Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
- #61
AhsanteTwende zanzibar tukaangalie mechi tukibeba kombe nakununulia gari huko huko urudi unadrive.
AhsanteTwende zanzibar tukaangalie mechi tukibeba kombe nakununulia gari huko huko urudi unadrive.
Mchukue demu wako wa Facebook mnatuchosha..!! 😹😹Ukute ni dennis Robert
Maneno bila picha ni sawa na kujaribu kushika hewaBasi mi sina
Dadaaa😂😥 Nimelia sana wakati na mkorogo nimemuuzia juzi nikampa na punguzo…!!
Sipo FacebookMchukue demu wako wa Facebook mnatuchosha..!! 😹😹
Kumbe mods wanamnyemelea?Ndio dada, watu wa humu wanapenda sana ngono, hasa @mods ndio maana wamekuhonga u Senior member wakati umejiunga jf juzi.View attachment 3343653
Muache, mungu atakulipia 😂🤣😥 Nimelia sana wakati na mkorogo nimemuuzia juzi nikampa na punguzo…!!
Muone 😂Marry yohana..
Kwanini umenisahau mi amos thomas tulisoma wote
Nimsaidie kulala au pakulala!? Ataenda chumbani mie mniletee shuka nalala hapa sebuleni 😂🤣Haya Maria basi kaka yangu makaveli10 akusaidie kulala na wewe…!! 😹
Mnaizodoa sanaView attachment 3343661
Kwanini Umebadilisha Ile Picha Ya Buchani??
😂🤣😂🤣😹😹😹 Shogaangu ana hekaheka mpk mi mwenyewe ananichosha kumtetea..!!
Awape link ya telegram mumfate tu….!!
Mahi nimeleta serum kutoka Korea pambe sanaa..!! Wahi kabla wenzio wa Buza hawajaushambulia mzigo..!! 😹😹😹Dadaaa😂
Wanaume wema tupo ila wanawake wema sidhani kama bado wapo😁😁😁Shikamooni wakubwa,
Kwanza nishangae,
Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki.
Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao.
Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea na wanaume tofauti au wanawake tofauti,na wanahisi kila mwanamke ni mrahisi au yupo humu kwaajili ya kutafuta mabwana.
Kuna mtu aliniambia kupost majina yangu na picha vitaniletea matatizo,sasa najiuliza kwanini upate matatizo?kivipi ?
Mimi nadhani ni wakati wa mtu kuchagua Uhuru wake,nidhamu,heshima na mengine mengi kuliko kuishi Kwa wasiwasi.
Napenda utani ,napenda masihara napenda kufurahi,lakini humu watu wamezidi kupenda ngono,hadi najiuliza huku kuna waoaji kweli?au ndiyo kuna wadhalilishaji?
Mimi naamini siku nikitoka na mwanaume wa humu nitaanikwa😂😂😂 mpaka nijute.
Ila yote Kwa yote naamini Wanaume wema bado wapo tu,na Kwa uwezo WA Mungu kila kitu kitakuwa.
Naupenda huu mtandao,hadithi,simulizi vichekesho lakini pia naenjoy mnooo❤️❤️❤️
Karibu tulale tumalizie usingizi
Tuwie Radhi Kipenzi...Wewe Unadhani Kwanini Wanaizodoa??Mnaizodoa sana
Ni kama nywele tuBig nyash humuota yeyote haijalishi ni malaya au la.
Eti wanasema ni chooniTuwie Radhi Kipenzi...Wewe Unadhani Kwanini Wanaizodoa??
Tupo wengi mnoWanaume wema tupo ila wanawake wema sidhani kama bado wapo😁😁😁
😹😹 Yani sikutegemea mahi wangu km atanikana mara tatu..!!Muache, mungu atakulipia 😂🤣