Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona huhitaji kuwa waziri kuishi hivyo?Jamaa ukicheki kwenye frjiji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo.
Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu
Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
Nakuunga mkono hapa.Wakati mwingine watu wa hivi maisha anayoishi anatamani maisha yako wewe unayoishi uswazi.Mtu kama huyo unaweza kuta ana mke mzuri mno vile ana uwezo ana uwezo wa kununua mapenzi lakini hawezi kununua upendo.Unakuta mkewe ni mwingi sana ni mhuni na malaya vile jamaa kila mara jamaa anakuwa kwenye mikutano huduma ya penzi mke anampa houseboy wake.Kibaya zaidi ukute mungu amemjalia watoto kichwa ngumu wote na wabia unga.Shukuru Mungu kwa uhai. Anaweza kuwa na vyote hivyo ila akakosa Amani ya moyo, akajaa stress, akawa mbali na Muimba wake...mwisho atakufa kama wewe tu.
Kujaza mabia kwenye friji ndiyo kuishi maisha bora?Jamaa ukicheki kwenye frjiji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo.
Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu
Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
Kauli za kimaskini hizi [emoji3]Shukuru Mungu kwa uhai. Anaweza kuwa na vyote hivyo ila akakosa Amani ya moyo, akajaa stress, akawa mbali na Muimba wake...mwisho atakufa kama wewe tu.
[emoji3][emoji3][emoji3]Kauli za kimaskini hizi [emoji3]
Maskini wana tabu sana alaf malezi pia yanachangia mtu kama huyu ndo wale wanaliwa kiboga kisa chakula au vinywaji maana kwao havipo na hajafunzwa kujua kiasi cha kwaowewe mwehu hayo ndio umeona maisha ya anasa wakati ni maisha ya kwaida tu.
The way ulivyoongea ni kama umetoka maisha ya chini kupitiliza..Yaani kuwa na friji na kuweka mahitaji muhimu kama hizo kuku na vinywaji wewe unaona utajiri
Lugha Kali za Nini Tena?Njaa itakuuwa, kwahiyo wew chamaana uliona misosi tu?, labda hukuona chanzo chochote cha kukumotivate nawew ufikr alipo? Ama kitabu chochote cha maana? Ama basi hukupata fununu za siri za mafanikio yake? Ama basi hata connection?
Hovyo kabisa ama kwel masikin watabaki kuwa masikini, vyakula na vinywaji nowdays ni kawaida kujaa majumbani hata kwa family za kawaida, njoo huku mtaan majobless kibao tu lkn mageto hakupungukiw mazaga ya maana.
Fungua akili kijana umechezea fursa mjinga wew
Umeongea kwa busara Sana..Nakuunga mkono hapa.Wakati mwingine watu wa hivi maisha anayoishi anatamani maisha yako wewe unayoishi uswazi.Mtu kama huyo unaweza kuta ana mke mzuri mno vile ana uwezo ana uwezo wa kununua mapenzi lakini hawezi kununua upendo.Unakuta mkewe ni mwingi sana ni mhuni na malaya vile jamaa kila mara jamaa anakuwa kwenye mikutano huduma ya penzi mke anampa houseboy wake.Kibaya zaidi ukute mungu amemjalia watoto kichwa ngumu wote na wabia unga.
Bro rizika na ulicho nacho na umshukuru muumba hicho alichokupa lakini una amani moyoni kikubwa fanya kazi kwa bidii na jiwekee malengo ya muda mrefu.Unaweza kuta ana vitu vyote hivyo lakini ukiona chakula anachokula ukimtupia mbwa au paka anagoma kula vile ni kibaya sana kutokana na masharti ya daktari kutokana na maradhi yanayomsumbua.
Ndio maana asubuhi hii saa 10 na dk 45 nilikuwa nawaza kitu kama hiki kuwa mungu huwa sio mchoyo anagawa riziki kwa kila mtu aliyesoma na asiyesoma kabisa wote hawa wanachokula mwili hauchagui hii ni pilau au ugali wa dagaa la kupaka lakini in the end wakienda toilet kinatoka kitu kile kile.
Acha kumkashifu,mleta mada kazungumza aliyoyaona ambayo kwenye familia nyingi za ki Tanzania sio Jambo la kawaida ndio...haya tuanze na Wewe unaedai hii Ni kawaida na Wewe Ni mjanja sio mshamba,nyumbani kwako fridge yako imejaa kila Aina ya kinywaji?una Savana, Heineken,locol beers,wines,soda na Whiskey za Aina mbalimbali?Vodka?jibu UKWELI wako hapa....acha kurahisisha mambo,tukubali tukatae wanasiasa wanatumia Kodi zetu kujinufaisha wao na familia zaoKwahyo ukahisi friji kujaa na kuku ndo maisha mazuri mbona life ni far more than unachokifikiria hivyo vitu unavyosema hata familia za kawaida vipo kwan cret la beer bei gani soda bei gani kuku ukiweka 5 kwenye fridge bei gani ila maisha mazuri ni zaidi ya hivyo unavyowaza ushamba na umaskini unatufanya tuone watu wanaishi vizur kumbe ni maisha ya kawaida umaskini ni kama ukilema tuueluke sana
We jamaa banah umenichekesha sana[emoji28]Hata makonda alianza hivi hivi, mwisho mikao ya kujibinuabinua ikawa ndio style zake [emoji276]