Niliwahi kuishi kwa Waziri fulani miezi 3 watu wanaishi maisha bora

Niliwahi kuishi kwa Waziri fulani miezi 3 watu wanaishi maisha bora

Inabidi tutoke huko, maisha mazuri si kujaa kuku na bia kwenye friji? Hayo ni maisha ya kawaida.
 
Jamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo.

Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu

Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
Amka ukanywe supu yako ya mapupu uliyoizoea... utakufa na njaa hapo kitandani!!
 
Ni kipimo cha nini

Kwamba uwe na uhakika wa vyakula na vinywaji bado uwe na Maisha ya hovyo

Mahitaji ya binadamu
Chakula
Mavazi
Makazi (makazi) waziri anavyo vyote hivyo bado useme si kipimo cha Maisha bora

kwA upande wako kipimo ni kipi?
Kipimo ni amani ya moyo yaani inner peace ingawa kupata matumizi muhimu pia kunahusika sio pekee yake
 
Jamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo.

Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu

Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
Katika hii dunia muhumu ni amani ya moyo tu,hayo mengine ni ziada tu...
 
Kawaida hao watu wana privilege kubwa sana..kuna mzee wangu alikuwa diplomat akawa ananiambia yeye maisha yote kaishi kuanzia magumu sana ya kuchunga ng'ombe mpka hayo unayoyasema wewe.
Yeye akawa anadai hayo ni maisha artificial,mahali alikokuwa anadai ilikuwa lazima friji liwe na vinywaji vyote hata kama hutumii,maisha unayoishi lazima yafanane na yale ya us,uk nk..maana kuna siku utapata wageni toka hizo nchi.

Ila baada ya kustaafu alipigika haina mfano...
Umenikumbusha,kuna balozi tupo naye mtaani tunauza naye bata na mboga
 
kuna mwaka tulienda kwa Mh.Waziri fulani hv mzaramo, nyumba yake iko somewhere..ilikua kutoa milango ilokuepo na ku replace mingne..tukajua leo hapa msosi wa kibabe basi mchana ulivofka ulitengwa ugali mkubwa na kisamvu nili mind sana yaan nkawaza katukomoa au nini sema matunda,ma juice ,maziwa vyakumwaga,wakati wa kuondoka alituchotea mikaranga nusu gunia
 
Kuishi vizuri ni kupi kwani, nani atusaidie ku-define kuishi vizuri..tusichanganye maisha mazuri na kuridhika! Je ikiwa mimi Mr X ninaishi kwangu, makazi mazuri, usafiri upo, watoto wapo shule, ninakula na kunywa chochote nachotaka..hata niishie hapa tu, huku sio kuishi vizuri jamani..
 
Jamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo.

Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu

Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
Ungeombwa naniluhuu ungetoa wewe,sio kwa kusifia hivyo.
 
Acha kumkashifu,mleta mada kazungumza aliyoyaona ambayo kwenye familia nyingi za ki Tanzania sio Jambo la kawaida ndio...haya tuanze na Wewe unaedai hii Ni kawaida na Wewe Ni mjanja sio mshamba,nyumbani kwako fridge yako imejaa kila Aina ya kinywaji?una Savana, Heineken,locol beers,wines,soda na Whiskey za Aina mbalimbali?Vodka?jibu UKWELI wako hapa....acha kurahisisha mambo,tukubali tukatae wanasiasa wanatumia Kodi zetu kujinufaisha wao na familia zao
Mpaka nimekupenda. Umecharaza vema kabisa.
 
Ni kipimo cha nini

Kwamba uwe na uhakika wa vyakula na vinywaji bado uwe na Maisha ya hovyo

Mahitaji ya binadamu
Chakula
Mavazi
Makazi (makazi) waziri anavyo vyote hivyo bado useme si kipimo cha Maisha bora

kwA upande wako kipimo ni kipi?
ni fisadi tu km wengine,ataishi hivyo kesho yupo km kina mramba,we endelea kuwatembelea tu usichoke.
 
Jamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo.

Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu

Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
Ndugu yangu
 
Maskini wana tabu sana alaf malezi pia yanachangia mtu kama huyu ndo wale wanaliwa kiboga kisa chakula au vinywaji maana kwao havipo na hajafunzwa kujua kiasi cha kwao
Maskini wana tabu,
Malezi yanachangia,
Wanaliwa kiboga,
Kwao havipo.

Umeandik kishujaa hatari. Kumbuk, mtu yeyote anaweza kuwa tajir au masikin muda wowot na saa yoyote.
Take note:
 
Back
Top Bottom