Niliyetaka kumuoa kanidanganya kuwa mama yake amelazwa ICU nitume hela ya mchango

Binti una mwanaume ukimuomba elfu 50 anafunga safari kuja kwenuu kuhakikisha kama mama haumwi kwelii... ila pussy linapendaaa bure bureee hilo ni paka shume sio mwanaume
 
Mjomba we bahili duh, unampaga hela lakn? Sh ngap kwa mfano.. sometimes tunawafanya wachepuke kumbe
 
Na atafufua kuhakiki km maiti hizi zina unasaba na huyo binti, Lol
 
Binti una mwanaume ukimuomba elfu 50 anafunga safari kuja kwenuu kuhakikisha kama mama haumwi kwelii... ila pussy linapendaaa bure bureee hilo ni paka shume sio mwanaume
50 unaiona ndogo?ni lini umemtumia mama yako mzazi kiasi hicho cha pesa
 
Maana yake ni kwamba wewe humpi huyo binti hela za matumizi. Wewe ni bahili sana ndio maana binti aliamua hata adanganye ili umpe pesa.
Kwanini uumpe hela ya matumizi mtu ambaye hujamwoa? Na bado yuko kwao na wazazi?
 
Kwanini uumpe hela ya matumizi mtu ambaye hujamwoa? Na bado yuko kwao na wazazi?
Kwa nini umlombe mtu ambae hujamuoa? Si uone ambae utakua unamiliki muda wote unamlomba bila shida?

Hakuna kitu cha bure kwenye hii Dunia, ukitaka kula lazima uliwe. Kula bila kuliwa hiyo haipo.
 
Nipe
Namba yake.
 
Hela nampa kulingana na uwezo wangu
Kiongozi umesema point na naiheshimu sana bigup 💪
Kwa nini umlombe mtu ambae hujamuoa? Si uone ambae utakua unamiliki muda wote unamlomba bila shida?

Hakuna kitu cha bure kwenye hii Dunia, ukitaka kula lazima uliwe. Kula bila kuliwa hiyo haipo.
Ila na huyu ana point pia, watoto wa kike wana mahitaj kibao kama pedi, vocha, kusuka kama una malengo nae kunjua mkono zaidi mkuu
 
Uwe unampa hela kuepuka vizinga vya kijinga namna hiyo.
Sipendi mwanaume wa aina yako
 
Naomba namba yake niwe nampa pesa ya matumizi yake binafsi wewe kazi yako iwe kumdinya tu.

Si ndio unavyotaka?
 
Sioni kosa la kuacha kumuoa huyo bint, sema uchaichakata vya kutosha unatafuta sababu ya kumkimbia.
 
Sioni kosa la kuacha kumuoa huyo bint, sema uchaichakata vya kutosha unatafuta sababu ya kumkimbia.
Kudanganya msiba au ugonjwa sio poa,kumuacha nashindwa nimemzoea,kumuoa naogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…