Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amka ukanywe supu yako ya mapupu uliyoizoea... utakufa na njaa hapo kitandani!!Jamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo.
Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu
Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
Kipimo ni amani ya moyo yaani inner peace ingawa kupata matumizi muhimu pia kunahusika sio pekee yakeNi kipimo cha nini
Kwamba uwe na uhakika wa vyakula na vinywaji bado uwe na Maisha ya hovyo
Mahitaji ya binadamu
Chakula
Mavazi
Makazi (makazi) waziri anavyo vyote hivyo bado useme si kipimo cha Maisha bora
kwA upande wako kipimo ni kipi?
Katika hii dunia muhumu ni amani ya moyo tu,hayo mengine ni ziada tu...Jamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo.
Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu
Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
Umenikumbusha,kuna balozi tupo naye mtaani tunauza naye bata na mbogaKawaida hao watu wana privilege kubwa sana..kuna mzee wangu alikuwa diplomat akawa ananiambia yeye maisha yote kaishi kuanzia magumu sana ya kuchunga ng'ombe mpka hayo unayoyasema wewe.
Yeye akawa anadai hayo ni maisha artificial,mahali alikokuwa anadai ilikuwa lazima friji liwe na vinywaji vyote hata kama hutumii,maisha unayoishi lazima yafanane na yale ya us,uk nk..maana kuna siku utapata wageni toka hizo nchi.
Ila baada ya kustaafu alipigika haina mfano...
Mwenzie makonda alianza kwenda kwa mzee sitta(RIP) akaanza kutamani maisha yakishua, ikawa chanzo cha matatizo yote haya 😅We jamaa banah umenichekesha sana[emoji28]
Yah manVyakula na vinywaji si kipimo cha maisha bora
Ungeombwa naniluhuu ungetoa wewe,sio kwa kusifia hivyo.Jamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo.
Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu
Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
Mpaka nimekupenda. Umecharaza vema kabisa.Acha kumkashifu,mleta mada kazungumza aliyoyaona ambayo kwenye familia nyingi za ki Tanzania sio Jambo la kawaida ndio...haya tuanze na Wewe unaedai hii Ni kawaida na Wewe Ni mjanja sio mshamba,nyumbani kwako fridge yako imejaa kila Aina ya kinywaji?una Savana, Heineken,locol beers,wines,soda na Whiskey za Aina mbalimbali?Vodka?jibu UKWELI wako hapa....acha kurahisisha mambo,tukubali tukatae wanasiasa wanatumia Kodi zetu kujinufaisha wao na familia zao
ni fisadi tu km wengine,ataishi hivyo kesho yupo km kina mramba,we endelea kuwatembelea tu usichoke.Ni kipimo cha nini
Kwamba uwe na uhakika wa vyakula na vinywaji bado uwe na Maisha ya hovyo
Mahitaji ya binadamu
Chakula
Mavazi
Makazi (makazi) waziri anavyo vyote hivyo bado useme si kipimo cha Maisha bora
kwA upande wako kipimo ni kipi?
Ndugu yanguJamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo.
Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu
Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
Maskini wana tabu,Maskini wana tabu sana alaf malezi pia yanachangia mtu kama huyu ndo wale wanaliwa kiboga kisa chakula au vinywaji maana kwao havipo na hajafunzwa kujua kiasi cha kwao
Alikuwa anaishi kwa Mzee Six,Hata makonda alianza hivi hivi, mwisho mikao ya kujibinuabinua ikawa ndio style zake [emoji276]
Aliishi na kulelewa, alijua kuforce ujamaa yule kijana 😅Alikuwa anaishi kwa Mzee Six,