Niliyoyaona hapa JamiiForums kutoka kwa Watu aina tofauti

Niliyoyaona hapa JamiiForums kutoka kwa Watu aina tofauti

Dada wa kupiga picha na dela..
Muonekano tu wa picha mbili unatosha kujaza page tatu kukuelezea.
Ila hapa jf hata anayesema ukweli, Ukomchunguza utakuta anasema uongo. Ukute sio Marry Diana ni Joseph Mitomingi. J I C H A N G A N Y E . utalia kilio cha Boniface Mwangwi.
 
Back
Top Bottom