Niliyoyaona hapa JamiiForums kutoka kwa Watu aina tofauti

Marry Diana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,429
Reaction score
4,125
Shikamooni wakubwa,

Kwanza nishangae,
Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki.

Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao.

Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea na wanaume tofauti au wanawake tofauti,na wanahisi kila mwanamke ni mrahisi au yupo humu kwaajili ya kutafuta mabwana.

Kuna mtu aliniambia kupost majina yangu na picha vitaniletea matatizo,sasa najiuliza kwanini upate matatizo?kivipi ?

Mimi nadhani ni wakati wa mtu kuchagua Uhuru wake,nidhamu,heshima na mengine mengi kuliko kuishi Kwa wasiwasi.

Napenda utani ,napenda masihara napenda kufurahi,lakini humu watu wamezidi kupenda ngono,hadi najiuliza huku kuna waoaji kweli?au ndiyo kuna wadhalilishaji?
Mimi naamini siku nikitoka na mwanaume wa humu nitaanikwa😂😂😂 mpaka nijute.

Ila yote Kwa yote naamini Wanaume wema bado wapo tu,na Kwa uwezo WA Mungu kila kitu kitakuwa.

Naupenda huu mtandao,hadithi,simulizi vichekesho lakini pia naenjoy mnooo❤️❤️❤️
Karibu tulale tumalizie usingizi
 
1748067334733.jpeg

Kwanini Umepigia Picha Maliwatoni?
 
Humu jukwaani kuna mwanaume mmoja tu mwema aliyebaki. Na ndiyo mimi hapa. Wengine wote waliobaki, usijaribu.
 
Back
Top Bottom