Niliyoyabaini katika Operesheni ya Polisi dhidi ya watuhumiwa wa Panya Road - Dar es salaam

hawa vijana ninavyojua polisi hawawezi kutoka tu huko na kuwafuata nyumbani, lazima kunanamna walivyokuwa wanashirikiana na hao wahalifu. Naomba operesheni hii ifanyike kwa miezi mitatu na maeneo mengine ya Jiji
Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , kuna Mahakama ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.
 
Hao kunguni wanapofanya uhalifu wao huwa wanaangalia sheria?
Hapo kwenye kubadilisha sheria za adhabu kali nakubaliana na wewe
Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , kuna Mahakama ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa. Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama sio kuuwa watuhumiwa.
 
View attachment 2371443
tunajua damu nzito kuliko maji mkuu,yule ni ndugu yako japokuwa sisi ni panya tu kama road wengine.pole sana with due respect kwa kupoteza kijana wako.
I don't know any one miongoni mwa walio uliwa , ninacho Pinga Mimi ni Police namna wanavyoendesha hii Operesheni ,wanakamata pasi uchunguzi wa kutosha mbaya zaidi hawapeleki Mtuhumiwa mahakamani wanauwa ,hii kwangu sio sahihi .
 
Polisi wana inform za hawa panya wote. Kumbuka wengi wao walikuwa washakaa jela. Kwahiyo polisi wanawafaham vizuri.
Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , kuna Mahakama ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa. Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama sio kuuwa watuhumiwa.
 
Huko Kunyongwa Hadi kufa kutokane na mchakato na maamuzi ya Mahakama kama sheria zetu zinavyosema ,ninachopinga ni watu humu kuja kutetea Polisi kuuwa watuhumiwa,sio sahihi na tunatengeneza tatizo kubwa sana hapo baadaye . Maana ya uchunguzi na upelelezi wa Polisi na kushtaki maana yake Mahakama ndio chombo Cha kutoa Haki ,sio Polisi kuuwa watuhumiwa.
 
this is your opinion. Ukweli hautafutwi kwa njia wanazotumia polis
 
Ndio maana inatakiwa mshukiwa apelekwe mahakamani ukweli wa kosa udhibitike, na adhabu stahiki itolewe. Sio sahihi kuruhusu polisi wasio na weledi kuua watu wanaowatuhumu.
Kabisa kaka Tindo .
 
Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa. Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama sio kuuwa watuhumiwa.
 
HUYU dudumizi09 NI CHAWA, ACHANA KUBISHANA NA CHAWA AKILI ZAO ZIKO KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA!
 
Nangu ,hoja uwe ni kweli ni Panya Road au sio Panya road bila kujali namna walivyo kamatwa kwa kufuatwa nyumbani,hoja yangu Mimi hayo mamlaka ya Polisi kuuwa watuhumiwa wameyapata wapi ?
Umemjibu vema kabisa, tatizo la watu humu ni siasa za uchawa oriented na hivyo you do not expect any intellect reasoning!
 
Kaka Adakiss , Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wanalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Kwa warekebishe sheria wapi ?
Sheria mwenendo wa makosa ya Jinai inasema Polisi wanawajibu wa kupeleleza, kuchunguza na kuipa nafasi Mahakama kufanya wajibu wake , Polisi Sasa wanakamata muda fulani bila uchunguzi na hatimaye wanauwa bila kupeleka Mahakamani,maana yake hawaamini ktk mchakato wa Mahakama ikiwa ni hivyo basi sheria zinazohitaji mtu apelekwe mahakamani Polisi washinikize sheria zibadilishwe
 
Sahihi kabisa
 
Mnajuaje kama ni bosi wanakikundi kamojawapo la panyaroad🥱
Vessel , Upelelezi na kupeleka Mahakamani ndio njia sahihi ya kila mtu aadhibiwe kwa haki bila kuonea au kuacha mhalifu bila Adhabu ,sio sawa Polisi kuuwa.Hawana hayo mamlaka kaka ,tusitetei haya.
 
Usije jiteka Tena ili kutafuta Kiki
Much Know ,vyema tungejikita katika hoja.Lengo langu ni Polisi kupambana na uhalifu huu kwa mujibu wa sheria ila sio kwa kukamatwa na kupigwa Risasi ,mfano mtu Leo anaweza kukutaja ww ni mwizi ukipewa adhabu ya kifo na Polisi bila kupelekwa mahakamani maana yake hata kama hukuwa mwizi ,huwezi kuwa na nafasi ya kuthibitisha kwamba ww sio mwizi ndio maana nasema ni muhimu sana saana ,Tukaheshimu sheria zetu .
 
Kaka Stimboti , Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wanalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Hebu acha siasa zako kwenye Mambo sensitive yanayogharimu uhai wa watu...Ni Bora ukae kimya
Siasa wapi kanaijua basi au makelele tu.Kenyewe kanaongea na kucheka kama Zitto .Ngoja wakabananishe wakapige bisi bisi za makalio ,akili zitarudi tu.
 
kenge hasikii mpaka atoke damu masikioni,

wakiwa wanatoa matamko huwa mnahisi wanatania,utekelezaji ukianza mara weledi,mara form for feilure,mara ccm b.wakati huo mnazika panya wenu.
Mkorinto , Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wanalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
We wayaue tu nasema yafe
uzi mrefu at unatetea haki ya muharifu aisee nimekerwa sana na mleta mada kama vp na yeye akitambulika wam..... tu
Saile Thinker ,Soma hoja yangu . Hakuna sehemu nimetetea mhalifu ninachoeleza hapa ni kwa mujibu wa sheria zetu kwamba wanaokamatwa na Polisi sio wanalifu ni watuhumiwa ,chombo Pekee kinachoamua huyu mhalifu au laa ni Mahakama .Ndio maana wajibu wapolisi ni kuchunguza , kupeleleza baadaye Mtuhumiwa ana shatakiwa mahakamani sio kuuwawa , Polisi Hana mamlaka ya kukamata na kumpiga mtu au muhalfu Risasi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…