njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Baada ya kina Francis Mhando wa Efm kumfanyia dhihaka Barbra na kumuita pisi kali chombo ya fundi wakihusisha maneno ya mtandaoni kuhusu mkude kusimamishwa kwamba alimtongoza nilianzisha uzi hapa na kulaumu sana wako walionisapoti wako waliodhihaki kama kawaida maana kwa Ta nzania mwanamke ni chombo cha starehe tena wako hadi wanawake walionicheka hapa jamvini na kuona naongea pumba.
Mwishoni nilimaliza ule uzi kuwaomba Simba wampe ulinzi barbara nikasema kuna siku atashikwa makalio na manyonyo hadharani, haya yametokea huko zanzibar sasa subirini tu siku wachambuzi wa utopolo watamuita kahaba malaya wakiwa hewani ndipo mtaamka sasa.
=======
Mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez
Advertisement
By Mwanahiba Richard
More by this Author
Unguja. Mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez juzi usiku alifanyiwa fujo katika Uwanja wa Amani mjini hapa, muda mfupi baada ya timu hiyo kumaliza kufanya mazoezi uwanjani hapo.
Akizungumza na Mwananchi jana, Barbara alisema alifanyiwa fujo wakati akiswali swala ya Ishah saa mbili usiku katika uwanja huo, baada ya timu kuondoka.
βWakati naswali walikuja watu wakaanza kunivuta, kunipiga na kuvuta mtandio wangu. Waliniumiza sana,β alisema mtendaji huyo aliyehusisha tukio hilo na mchezo wa fainali kati ya Simba na Yanga uliochezwa jana usiku.
Alisema baada ya tukio hilo aliripoti katika Kituo cha Polisi Ngβambo alikofunguliwa jalada lenye namba NGB/RB 247/2021, ambapo watuhumiwa kadhaa walikamatwa na kuwekwa ndani usiku huohuo. Gazeti hili lilifika katika kituo hicho ambapo polisi walikiri kupokea malalamiko na kufungulia jalada la shambulio la mwili.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Awadhi Juma Haji alisema hana taarifa juu ya tukio hilo.
Chanzo: Mwananchi

Bosi Simba adai kushambuliwa Zβbar
Bosi Simba adai kushambuliwa Zβbar
Thursday January 14 2021
Thursday January 14 2021
Mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez
Summary
Mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez juzi usiku alifanyiwa fujo katika Uwanja wa Amani mjini hapa, muda mfupi baada ya timu hiyo kumaliza kufanya mazoezi uwanjani hapo.Advertisement