (wenye Dhamana) kuwa nafasi zote zinaweza Kutwaliwa na Madhehebu mengine.

Ila kwa Urais au Makamu wake piga ua si Ombi bali ni lazima awe Mkatoliki na hili wala halina Mjadala na kwenda nalo Kinyume ni Kujitafutia matatizo hasa ikizingatia ndiyo Dhehebu Kubwa Tanzania na lenye Waumini wengi kama ilivyo Duniani lakini pia ndiyo inaaminika kuwa ni Werevu na Wasomi wazuri.

Kwa wale Wakristo wenzangu ambao mnaota (mnawaza) kuja kuwa Marais Tanzania miaka ijayo nakuambia (nakuambieni) mapema tu kuwa kama hutokei katika Dhehebu Kubwa la Katoliki sahau labda utaishia tu kuwa Waziri Mkuu au Nafasi zilizopo za chini.

Hata Mama nae si kwamba alichelewa Kumchagua (Kumteua) Makamu wake Kimakusudi ila alishatahadharishwa mapema tu na Watu waliokuwa wanalijua hili kuwa lazima Mteule wake awe Mkristo lakini pia atokee katika Dhehebu Kubwa, lenye Nguvu na Ushawishi la Katoliki.

Mlionidhihaki huko nyuma endeleeni tu.
Huyu ndio mtanzania mjinga kuliko wote
 
Umeonaeee Macelela sio mkatoliki
Mkatoliki akimpisha dhehebu lingine mfano lutheri,maana yake mkatoliki atakaa nje ya madaraka kwa miaka 30,maana akitoka mlutheri ataingia muislam,wakatoliki hawapendi kukaa mbali na madaraka,misamaha ya Kodi nadhani na Kuna zaidi,yule kikwete Kuna kitu itakua aliwafanya,maana ghafla tu akaanza kushambuliwa wakati tiliambiwa chaguo la mungu
 
Kwamba alipiga mpunga au?? Mwaka 2005 kulikua na watu wenye pesa na watu wenye ushawishi! Kikwete bila ya kina Rostam na Lowasa aiseee! Kina Sumaye walikua wanabeba white house!
Prof mikidadi alipora mradi wa maji ambao kikwete aliupambania aupeleke kwa chalinze,mikidadi akaupeleka kwao rufiji,mkapa akamwambia huyo ndiye rais anayefata,shauri yako,kikwete hakua rais by chance,aliandaliwa na akawa,rais wa tz hatokei by chance,hata jiwe hakutokea by chance
 
Aliwazodoa eti misamaha ya kodi haiendi kwenye sehemu lengwa! Walimparula baba wa watu,hadi akamfuta kazi swahiba wake
Kikwete wizara ya fedha alimuweka zakia meghji,wakamzonga wakidhani akibadili atamweka kondoo,akaleta ustaadh
 
Nayaheshimu sana na mno Madhehebu mengine yote ukiachilia langu la Katoliki, ila kwa Tanzania hii na Nguvu ya Kanisa Katoliki tokea Uhuru na lilivyojikita indirectly katika Siasa za Tanzania huwezi kuwa Rais wa Tanzania au Makamu kama siyo Mkatoliki. Ukilibishia hili unataka tu Ligi isiyokuwa na maana kwani ndiyo Ukweli wenyewe.

Huko nyuma nakumbuka nilisema na leo narudia tena Kusema hapa hapa JF kuwa hata wale Marais wa Dini zingine waliowahi Kutawala (Kuongoza) Tanzania pia huwa ni lazima iwe ni kwa Uwazi au Kificho waende Vatican kwa Papa na ilipo Ngome Kuu (kama si Kitovu) Cha Ukatoliki ili Kujitambulisha.

Na hii Nguvu ya Ukatoliki haijaibuka tu bali ni Makubaliano ' Maalum ' yaliyoluwa ya ' Kimkakati ' zaidi tokea Awamu ya Kwanza ambayo imepelekea kuwa na Kiapo cha ' Siri ' kwa Watawala (wenye Dhamana) kuwa nafasi zote zinaweza Kutwaliwa na Madhehebu mengine.

Ila kwa Urais au Makamu wake piga ua si Ombi bali ni lazima awe Mkatoliki na hili wala halina Mjadala na kwenda nalo Kinyume ni Kujitafutia matatizo hasa ikizingatia ndiyo Dhehebu Kubwa Tanzania na lenye Waumini wengi kama ilivyo Duniani lakini pia ndiyo inaaminika kuwa ni Werevu na Wasomi wazuri.

Kwa wale Wakristo wenzangu ambao mnaota (mnawaza) kuja kuwa Marais Tanzania miaka ijayo nakuambia (nakuambieni) mapema tu kuwa kama hutokei katika Dhehebu Kubwa la Katoliki sahau labda utaishia tu kuwa Waziri Mkuu au Nafasi zilizopo za chini.

Hata Mama nae si kwamba alichelewa Kumchagua (Kumteua) Makamu wake Kimakusudi ila alishatahadharishwa mapema tu na Watu waliokuwa wanalijua hili kuwa lazima Mteule wake awe Mkristo lakini pia atokee katika Dhehebu Kubwa, lenye Nguvu na Ushawishi la Katoliki.

Mlionidhihaki huko nyuma endeleeni tu.
Nonsense ya kufa mtu kabisa hii

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nawaza tu, hivi ilikuwaje utawala wa awamu ya nne (utawala wa Kikwete) rais na makamu wake hawakuwa wakatoliki.

Note:
Kikwete, Shein na Bilal.
 
Kuna kweli zinazoonekana kwa macho mawili na akili za kawaida na kweli tata zinazooneka kwa tafiti madhubuti na labda kupewa dondoo kwa mbaali na watu wanaoaminika saana na kuna kweli zisizodhibitishwa zinazoenea kwa maneno maneno tu,cha .msingi uamuzi ni wako kuzika au kusafirisha na ndio utajua hujui na ukishajua utajua watu wengi huwa hawajui takribani mambo yoote na hii dunia inaendeshwa na watu wa sirini na makundi yenye maslahi yao upende ndio hivyo usipopenda ndio hivyo hivyo.Mtoa mada shaka zako zina chembechembe za ukweli kidogo.
 
Nayaheshimu sana na mno Madhehebu mengine yote ukiachilia langu la Katoliki, ila kwa Tanzania hii na Nguvu ya Kanisa Katoliki tokea Uhuru na lilivyojikita indirectly katika Siasa za Tanzania huwezi kuwa Rais wa Tanzania au Makamu kama siyo Mkatoliki. Ukilibishia hili unataka tu Ligi isiyokuwa na maana kwani ndiyo Ukweli wenyewe.

Huko nyuma nakumbuka nilisema na leo narudia tena Kusema hapa hapa JF kuwa hata wale Marais wa Dini zingine waliowahi Kutawala (Kuongoza) Tanzania pia huwa ni lazima iwe ni kwa Uwazi au Kificho waende Vatican kwa Papa na ilipo Ngome Kuu (kama si Kitovu) Cha Ukatoliki ili Kujitambulisha.

Na hii Nguvu ya Ukatoliki haijaibuka tu bali ni Makubaliano ' Maalum ' yaliyoluwa ya ' Kimkakati ' zaidi tokea Awamu ya Kwanza ambayo imepelekea kuwa na Kiapo cha ' Siri ' kwa Watawala (wenye Dhamana) kuwa nafasi zote zinaweza Kutwaliwa na Madhehebu mengine.

Ila kwa Urais au Makamu wake piga ua si Ombi bali ni lazima awe Mkatoliki na hili wala halina Mjadala na kwenda nalo Kinyume ni Kujitafutia matatizo hasa ikizingatia ndiyo Dhehebu Kubwa Tanzania na lenye Waumini wengi kama ilivyo Duniani lakini pia ndiyo inaaminika kuwa ni Werevu na Wasomi wazuri.

Kwa wale Wakristo wenzangu ambao mnaota (mnawaza) kuja kuwa Marais Tanzania miaka ijayo nakuambia (nakuambieni) mapema tu kuwa kama hutokei katika Dhehebu Kubwa la Katoliki sahau labda utaishia tu kuwa Waziri Mkuu au Nafasi zilizopo za chini.

Hata Mama nae si kwamba alichelewa Kumchagua (Kumteua) Makamu wake Kimakusudi ila alishatahadharishwa mapema tu na Watu waliokuwa wanalijua hili kuwa lazima Mteule wake awe Mkristo lakini pia atokee katika Dhehebu Kubwa, lenye Nguvu na Ushawishi la Katoliki.

Mlionidhihaki huko nyuma endeleeni tu.
Wakati wa Jk ma Makamu Shein yupi alikuwa mkatoliki hapo? Au wote?
 
Prof mikidadi alipora mradi wa maji ambao kikwete aliupambania aupeleke kwa chalinze,mikidadi akaupeleka kwao rufiji,mkapa akamwambia huyo ndiye rais anayefata,shauri yako,kikwete hakua rais by chance,aliandaliwa na akawa,rais wa tz hatokei by chance,hata jiwe hakutokea by chance
Kwa jiwe nakupinga..jiwe ilikua ni kamari ya mwisho.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bado upo katikati ya lindi la upumbavu, maybe elimu ndogo ndio maana unapata guts za kupost ujinga wako
 
Prof mikidadi alipora mradi wa maji ambao kikwete aliupambania aupeleke kwa chalinze,mikidadi akaupeleka kwao rufiji,mkapa akamwambia huyo ndiye rais anayefata,shauri yako,kikwete hakua rais by chance,aliandaliwa na akawa,rais wa tz hatokei by chance,hata jiwe hakutokea by chance
Kwa Jiwe halikuwa chaguo lao ni baada ya msambaratiko.
 
Lowasa alisema mwenyekiti alipora taa za ubungo na majina yake,pia rejea kauli ya bulembo alipokua anarejea ccm,kwamba walichezeshewa mkono wa kushoto,wao kupinga dola wakachagya kulia,kumbe kulia ndiyo chaguo la dola
 
Kwa jiwe nakupinga..jiwe ilikua ni kamari ya mwisho.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe iliamuliwa awe rais japo hakua na uwezo,kwa kuwa ishara zilionesha ugumu wa uchaguzi,wakaamua kumpa jiwe ambae anatoka Kanda ya ziwa ambako no lazima ukubalije ili uweze shinda uchaguzi,na walau Hana uchafu wa kutisha zaidi ya nyumba za serikali,rais wa tz hatokei kibahati
 
Back
Top Bottom