AFYA ZAIDI CONSULTANTS
Senior Member
- Mar 6, 2017
- 138
- 527
Heeee..... Sasa mbona hii jazba?Njaa itakuuwa, kwahiyo wew chamaana uliona misosi tu?, labda hukuona chanzo chochote cha kukumotivate nawew ufikr alipo? Ama kitabu chochote cha maana? Ama basi hukupata fununu za siri za mafanikio yake? Ama basi hata connection?
Hovyo kabisa ama kwel masikin watabaki kuwa masikini, vyakula na vinywaji nowdays ni kawaida kujaa majumbani hata kwa family za kawaida, njoo huku mtaan majobless kibao tu lkn mageto hakupungukiw mazaga ya maana.
Fungua akili kijana umechezea fursa mjinga wew