Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe ukiwa mwizi serikali utaponda raha tu, ila ukiwa kubaka mtaani utachomwa moto.Jamaa ukicheki kwenye frjiji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo.
Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu
Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
Ni kipimo cha niniVyakula na vinywaji si kipimo cha maisha bora
Watu wenye maisha bora wanakula chakula na kunywa vinywaji kama dawa ili wasije wakala na kunywa dawa kama chakula baadaeNi kipimo cha nini
Kwamba uwe na uhakika wa vyakula na vinywaji bado uwe na Maisha ya hovyo
Mahitaji ya binadamu
Chakula
Mavazi
Makazi (makazi) waziri anavyo vyote hivyo bado useme si kipimo cha Maisha bora
kwA upande wako kipimo ni kipi?
Mm mlo wangu ni mwezi mzma kabisaIla tanzania baadhi tuna Maisha magumu sana siku Moja kuna dingi ameweka vocha ya Buku 10 jamaa mmoja akalaumu sana kwamba Buku 10 n mlo wake kwA wiki 2
Analaumu nini sasa [emoji3][emoji3]Ila tanzania baadhi tuna Maisha magumu sana siku Moja kuna dingi ameweka vocha ya Buku 10 jamaa mmoja akalaumu sana kwamba Buku 10 n mlo wake kwA wiki 2
Njaa itakuuwa, kwahiyo wew chamaana uliona misosi tu?, labda hukuona chanzo chochote cha kukumotivate nawew ufikr alipo? Ama kitabu chochote cha maana? Ama basi hukupata fununu za siri za mafanikio yake? Ama basi hata connection?
Hovyo kabisa ama kwel masikin watabaki kuwa masikini, vyakula na vinywaji nowdays ni kawaida kujaa majumbani hata kwa family za kawaida, njoo huku mtaan majobless kibao tu lkn mageto hakupungukiw mazaga ya maana.
Fungua akili kijana umechezea fursa mjinga wew