Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Manager 😹😹😹
Kwann atoe siri zisizomuhusu??
 
😂😂😂 sauti za mamlaka zipo nyingi mwenyewe nimeshangaa hii.!!
Wengi hawajui lakini nakuambia sauti za mamlaka zipo nyingi sana hata yule jini makata unaweza kumcomand akakusaidia siri kubwa ambayo wengi hawajui ni kuwa njia ya kuwaita au kuwatumia mm Namtumia Belzebul nampenda haringi natumia njia ya kumuita kwa maneno ya kishetani hivyo spirit ambazo hazina nguvu zinamuogopa sana huyo ni baada ya lusifa Rocofog
 
ideomotor effect
 
Kweli jina lako linaendana na matukio uliyonayo 😹😹😹
Nifundishe basi
 
Kweli jina lako linaendana na matukio uliyonayo 😹😹😹
Nifundishe basi
Ili ujue haya inabidi upite njia za kujifunza ambazo zitajusaidia ukifika ktk rank ya mwisho ambapo utakutana na light na sound ambapo kabla ya kufika hapo unatakiwa uvuke Mind barrier ambapo ktk brain barrier ndio utakuta mambo manne
Mwili
Emotional
Spiritual
Mind
Mind barrier
Light and sound
Universal
Wengi wanaishia katika mind hawavuki
 
Uko level ipi iblis?
 
Mi kakibwengo kalikuja et nikakala mzigo usiku kucha week ikapit kakaj et kana mimba nikatupa likibao
 
Sawa iblis fungua darasa tuanze kuattend, mimi nataka sana kujua yote hayo.!!
 
level ya mwisho na ukifika level ya mwisho huko ni hatari utakuja kuona hata Mungu ndio Shetan mwenyewe
Yaan kiuhalisia hakuna giza duniani ukisema kuna giza hujui kanuni za ulimwengu
How long did your take to the lst level?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…