Nilowaita mimi wote wasafi.Sasa itakuwaje??
Mi hao wahuni siwataki wanaonekana wababe hawana ustaarabu.!!
Ndio maana nilikauka koo.
Unafanya masihara nini usome maandishi ya kiarabu usawa wa karatasi 22 za kaunta!?
Wachafu kuna namna yao ya kuwaita.