Niliyoyabaini katika Operesheni ya Polisi dhidi ya watuhumiwa wa Panya Road - Dar es salaam

, Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Acha ujuaji
Sina ujuaji zaidi ya kutaka Sheria zetu ,katiba na kanuni zetu zifuatwe .Kwani alizitunga Nondo ? ,Mimi nahitaji uhalifu upambanwe kwa mujibu wa sheria zetu tulizojiwekea . Kwanini ninapotetea sheria zetu zifuatwe katika kupambana na uhalifu nioneke mjuaji ? .Basi tuzibadili hizo sheria uone kama nitaongea kitu.
 
Ningekuwa RPC au IGP hakuna muhalifu yeyote haswa hao wanao tumia silaha na kuchomoa roho na mali za watu angesalimika ningehakikisha wote wanaingia kaburini, NONDO acha kutetea upumbavu kisa u siasa umekujaa. Hao panya road si wa kutetea hata chembe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mfano hapo amesema kwamba kuna wengine walikuwa wanatajana.
Mtu kumtaja mtu haitoshi tuu kuamini kwamba aliyetajwa ni mhalifu ,ndio maana kuna Mahakama bahati mbaya sana Polisi wanahukumu moja kwa moja kwa kupiga Risasi na kuuwa.
 
We mjinga unavutia upande wako tu huna lolote, kama uliamua kutembelea familia za hao panya road wenzako ulitakiwa pia ukazitembelee na family za wahanga ili kubalance hoja zako... hopefully usingekuja na kauzi uchwara.
Kaka , hakuna sehemu nimetetea uhalifu ,ninachopinga ni utaratibu wa Polisi kukamata na kuuwa badala ya kupeleka Mahakamani baada ya upelelezi.Ninachotetea Mimi ni sheria zetu kuheshimiwa kama sheria hazifai ktk kupambana na uhalifu basi zibadilishwe.

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Ahsante Sana kaka Macho ,umeiweka vyema sana
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Na kwa bahati mbaya ndiyo lugha pekee hao panya road wanaielewa.

Walipoonywa na kushauriwa hawakuskia, ila baada ya kuuawa baadhi wanaelekea kuelewa somo.
Demokrasia na sheria kwa Afrika ni masomo magumu sana.
, Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
THREAD YA KUPUUZA HII.
POLISI NAO WANACHOKA JAMANI ACHA WAWAFYEKE,KUMBUKENI POLISI WETU KABLA YA KUFANYA LOLOTE HUWA WANAKUWA WAMESHACHUNGUZA KWA KINA,KABLA YA UTEKELEZAJI.
Ndio maana tuna sheria,katiba , kanuni na taratibu zimeweka utaratibu wa namna ya kupambana na uhalifu .Kama sheria zetu hizi hazifai basi tuzibadili.

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Ukiwa mpinzani ni kupinga tu mwanzo mwisho. Hats ukiambiwa haya ni mavi utapinga tu. Unaweza hata kulamba uone
Mbuta , ninachokifanya Nina tetea sheria zetu ,katiba na kanuni .

Niliyoyasema yote ni matakwa ya Sheria zetu ,kama sheria zetu hazifai basi tuzibadili.
 
Unaota ndoto ya alinacha mkuu.
Dola inapofanya kazi yake Kwa ajili ya kulinda amani na usalama wa nchi kamwe hakuna mtu anayeweza kushitakiwa.

Huwezi kumshtaki Obama Kwa sababu ya vita au Bush. Walifanya Yale Kwa ajili ya uslama wa nchi yao na Mali zao.

Hata wewe ukiwajulikana kuwa unawaunga mkono Panya rod watakula kichwa.

Labda ujifiche TU huku kwenye uhuru wa KUTUKANA na kusema chochote.

Hali ya Jiji imerejea wewe unaleta siasa hapa.?

Rwanda ni nchi yenye amani kuliko nchi zote za Afrika lakini amani Ile haikujengwa Kwa maneno Bali vitendo. Eti tukemee uhalifu. Sijui upuuzi Gani bila kuchukua hatua Kali. Rwanda imefikia pale Kwa sababu ya kudili na Wahalifu Kwa nguvu zote.
Mpaka Leo Kigoma Kuna Majambazi Toka Burundi. Kwa Nini hawaingii Rwanda wakaiba na kupora na bunduki zao wanakimbilia Tanzania. Ni Kwa sababu watanzania mtu akishavaa suti mchana tunamuona ni Mtakatifu.
Matokeo yake uhalifu hauishi.

Nondo ni miongoni mwa vinasaba vya kihalifu wa kijambazi Toka Burundi. Tukimsikiliza tutaitumbukiza nchi kubaya kama kwao Burundi.
Miaka ya nyuma majambazi kule Kigoma waliotokea Burundi walikua wanapora na Kubaka.

Kuna watu ni jeuri sana mitaani. Wanabaka watoto wa shule ,wanafira watoto,wanavuta bangi hadharani lakini hatumuoni Mshenzi hata mmoja kama Nondo akisema iundwe tume ikachunguze kiwango Cha uhalifu na mmomonyoko wa maadili na kuomba Polisi waongezewe vifaa vya utendaji au hata kusema kila mitaa zifungwe CCTV Camera kuwabaini Wahalifu. Au kuharakisha vitu kama Vitambulisho vya utaifa. Kuhakikisha kila mtu anajulikana Kwa DNA na Alama za vidole n.k.
 
Ngoroko, Ndio maana tuna sheria,katiba , kanuni na taratibu zimeweka utaratibu wa namna ya kupambana na uhalifu .

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Unatafuta Kiki kwa mgongo wa polisi, eti umejipiga Na picha kabisa mbona hukwenda kutembelea Familia za wahanga wa hao panya road, acha ujinga kijana.
Ahsante Mimi mjinga ,Marco ila elewa hakuna anayetetea uhalifu, niliyoyazungumza yote hapo ni kwa mujibu wa sheria , kanuni, katiba na taratibu Mimi nataka sheria zifuatwe katika kupambana na uhalifu . Iwe walio wakamata ni Panyaroad kweli au sio kweli Wawapeleke kwenye vyombo vya sheria, Mahakama kwa mujibu wa sheria na katiba. Polisi hana wajibu wa kuuwa watuhumiwa. Kama Katiba na sheria zetu hazifai,vyema zibadilishwe kuliko kupuuzwa alafu tunaohitaji Sheria ifuatwe tunaitwa Wajinga.
 
Umepiga nyundo kwenye msumari haswaaaa!!!.

Watz ni mambumbu sana ktk masuala ya Sheria na haki. Hebu fikiria mwanao kwa chuki tu mtaani kwako katajwa ni pants rodi, anachukuliwa na kwenda kupgwa rusasi. Urajisikuaje.
Buruta, nashangaa Sana namna watu wanavyotetea hili .Tuna sheria , kanuni, katiba na taratibu za namna ambavyo Polisi wanapaswa ku deal na uhalifu,mtu anakuja humu anatetea tuu Bora Polisi wauwe watuhumiwa,unapokamatwa na Polisi Wewe ni Mtuhumiwa hadi pale Mahakama itakapokukuta na kosa hivyo utakuwa mhalifu na unaadhibiwa .
 
Wauwae tu mnk sas HV unaogopa kutoka nnje kwenda kucheki mpira

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndio maana tuna sheria,katiba , kanuni na taratibu zimeweka utaratibu wa namna ya kupambana na uhalifu .

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Hakuna mtanzania asiyetaka sheria za nchi kufuatwa, lakini inafika hatua unaona tunakoelekea ni kubaya....kwa mfano kuna kisa kimetokea juzi hapa nchini...jamaa kavamia kwa mjamzito kambaka hadi mauti yamemkuta...mwizi kaondoka na simu ya laki mbili..na suti...alafu eti sheria ifuatwe kumhukumu mtu wa namna hiyo,..polisi wakiwaacha wezi nyie ndo wa kwanza kuirushia maneno ya kejeli...leo wamefanya kile wanapaswa kufanya mnaanza tena ngonjera...Pia unapaswa kutafakari kwanini mtu kama wewe hujafuatwa kama panya road...ni kwa sababu ni dhahiri hujihusishi na vitendo hivyo...lakini mbona vijana wengi sana ambao hawajihusishi na wizi wa namna hiyo wako salama na wanaendelea na shughuli zao? Rejea operation ya hayati Mkapa ya kutokomeza unyang'anyi wa kutumia silaha ulivyo saidia kanda ya ziwa... Tuweke siasa pembeni panya road si vijana wa kucheka nao.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana tuna sheria,katiba , kanuni na taratibu zimeweka utaratibu wa namna ya kupambana na uhalifu .

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Ningekuwa na masasi ningempiga za matako huyu sijui Nondo sijui aluminium.Sijui kala maharage ya wapi huyu Mrundi?
Ndugu , Formula. Ndio maana tuna sheria,katiba , kanuni na taratibu zimeweka utaratibu wa namna ya kupambana na uhalifu .

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
kuna mda sheria uchwara unaweka pembeni, chuma kichukue mkondo wake ?

je umewasikia tena hao panya ?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…