Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Mkuu nilivyo utupa ubao, nikasoma sehemu nikaona napaswa kuuchoma moto kabisa, lakini bado nahisi sijamaliza kazi.

Ila nitahama na kujaribu sehemu nyingine nione kama bado mauzauza yataendelea
Ouija board ni moja ya hizo wanaita "portals" au malango ya kukutana na roho za giza. Inaonekana kama kamchezo poa tu ila ni strategy ya Giza ya kuwapata watu. Pamoja na kuchoma kibao kitu ambacho kimsingi kinaashiria kuachana na mchezo huo, ujue kuwa yule uliyemwita hujafanya taratibu zake kisheria za kumrudisha alipotoka. Kuna kitu unapaswa kufanya uwe huru.
 
Tuelekeze namna ya kuunda mwenyewe huo ubao.
Kama unavyo uona katika picha, ni ubao wa mbao halisi ya mti, na kuna rangi maalum kwaajili ya kuandikia hayo maandishi. Unaweza uka copy kutoka kwenye picha ya mfano.
 
Oyaaaa ko kimeumana kwa huyo mtoa mada aisee 😂😂😂🙌🙌
 
Pamoja na kuchoma kibao kitu ambacho kimsingi kinaashiria kuachana na mchezo huo, ujue kuwa yule uliyemwita hujafanya taratibu zake kisheria za kumrudisha alipotoka. Kuna kitu unapaswa kufanya uwe huru.
Nipo huru, lakini sina imani tu na chumba changu.Nimesha jaribu mambo mengine ya kutisha zaidi kuliko hilo, pia kwa sasa nimeacha na nimezidisha maombi na sala
 
Kuna movie niliangalia inaitwa Jumanji nayo iko km hiyo anayoelezea mtoa mada.!!
Ni game ambalo la ajabu
 
Mkuu mbona kama vile umenishawishi nami nitest nione mambo yakoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…