Hakuna mhalifu asiejua anavunja sheria, Ila sheria ikiwa kali na kutekelezwa wahalifu hupungua..
Ukianza kutumia mabavu kurudi kwenye sheria inakuwa ngumu,..
Ziko nchi nyingi zenye utulivu na amani bila kutumia nguvu. Walianzia mbali kuielimisha jamii.
Hatuwekezi kwenye kanuni na sheria mapema ila zikivunjwa tunalianzisha kwa mabavu na ubabe..
Mfano: Hatuweki kanuni mapema kwenye bajaji na bodaboda, zikizidi na kuwa kero tunapiga marufuku mjini!!!!
'Panya road' ni matokeo ya mfumo ulioyumba hapo nyuma...
Jirani njooni mchangie
Depal
Lenie