Niliyoyabaini katika Operesheni ya Polisi dhidi ya watuhumiwa wa Panya Road - Dar es salaam

Sasa wewe katika kufanya uchunguzi wako huo ulitegemea familia za hao panyaroad wakwambie walikuwa ni wezi? Acha kwanza polisi wafanye kazi yao la sivyo hao vibaka mtawapa nguvu ya kurudi upya maana wanatetewa, huu sio muda muafaka wa kuongea haya.
Ndio maana tuna sheria,katiba , kanuni na taratibu zimeweka utaratibu wa namna ya kupambana na uhalifu .

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Hujaelewa nilichokisema. Mwanao hajafanya uhalifu lakini anapigwa rusasi. Mahakama za nini Sasa?
Mnasahau ya akina Zombie?
Kesi ya akina Zombe ni mfano ,rejea mzuri sana
 
Police puuzeni kelele hizi za wachache endeleeni na zoezi la kuua hawa viroboto na mapanya, tena msirudi nyuma wala msipoe mmezoeleka mno hadi raia hawana uwoga teketeza hao vibwengo panya buku wote
Mwanamaiche,,,Ndio maana tuna sheria,katiba , kanuni na taratibu zimeweka utaratibu wa namna ya kupambana na uhalifu .

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Cha msingi polisi wasioneee mtu,kama ni Panyaroad amalizwe tu Hawa watu ni tatizo

Sahihi kabisa
 
Vile ni vyombo vya Dola mkuu.
Kama unabisha subiri siku Panya Road wawe wengi na wafanye matukio mfululizo halafu Jeshi lichukue nafasi ya kulinda amani ndio Utajua Nini maana ya Dola.
Jeshini jambo la muhimu ni kutumia silaha Kwa kulenga kichwa.

Panya rod ni hatari sana mkuu. Wasikie TU Kwa mbali. Achana na watoto walioamua kuua watu. Hata kwenye vita vya waasi wanatumia Vijana wadogo kupambana na Majeshi ya serikali na kufanya uvamizi na uasi Kwa sababu wanajua watoto wadogo wakishika silaha wanajua kuua TU hawajui kuwa mtu amejisalimisha au la . Na hua hawaogopi kuuawa ndio maana wanavamia muda wowote bila kujali kuwa watakamatwa au laa.
Kwa hiyo kusema eti mpaka uchunguzi ufanyike ndio wakamatwe kama mwizi mmoja mmoja ni jambo gumu sana . Nchi itaingia kwenye machafuko makubwa .

Wale wangesalia miezi miwili ndio ingekua basi mana wangefikia wakati wapo kila mahali na wangekua Sasa wanapora maduka , masheli ya mafuta,super market n.k, Tena wakiwa Kwa Makundi. Wale ni Wahalifu wa kimakundi Kwa hiyo ni rahisi sana kuwabaini anapopatikana mmoja.
Na watanzania wanadhani nchi yetu Haina wataalam kwenye vyombo vya Dola. Wapo wengi na wanafanya kazi Kwa kushirikiana na wataalam wengine kubaini Wahalifu.

Haiwezekani mtu awe na rekodi ya uhalifu halafu wakifuatilia kisayansi kwenye mitandao aonekane alikua na ukaribu na Wahalifu kwenye tukio Fulani basi asikamatwe. Na akionekana mkorofi wakati wa ukamataji nadhani hakuna namna nyingine tusiwalaumu polisi ,tuwalaumu Panya rod.

Tunaomba wapelekwe mahakamani wale njuka wanaojifunza uhalifu lakini wazoefu Kwa kweli ni kuwapa lawama Polisi Bure . Hapana Hawa ndio waliosababisha Kodi zetu zikatumika Kununua Bunduki za kuua binadam na sio dawa ya mbu.
 
Kaka , Ahsante kwa kunishambulia ila hoja yangu ipo very clear sitetei na sitawahi kutetea uhalifu, hata ukisoma nilichokiandika .Nchi yetu Ina katiba ,sheria za mienendo ya Makosa ya jinai ,PGO,Kanuni za Jumla za Adhabu sheria zote hizi zimeweka utaratibu wa kushughulikia makosa ya uhalifu .

Hakuna sehemu Polisi amepewa mamlaka ya kuuwa mtu kama njia ya kupambana na uhalifu , Polisi wamepewa wajibu wa kuchunguza na kupeleleza sio kuhukumu kwa kupiga mtu Risasi ni Mahakama tuu ndiyo yenye jukumu la kutoa adhabu iwe ni adhabu ya kifo ,kifungo Cha maisha au miaka yeyote hayo hufanywa na Mahakama. Mimi unanishambulia Nina taka Sheria tulizojiwekea tuzifuate na kuziheshimu ,kama hatuzitaki zimepitwa na wakati ktk kupambana na uhalifu tuzibadili, kwanini tuzivunje ???

Ndio maana tuna sheria,katiba , kanuni na taratibu zimeweka utaratibu wa namna ya kupambana na uhalifu .

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Hata kama tuseme ni wahalifu, mamlaka ya Polisi kuwapiga Risasi Watuhumiwa wa uhalifu mamlaka hayo wameyatoa wapi?. Mnatetea ExtraJudicial Killings
 
Nchi yetu Ina katiba ,sheria za mienendo ya Makosa ya jinai ,PGO,Kanuni za Jumla za Adhabu sheria zote hizi zimeweka utaratibu wa kushughulikia makosa ya uhalifu .

Acha utani mkuu.

Kagame ameipa heshima kubwa Rwanda kitaifa na kimataifa mpaka wakimbizi wa Kizungu wanakimbilia Rwanda Tena Kwa kulipia .
Yote hayo ni Kwa sababu ya kutumia vizuri bunduki kudhibiti Wahalifu.

Huu uhalifu unaoumgwa mkono na ACT Panya rod una mtandao mkubwa mpaka wa ugaidi. Walitaka TU pa kuanzia.
Hawa walitakiwa wakusanywe mahali pamoja waingizwe kwenye tanuru la kuchoma mkaa.

Amani haiji ila Kwa ncha ya upanga.

Mama Samia hajashika bunduki Bali ana vyombo vya Dola alivyovikuta vikiwa vinalinda nchi Kwa kutumia bunduki za moto. Alivikuta tangu anazaliwa.
Kusema Kuwa eti mikono yake inanuka damu ni jambo lisilofaa kabisa na ni kejeli kwa Taifa letu.
Wahalifu wakishirikiana ACT Panya rod walitaka kulivuruga Taifa.
Mama yetu chapa kazi. Kazi ya majeshi yetu ni kulinda raia wema kwa gharama yoyote.
 
Ahsante brother, Buruta.
 
Great
 
Kaka , Ahsante kwa kunishambulia ila hoja yangu ipo very clear sitetei na sitawahi kutetea uhalifu, hata ukisoma nilichokiandika .Nchi yetu Ina katiba ,sheria za mienendo ya Makosa ya jinai ,PGO,Kanuni za Jumla za Adhabu sheria zote hizi zimeweka utaratibu wa kushughulikia makosa ya uhalifu .

Hakuna sehemu Polisi amepewa mamlaka ya kuuwa mtu kama njia ya kupambana na uhalifu , Polisi wamepewa wajibu wa kuchunguza na kupeleleza sio kuhukumu kwa kupiga mtu Risasi ni Mahakama tuu ndiyo yenye jukumu la kutoa adhabu iwe ni adhabu ya kifo ,kifungo Cha maisha au miaka yeyote hayo hufanywa na Mahakama. Mimi unanishambulia Nina taka Sheria tulizojiwekea tuzifuate na kuziheshimu ,kama hatuzitaki zimepitwa na wakati ktk kupambana na uhalifu tuzibadili, kwanini tuzivunje ???

Ndio maana tuna sheria,katiba , kanuni na taratibu zimeweka utaratibu wa namna ya kupambana na uhalifu .

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Uzuri Kwa Sasa Polisi Wana teknolojia kutoka Marekani ,China, na Israel Kwa hiyo hata Hawa Panya rod. Humu watasakwa TU mana wanahamasisha uhalifu na kuzua taharuki kuwa Polisi wameua watu wengi na upumbavu Mwingine
 
Sina Maslahi yeyote na Panya Road kaka ,na siwaungi Mkono ,na siungi mkono uhalifu wowote hata katika andiko hilo nimeandika.

Ahsante kwa kunishambulia ila hoja yangu ipo very clear sitetei na sitawahi kutetea uhalifu, hata ukisoma nilichokiandika .Nchi yetu Ina katiba ,sheria za mienendo ya Makosa ya jinai ,PGO,Kanuni za Jumla za Adhabu sheria zote hizi zimeweka utaratibu wa kushughulikia makosa ya uhalifu .

Hakuna sehemu Polisi amepewa mamlaka ya kuuwa mtu kama njia ya kupambana na uhalifu , Polisi wamepewa wajibu wa kuchunguza na kupeleleza sio kuhukumu kwa kupiga mtu Risasi ni Mahakama tuu ndiyo yenye jukumu la kutoa adhabu iwe ni adhabu ya kifo ,kifungo Cha maisha au miaka yeyote hayo hufanywa na Mahakama. Mimi unanishambulia Nina taka Sheria tulizojiwekea tuzifuate na kuziheshimu ,kama hatuzitaki zimepitwa na wakati ktk kupambana na uhalifu tuzibadili, kwanini tuzivunje ???

Ndio maana tuna sheria,katiba , kanuni na taratibu zimeweka utaratibu wa namna ya kupambana na uhalifu .

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Hujakuta nao wewe hao vijana wa kazi, usiombe, hilo wazo lako la kisheria hutoliongelea kamwe, acha ujinga

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…