Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
- #21
Hivyo eehalafu nataka unitumie picha zako pm nipime kuwa yaliyomo yapo?
Hivyo eehalafu nataka unitumie picha zako pm nipime kuwa yaliyomo yapo?
cc SweetyCandyHumu jukwwani kuna mwanaume mmoja tu mwema. Na ndiyo mimi hapa. Waliobaki wote usijaribu.
Halafu wee kila nikisema Mimi siye unalazimisha kwani upojeMarry yohana..
Kwanini umenisahau mi amos thomas tulisoma wote
Kosa liko wapiUmeweka na picha yako kabisa, Naona unachezea umeme kwa mkono...wengine hata JF tunaifungua kwa kujificha, kuna nyuzi nyingi humu huwa zinauliza mbona watumiaji wa JF hawaonekani mtaani ila humu wapo wengi🐼
Nakujua tumesoma wote mbeya..Halafu wee kila nikisema Mimi siye unalazimisha kwani upoje
Utalijua tu ni suala la mudaKosa liko wapi
Sijasoma mbeya,Kwanza huo mkoa haujawahi kufikaNakujua tumesoma wote mbeya..
Kimbuka mdada
Hivi yupo wapi😅Wewe na yuniki flawa utofauti ni majina tu, ila uelekeo wa dish ni ule ule...
Napendekeza mod wakupe heshima yako kama verified user.Kosa liko wapi
Hamna kosa bwanaaUtalijua tu ni suala la muda
NitashukuruNapendekeza mod wakupe heshima yako kama verified user.
Kunikataa humu haibadilishi kitu..Sijasoma mbeya,Kwanza huo mkoa haujawahi kufika
Lamomy shosti wako kakukana huku 😂🤣Hapana huyo mtu simfahamu
Wee kaka,sasa Mimi unataka nilazimishe nakujuaKunikataa humu haibadilishi kitu..
Ulijui jina amos thomas
Wamenihonga vipi,halafu ukiwa senior unalipwaNdio dada, watu wa humu wanapenda sana ngono, hasa @mods ndio maana wamekuhonga u Senior member wakati umejiunga jf juzi.View attachment 3343653
Umalizie usingizi asubuhi unafanya kazi night club? 😹😹😹Shikamooni wakubwa,
Kwanza nishangae,
Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki.
Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao.
Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea na wanaume tofauti au wanawake tofauti,na wanahisi kila mwanamke ni mrahisi au yupo humu kwaajili ya kutafuta mabwana.
Kuna mtu aliniambia kupost majina yangu na picha vitaniletea matatizo,sasa najiuliza kwanini upate matatizo?kivipi ?
Mimi nadhani ni wakati wa mtu kuchagua Uhuru wake,nidhamu,heshima na mengine mengi kuliko kuishi Kwa wasiwasi.
Napenda utani ,napenda masihara napenda kufurahi,lakini humu watu wamezidi kupenda ngono,hadi najiuliza huku kuna waoaji kweli?au ndiyo kuna wadhalilishaji?
Mimi naamini siku nikitoka na mwanaume wa humu nitaanikwa😂😂😂 mpaka nijute.
Ila yote Kwa yote naamini Wanaume wema bado wapo tu,na Kwa uwezo WA Mungu kila kitu kitakuwa.
Naupenda huu mtandao,hadithi,simulizi vichekesho lakini pia naenjoy mnooo❤️❤️❤️
Karibu tulale tumalizie usingizi