Niliyojifunza kutoka kwenye utekwaji wa Humphrey Polepole

Alikuwa na ID zake mbili zinazofanana kidogo moja ikipigwa ban anaibuka na nyingine, alisumbua sana .
 
Kweli kutesa kwa zamu.
 
Alikuwa na ID zake mbili zinazofanana kidogo moja ikipigwa ban anaibuka na nyingine, alisumbua sana .
Sahihi kabisa. Zilikuwa ni hizi hapa Elitwege na Etwege. Jamaa alikuwa anakera mpaka basi. Watumishi wanalalamikia kutopandishwa madaraja yao, wanahakikiwa kila siku na kisumbuliwa! Walipolalamika yeye aliwaita ni wapiga dili na watu wenye vyeti feki.

Leo ametoka kwenye mfumo, ndiyo uzalendo na uchungu umerejea kwenye nafsi yake.
 
Ndio maana nimemkumbusha huyu kidampa wa buku 7 Lucas Mwashambwa siku Samuya akijifia ndio ataelewa alikua anatumika kama toilet paper ya mafisadi kutetea maslahi ya mafisadi.
 
Bado tunamsubiria huyu kapuku Lucas Mwashambwa naye siku si nyingi atakuwa anatoa milio kama huyu Etwege, kuimba kupokezana.
 
Point ya 10 ndio suluhuhisho la yote tofauti na hapo hao wahuni waccm wataendelea kuteka na kutuua na kufisadi nchi.
 
Utekwaji wa balozi Humphrey Polepole na kupotezwa mazima umeacha mafunzo kadhaa kwa nchi yetu.

1.e kuchoma moto mali zao hapo sasa ndio watakubali uchaguzi huru na wa haki.
Hizo zote ni porojo tu ulizojiandikia hakuna lenye mashiko wala ukweli. Km Rais anaweza kuuawa na watu wa chini basi hakustahili kuwa Rais, mtu aliyeapa kulinda watanzania yeye hawezi kujilinda? Na machineries zote zilizomzunguka? Acha siasa za majitaka!
 
Yaani we siku zote ni zoba hujawahi kumiliki akili. Hv nani kakuingiza kwenye siasa? We siasa huiwezi achana nayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…