Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Uliwaita majini ya kike na upwiru wako, wamekuja kukuonyesha show unawafukuza 😹😹😹
Dah.!! Nimecheka sana.!!
Ngoja nijaribu hiyo nione mijini ya kiume
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hamna Yani ukitumia nilotumia mimi ni ya kuitwa majini ya kiroho kiujumla.
Ila ukisoma mara 71 ikafika masiku meupe ya mwezi wa kiarabu ambayo ni tarehe 13,14 na 15 basi ni siku ya wao kuwatembelea watu waliowachagua na waliowapenda.
Na mimi nilifatwa siku ya 14 ya mwezi wa kiarabu.
Luckily akati nasoma nilisoma chumba cha kuswalia ambapo nilipitiwa usingizi humo humo.
Maana ingekua chumbani napolala wife sijui angenifanyaje maana ni mbabe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Wapo wengine walipata madhara ya kiafya kabisa, kama kupooza na kukosa nguvu kwa baadhi ya viungo vyao.
 
Sema hapo walipokuvuta miguu inaonekana wababe sana.!! 😹😹😹
Sasa mimi nataka niwaite niwahoji kuna vitu nataka kujua kutoka kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…