Niliyoyabaini katika Operesheni ya Polisi dhidi ya watuhumiwa wa Panya Road - Dar es salaam

Niliyoyabaini katika Operesheni ya Polisi dhidi ya watuhumiwa wa Panya Road - Dar es salaam

Watu wa dizaini yako brother nondo Jeshi I tunawaita MANANGA yaani hua hawajui wanafanya nini, usitetee upuuzi hata Maramoja, nashauri serikali kupitia hili genge la polisi katika hili waendelee na operation kwa muda wa mwaka mmoja tuu
Ajaye, sijatetea hoja yangu ni kwa mujibu wa sheria zetu na katiba yetu.

Polisi Hana mamlaka ya kuuwawa Mtuhumiwa isipokuwa Mahakama ndio Ina jukumu la kutoa adhabu stahiki kwa mujibu wa sheria ,

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wanalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Wanaharakati hamna jema,mpo kama Malaya.
Bilgert , hakuna anayetetea uhalifu , Hoja yangu Polisi wanajukumu la kupambana na uhalifu kwa mujibu wa sheria zetu , kuchunguza, kupeleleza na kupeleleka Mahakamani kama Sheri zetu ni Butu zibadilishwe ,sio kuzipuuza ,kuzivunja kwa Polisi kuuwa wahalifu . Hakuna sheria inayowapa Polisi hayo mamlaka
 
Ila yote tisa, wizi unarudisha maendeleo ya watu

Imagine umejichanga mwaka mzima ukanunua TV ukaiweka ukutani

Mwizi anakuja anaiba ndani ya dakika chache.

Kafanye utafiti wa namna bora ya kukabiliana na wezi na vibaka pia zinguka upite kuwahamasisha vijana kuacha wizi na ukabaji.

Uhalifu malipo yake hayawezi kuwa mazuri.

Operation iendelee
Peter , Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Sawa tumeshajua wewe ndiye sponsoro wao kumbe basi tulia zamu yako itafika..Kwa cv yako ya huko nyuma kuhusika kufanya matukio ya vuruguvurugu kipindi unasoma no wonder siku tukiambiwa na wewe ni moja ya wahusika wa Panya road binafsi mimi sitashangaa..

Umeongea mengi na yenye facts ndani yake na umeweka marejeo ya vifungu vya sheria lakini its too late mdogo wangu maana njia sahihi ya kudili na mtu mshenzi ni kuwa mshenzi zaidi yake hata nchi zenye sheria kali za dini huwa zinachukua maamuzi magumu kwa ajili ya watu wapuuzi yaani ukiua kwa upanga na wewe unakufa kwa upanga..

Hao vijana unaowatetea hapa wengi wao wamekaa jela sana lakini wametoka wakaendeleza yaleyale yaliyowapeleka jela so unadhani ipi ni njia sahihi ya kudeal nao!? Chuma tu hakuna mbadala hatuwezi kubembeleza watu washenzi kwa kuwawekea soseji na karimati na kuwaomba waache uhalifu kama ndugu yangu Extrovert alivyosema...

Mkono wa chuma ni njia sahihi kwao maana si wameshindwa kwenda vijijini kulima!!??..Halafu labda hujaishi uswahilini wewe tuulize sisi tuliozaliwa na kukulia Mwananyamala,Tandale Mabibo tukwambie hali halisi ya kuwa hakuna familia itakayokubali kwamba ndugu yao alikuwa ni mhalifu thus why panya Road wanaendelea kusurvive mitaani polisi hawawezi kukusingizia mtu bila kuwa na taarifa nae kwa kesi ndogondgo kama hizo mbona hawajaja nyumbani kwetu kukamata ndugu zetu!?,au mbona hawajaenda kwa kina Mshana Jr au kwa kina reymage ???

Tuache ujuaji wa kiboya katika ishu sensitive hasa zinazohusu usalama wa nchi,serikali ilimpiga chuma komando wake Tamimu miaka ile ya 80 pale Kinondoni Mkwajuni bila kujali kwamba alikuwa mtu muhimu sana jeshini wakati ule hii yote ni sababu ya kulinda amani nchini..acha polisi wafanye kazi yao
Tadpole ndio maana tuna sheria ,katiba ,kanuni na taratibu.

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Binafsi nina uhakika hao vijana ni wahalifu.

Polisi sio wajinga waruke nyumba zote waje kugonga nyumba zao tu.

Ukisoma majina yao tu unajua ni wahuni.. mtu anaacha jina lake alilopewa na wazazi wake anajiita TOSHA na anakuwa maarufu kwa jina la kihuni maana yake nini?

Polisi wanatumia teknolojia ku trace wezi.. hao mawasiliano yao yamesikilizwa kwanza.. na pia movement zao zimefatiliwa kwa kutumia simu zao na teknolojia zingine za polisi. Unakuta kila kwenye tukio la uhalifu mtu simu yake inasoma alikuwepo. Why polisi wamuache ?
Chukulia sawa ni wahalifu,ni Jibu kwa hiyo hiyo dhana yako sawa ni wahalifu.Nani anayepaswa kutoa adhabu dhidi ya hao wahalifu kwa mujibu wa sheria zetu .Ni Polisi au Mahakama? .

Jibu la wazi ,ni Mahakama.Tujiulize hayo mamlaka ya Polisi kuuwa watu , Polisi mamlaka hayo wameyatoa wapi?
 
Kwa panya road niko upande wa polisi,wawaue tu tumechoka
Sheria ,katiba , miongozo tuibadili pia kwamba hakuna haja ya Mahakama tena kama mnaona wanachofanya Polisi kukamata watuhumiwa na kuwauwa ni sahihi. Wajibu wa Mahakama nini ????
 
Allah Akbar!! Kwa kweli inasikitisha kusoma habari kama hii katika nchi ambayo ina uhuru kwa mika sitini!Sialaumu sana kwani najua huu ndio uwezo wako.Saudi Arabia inakat watu vichwa kila Ijumaa,je uhalifu umekwisha Saudi Arabia?Uhalifu na kukengeuka katika jamii (social deviance) ni jambo la kawaida na hata ungechukua hatua kali kiasi gani bado wapo watu ambao wataangukia hapo na ndipo ambapo magereza yanahitajika ili angalau watu wajifunze na warekebishwe tabia.La pili ni jamii ya sasa ya Watanzania,ni wa kuonea huruma,leo bodaboda kawa swahiba wa polisi mpka anaandamana kumpongeza Polisi kuua!!!
Someni barua ya kujiuzulu Mwinyi angalau mueleimike.
Abdul Nondo,umetimiza wajibu wako na najua umehatarisha usalam wako.
Kabisa kabisa Kaka Magnon ,sote ni wajibu wetu kupinga uhalifu kwa moyo wetu na nguvu zetu zote .Ila sote pia tunawajibu wa kuhakikisha uhalifu huo unapambanwa kwa kufuata sheria , katiba,sheria , kanuni na taratibu .Kama tunaona sheria zetu ni Butu kwa Polisi kupambana na uhalifu vyema waseme ,washinikize zibadilishwe ili wawe na mamlaka ya kuuwa watuhumiwa badala ya kupeleleza na kupeleleka Mahakamani.
 
Panya road wangekua nao wanabusara kwamba wanakuibia tu halafu wanakutema nasi tungefikiria kutumia sheria.

Kumbe ni wanakuibia na kukupa kilema cha maisha au kukuua kabisa kwa mali yako. Kibaya zaidi anakuibia mtu hohehahe kabisa maisha yako ya kuunga unga na bado wanakupa kilema cha maisha [emoji35][emoji35][emoji35]
Kaka Cvez , Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Kama katika jamii wanayoishi imewataja kama panya road unataka polisi wafanye nini
Chukulia kweli wametajwa , unadhani inatosha kutajwa tuu ukawa Mhalifu badala ya Mtuhumiwa? ,Mbili kwa hiyo Ukitajwa umefanya kosa mana yake hupaswi kupelekwa mbele ya vyombo vya sheria? , Baadala yake unatakiwa kuuwawa na Polisi kwasababu Wewe ni muhalifu /Mtuhumiwa ? . Mamlaka ya Polisi kuuwa wanayatoa wapi ? . Sheria ,katiba na kanuni zetu hazisemi hivyo .
 
Haijarishi Panya Road wamefanya uhalibifu mkubwa kiasi gani, Polisi bado haruhusiwi kuua mtuhumiwa.

Yote kwa yote, jeshi letu la Polisi ni taasisi inayoongoza kwa kutuhumiwa kufanya uhalifu zaidi.
Ahsante, kabisa umeiweka vyema kabisa
 
Naunga mkono hoja. Halafu inashangaza sana wakati hao panya rodi wanapofanya yao; wazazi,ndugu, marafiki na jamaa zao hukaa kimyaa i.e. haiwahusu. Hapo Wanaachwa waathirika peke yao na maumivu yao. Sasa panya rodi anashughulikiwa unashangaa wanaibuka watu from no where na mikelele yao oh, hapana sheria na katiba, oh kimeenda kimerudi. Nawashauri hao wapiga tararira kimya kile kitakatifu walichokuwa nacho kiendelee. Waiache Serikali ilinde raia na mali zao ....Au kuna watu wao wameguswa na operesheni hii??? Kama sio ndugu yako unapiga kelele za nini? Watu waliokatwa mapanga na panya rodi sio ndugu zako??
Ndugu Osefukany , Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Rubbish! Polis wetu ni dhaifu sana kuchunguza ndo maana hutumia short cut kwani mahakamani watashindwa.
Baadhi ya Waafrika wanavinasaba vya nyani ndio maana hata Wakoloni walitutawala Kwa sababu ya mijitu yenye unyani.

Yaani minyani inawaza kila anachofanya mzungu ndicho sahihi.

Hujui ni Kwa Nini wazungu kwenye suala la ugaidi na uhalifu wanaikubali sana Tanzania. Na wanajipendekeza Kwa nchi yetu Kwa sababu wanajua Polisi ya Tanzania wanauwezo mkubwa sana kiuchunguzi.

Afrika nzima hakuna Polisi iliyofanikiwa kupambana na uhalifu Kwa asilimia mia Moja lakini Tanzania Kwa kiwango Cha juu wameifanya nchi hii inakalika vizuri na amani Bado ipo .
Kuwatukana Polisi ni kudharau ndugu zetu na kutukuza Ulaya bila kuangalia mazingira yalivyotofautiana.

Siasa uchwara ni tatizo sana.
Hawa wanaotukana mpaka majeshi yetu ni watu wenye Nia mbaya

Na wameanza chokochoko Kwa sababu maadui wa nje wamewekeza sana Afrika ikiwemo Tanzania. Pesa za Magaidi zimeanza kuingizwa Kwa wingi sana Afrika, pesa za mabeberu na mashoga zinaingizwa sana Afrika, pesa za wanaovuruga amani Kwa kutumia Watu kama akina Nondo zimeanza kumwagwa Afrika.
Pesa za mashirika ya kutetea Majizi zimemwagwa kila mahali.

Ni juu ya Watanzania wapenda amani kujitafakari ama wadharai vyombo vyao vya Dola na kuwakatisha tamaa Kwa sababu ya wapumbavyo na wahuni wasiojua umuhimu wa amani Kwa sababu ya pesa wanazopewa na Magaidi na mabeberu wahuni wenzao au waache Majeshi yetu yafanye kazi zao kutokomeza uhuni na wahuni Kwa namna yoyote.

Hata hakimu akiporwa na Panya rod hua anakimbilia Polisi. Hata Juji analindwa na Polisi aliyebeba bunduki sio aliyebeba kitabu Cha SHERIA . Kwa Nini Juji alindwe na Bunduki. Kwa Nini asilindwa na mikono kalamu mkononi na vifaa TU Vya kiuchunguzi . Bila shaka ni ili ukimsogelea ukiwa na kisu,panga,mshale ,bunduki na hata ukiwa na Nia ovu ya kumdhuru kimabavu basi utaliwa kichwa.

Mahakama ni sehemu ya Kistarabu Kwa wastarabu lakini Kwa wasiowastarabu hao Baraza lao ni muhimbili .
Ukiona Jambazi limesalia na kupelekwa mahakamani ujue Hilo limejisalimisha lenyewe.

Hata Huko nchi zilizoendelea mziki ni huo huo. Wenzetu hawana Muda wa Kucheka na Wahalifu wenye silaha.
Ndio maana hata Marekani na Washirika wake Wanapohisi Gaidi mmoja yupo kwenye nchi Fulani wapo tayari kuingia kwenye vita na kuua maelfu ya Watu wasio na hatia ilia kuhakikisha wanalimaliza Gaidi na kuwapa raia wa Marekani uhakika wa amani.

Utasikia Vichaa wakifarijiana sijui Nchi zilizoendelea vyombo vyo vya kulinda usalama wa nchi vinafanya kazi kuzingatia haki za binadam ! Ni malofa na wapumbavu. Hakuna nchi inayocheza na amani ikawa na amani. Angalia Afrika Kusini wanavyovuruga amani na maendeleo yao. Wanawatreat wahuni Kistarabu matokeo yake Wageni bila kuwa na hatia ,huku wanasiasa wakitumia vurugu kama mtaji wao.
Nchi za Magharibi na Sasa hata Urusi na hata Israel na nchi za kiarabu tunaona zinavyoweza kuvamia popote na kuua hata watu Elfu Moja wanapomsaka adui wa amani yao.

Huwezi kuwa na amani kama unalala hujui kuwa patakucha salama na mke wako na watoto na majirani.

Sinaga tabia ya kutetea Panya rod hata siku Moja. Watu wenyewe Wanajiita Panya rod,sijui mbwa mwitu .

Kule Tanga walikua wanawakaba watu alfajir muda wa Swala. Na wengine wanawalazimisha waumini asubuhi kuimba nyimbo za miziki ya Kidunia na kucheza. Polisi walipofanya Oparation zao walipunguza uhalifu na uhuni huo.
 
Washapelekwa sana wanarudi.
Mtu kaua kumfunga hakupunguzi hasara ya aliyekufa, anatakiwa ma yeye afe ili iwe even
Himars ,kama hiyo ndio hoja basi Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili wasiwe wanashtaki watuhumiwa Mahakama ili Polisi wapewe mamlaka ya kuuwawa wanapopambana na uhalifu .Kuwe Hakuna haja ya Mahakama
 
Inatosha tu kumwambia kwamba: "Panya rodi walianza bila sheria na wataisha bila sheria".
Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Uhalifu hauwezi kuisha ndio, ila ni lazima upigwe vita. Nenda kaangalie takwimu kuhusu kiwango cha uhalifu nchini Saudi Arabia uone ilivyo na kiwango kidogo cha uhalifu.
Kupigwa vita kwa uhalifu kuna tatibu zake ktk katiba,sheria ya muenendo wa makosa ya jinai ,kanuni za adhabu ,PGO na sheria zingine .Kama sheria zote hizi hazifai basi zibadilishwe ili Polisi wawe na mamlaka ya kuuwa watuhumiwa badala ya kupeleka Mahakamani.
 
Mkuu umesema ...lazima kunanamna walivyokuwa wanashirikiana na hao wahalifu.....
Sikukuelewa. Ila ni kweli Polisi hawawezi kukurupuka tu na kukufuata nyumbani kwako. Lazima kuna "ramani"
Osefukany, chukulia sawa Polisi hawakurupuki sawa let's assume that. Hiyo tuu Ina Wapa wao mamlaka na uhalali wa kutoa adhabu ya kifo ? Badala ya Mahakama? Kama ndivyo hivyo basi sheria zibadilishwe
 
Maneno mengi yaliojaa pumba tupu kwa hili la panyarodi polisi wanazotaarifa zote kuhusu hao majambazi hivyo tuwaache askari wetu waendelee kuwamaliza hawa wachafuzi wa amani.Nondo acha siasa panyarodi ni wakatili kama unawapenda wewe na chama chako waambieni waache kufanya uharifu kwani hauna faida au muwaajiri kwa chama chenu ili mkiwavuruga wawapige roba hadi mkate gogo huku mkikorotoa macho kama mijusi iliyobanwa na mlango.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Ndugu Dezoizo, hakuna anayetetea Panyaroad au anayetetea uhalifu Hoja yangu Polisi wanajukumu la kupambana na uhalifu kwa kufuata sheria ,katiba ,kanuni na taratibu baadala ya kujichukulia Sheria mkononi.

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Masikitiko yangu mpaka sasa idadi ya panya rd waliouawa ni wachache saana, ilitakiwa wamalizwe kabisa kudadek zao!
, Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Back
Top Bottom