Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Mkuu hii ni Siri yangu binafsi kwa sababu nilichaapa kuwa siwezi kutoa Siri.

tafuta maarifa utafunuliwa na kuishi kwa uhuru katika huu ulimwengu utajifunza mambo mengi Sana.
Mkuu hayo marriage wapi yanapatikana labda unaweza kutusaidia na sisi tukajifunza kama hutajali
 
Hii inaitwa tahsin suffly.
Kazi yake ni kukukinga na mashetani,vibwengo,majini ya aina yeyote dhidi ya uchafu wao na internal power yao.
Ukisoma mara 3 inadumu kwa muda wa masaa 12 ukisoma mara 7 inadumu kwa muda wa masaa 24.
Na unaisoma ukiwa nyumbani au sehemu yoyote tu?
 
Kumbe mna chama kabisa Huwa mnalala vizuri usiku?
 
Hakunaga majini, wala sijui vibwengo
Huwa ni story tu za hapa na pale
Akili yako ikiwa haiko sawa ukiwa na wenge ndio mnaona ni majini.
 
Kuna andiko la uchawi lililochanganywa spell za uchawi wa BABELI na spell za codex of gigas.
Hilo niliambiwa Freemason ndio wanalitumia sana.Ila sharti lake gumu maana ukiisoma andiko zima mara 21 ni sawa umejitawaza kuwa mkuu wa kilinge.Ni spell ya nafsi chafu ambazo unaziondosha kwa kafara ya damu ya mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ