Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Teh teh teh hilo radi sasa 😹😹😹
Nyumba zenyewe mafundi walipunja cement si balaa zito hilo.?!!
Hii ni kama demo ama mfano.
Huwa wanakuja kwa mfanano wa hivi chini wakipasua ardhi kutokeza juu.
Kuna anayekuja nusu mtu nusu nyoka,na kuna anayekuja full nyoka na kubadilika akishakusogelea karibu.
Usithubutu kukimbia ukimuona ni sawa umemdharau.
Wengine wanakua na upepo mkali zungusha duara la chumvi na katikati tengeneza nyota kwa chumvi au sembe.
Screenshot_2024-07-18-18-23-45-77_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-07-18-18-25-04-02_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
chumvi au sembe.
 
Hawa wasafi njia si ndiyo hiyo ya kisomo, ama kuna njia mingine??

Hallelujah!!!
Ni hiyo tu mkuu.
Tafuta nguo nyeupe ama kanzu,uvumba/jawi,ubani zuhra,udi wa Shivam na mshumaa mwekundu unatosha.
Pia usome usiku wa kiza kikali kuanzia saa 6 mpaka saa 9 isifike alfajri.
Usiku huu huu nitaku PM nikurushie.
Angalizo usiziweke exposed hizo karatasi ni hatari.
Pia uandike katika karatasi nyeupe kwa wino mweusi au mwekundu itapendeza zaidi.

We chill bro si umesema kiarabu unajua?
Usiku huu huu PM mzigo unaingia.
 
Nitaweka sawa vyote. Hakuna matata.

Hallelujah!!!
 
Njia yoyote ambayo haimkufuru Mungu waweza kutumia ilimradi ufanikiwe the bad thing is to die broke while there's a lot of ways to make money.

Point yako kubwa sana wachache wataelewa. Ilimradi hauabudu kiumbe chochote ila unakiamrisha kikuletee pesa kihalali au kikuonyeshe madili ya kihalali yalipo basi mchezo kwisha 😆
 
Hii ni kama demo ama mfano.
Huwa wanakuja kwa mfanano wa hivi chini wakipasua ardhi kutokeza juu.
Kuna anayekuja nusu mtu nusu nyoka,na kuna anayekuja full nyoka na kubadilika akishakusogelea karibu.
Usithubutu kukimbia ukimuona ni sawa umemdharau.
Wengine wanakua na upepo mkali zungusha duara la chumvi na katikati tengeneza nyota kwa chumvi au sembe. View attachment 3045664View attachment 3045665chumvi au sembe.
😹😹😹 huyo km naagin hatishi bana.!!
Sema wanakuwa na mbwembwe nyingi, mizimu ya kihindi hio
 
Back
Top Bottom