Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Tumekubaliana majini hayachagui lugha 😹😹😹
Hukuona mleta mada katumia kinge kuwakwepa vibwengo vya kiswahili??
We BHANA.
Mie sizungumzii vinafsi vichafu vipepo holela alivyoviita mleta mada ambavyo hata kwenye vikombe wanakaa.
Hapa nawazungumzia marohani wa majina ya kijani wa koo za falme za kirohani ambao kuwakuta kwao ni Baharini,Misitu minene,Mapango makubwa ama chini ya ardhi.
Hao unawaita kwa qassam za kiarabu maana hiyo ndio lugha yao ya kwanza.
Ila wakishafika unaweza kuongea nao lugha yeyote.
Hao sio poa hawakai chooni au kwenye vikombe.
 
Huyo muongo muongo toka amesema hamna lolote 😹😹😹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tumshitaki kwa moderator!

JF ni jukwaa la kuongea ukweli anathubutu vipi kukuongopea?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ambao majaribu mtaleta mrejesho mmepona Nini Ili na sisi tujaribu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mbona nimeanza kumfanyia mambo mkuu Hammaz !?
We muulize,na leo usiku namtupia nondo mkuu mzee wa Hallelujah!
We hujui kiarabu sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Kama unajua sema nikurushie.
Mkuu, una kesi ya kujibu bhana!

Kesi ya kuongopa! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Watu wanataka wavione vitu!
 
Njia yoyote ambayo haimkufuru Mungu waweza kutumia ilimradi ufanikiwe the bad thing is to die broke while there's a lot of ways to make money.
Mkuu, lengo langu halikuwa kutafuta pesa au kitu chochote, nilifanya kama moja ya tafiti zangu binafsi, sio kwamba nilifanya ili nipate hela.

Nadhani labda haujasoma uzi mpaka mwisho.
 
Mkuu, una kesi ya kujibu bhana!

Kesi ya kuongopa! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Watu wanataka wavione vitu!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Anayesema hivyo ni mamaa wa Kvant na Hanson's Choice pamoja na Heineken,anawaonaje just simple like that!?
Akitaka ajipange halafu twende sehemu ila asije akanililia tu kwenye mabegaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hivi huwa wanajua kuwa wanatisha?
 
Kipo ila kuna namna wanakupa huo utajiri.
Labda chama ambacho ni local na kina husisha ulozi, lakini vyama vile vya kimataifa havitoi utajiri.

Wanakupa influence au mvuto, huo ndyo utakuletea pesa nyingi. Mfano kama wewe ni msanii, mwana michezo, mwansiasa, kiongozi wa dini au Karia yoyote ile

Pesa zitakuja baadae utakapo vuma na kupata ushawishi mkubwa kwa wafuasi wako.
 
Hahahah!
Lamomy kuna ujumbe wako hapa!

Unaambiwa upunguze vyombo ndipo mambo yatakwenda sawa! 😁
 
Nataka nilitume Jini pale Swiss Bank likakombe pesa zote za mafisadi wa bongonyo, kisha aniletee huku milimani kwenye hekalu la wajerumani kudadadeki.

Hallelujah!!!
 
Bob Manson
You tube kuna channel inaitwa "Mind Seed Tv" inahusiana na paranormal activity kuna vitu utavipata.

Angalia kuanzia za mwaka (2023).
 
Bob Manson
You tube kuna channel inaitwa "Mind Seed Tv" inahusiana na paranormal activity kuna vitu utavipata.

Angalia kuanzia za mwaka (2023).
Sawa mkuu nitapita huko nitazame then nitakupa mrejesho
 
Mkuu, lengo langu halikuwa kutafuta pesa au kitu chochote, nilifanya kama moja ya tafiti zangu binafsi, sio kwamba nilifanya ili nipate hela.

Nadhani labda haujasoma uzi mpaka mwisho.

Kuita ROHO zilizokufa hii nilipewa kitabu ambacho kimeandikwa kwa Arabic na kiingereza kufanya translation.


Nilijfunza mambo kadhaa ikiwemo kuita ROHO zilizokufa hapa duniani kwa lengo la kuzitumia kufanikisha mambo yako Fulani.


Hiyo njia uliyotumia ni hatua za mwanzo za kucheza na demons pamoja na spirit mbalimbali.


Next time waweza kusafiri hadi kufikia kiwango cha kugeuza tafiti kuwa fursa
 
Mkuu unamaanisha mtu ajaribu akiwa kazini? Au msikitini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…