Niliwahi kuishi kwa Waziri fulani miezi 3 watu wanaishi maisha bora

Heeee..... Sasa mbona hii jazba?
 
Chuo nilisoma na mtoto wa waziri mstaafu....aisee nilienjoy maisha....mawaziri wana hela nyingi sana
 
Jamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo.

Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu

Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
...Hata Usafi ni Mpaka uwe Waziri??
 
Acha povu nilichoongelea na ww unachoongelea pia ni vitu tofauti sio lazima ujue content la fridge langu ila naweza ridhisha nafsi yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukaona hvyo vinywaji ulivyotaja ndo ukomobwa uelewa wako dah umaskini ni kama ulemavu tujiepushe nao[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…